Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

Sio ya kudharau maana tycoon...tajiri sana mwenye ushawishi mkubwa sana Rwanda na jamii ya kimataifa Russesabagina amesema na yeye anawafund jamaa.

Hii ishu ni kubwa maana ni vita ya Watusi kwa Watusi na sio wahutu na Watusi tena...wote wana mkwanja na wote wana hasira.

I'm enjoying the show as usual...Let the rumble Begin.
Huyu jamaa kumbe mtutsi ! Aisee justification ya kagame kutumia ukabila ishafeli hapo anatafuta nyungine ili aingie front. Ila kazima ujue nyuma kuna nani
 
Mkuu unajua huyo mtu ninayekwambia amekua ni CMI(Chief of Military intelligence) wa Uganda wkt yeye hakua Mganda na amekua muasi huko porini miaka ya kutosha anajua vita vya porini vinapiganajwe sidhani kama anaweza kufanya kosa hilo.

Anyway ngoja tuone itakavyokua lolote linawezekana tu boss.
Mkuu Osama alikuwa CIA na ilipofika alikufa sembuse MI ya Uganda...Uganda my foot mkuu omba isitokee lakini si kutoa CV yake haisadii
 
Mkuu mi nilifanya kazi na co. Ya wakenya huko Kigali napajua vilivyo na washkaji wa Bongo wako huko kibao na ninafuatilia habari zake ipasavyo hayo yanayoandikwa na hizo media hakuna la ukweli hata 1.Hao Rwanda wako bize kujiaandaa na ujio wa rais wa Mozambique kesho mkuu.

Sanasana upande wa Burundi ndo wameanza kulalamika kwamba PK anafanya hio michezo ili apate sababu ya kuivamia Burundi,ulijua ni kwanini majuzi PK alikua anafanya mazungumzo na urusi kupata ile S 200?Kazi imeanza mkuu.
Atakapoivamia Burundi kijeshi itakuwa beginning of ending dunia ya leo si ile tena...
 
ivi nyinyi mnaopiga kelele nyuma ya keyboard mbona wakati Muroto anatangaza kipigo cha mbwa koko hamkutoka nje?
wanaume mnalalama tu, mnaona wanaume wenzenu hao ,wametoka Kwenye camera, lakini wabongo kutwa majungu mara ooh jiwe mara lumumba.
jitoeni kimasomaso
Mwanaume huwa hakai kimya Bali hurudi nyuma na kupanga mashambulizi....
 
Wao wadundane tu watoto wa kitusi waje watuzalie kwa bei chee
 
"Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda kati ya vikosi vya waasi na vile vya majeshi ya Serikali katili na dhalimu ya Rais Meja Jenerali Paul Kagame, raia wengi wa Rwanda wanaendelea kukimbilia nchini Burundi. Haijajulikana bado hao waasi wanaongozwa na nani.

Lakini inahisiwa ni Jenerali Faustin Kayumba Nyamwasa ambaye iimeripotiwa kuungwa mkono na Ufaransa na Rais Pierre Nkurunziza ambaye amepania kumwondoa Rais Paul Kagame madarakani kabla hajaingia vitani nchini Burundi kwa mgongo wa waasi wanaiopinga serikali yake. Mpaka sasa inaelekea Kagame amekaa kimya, hajautangazia ulimwengu kuwa nchi yake imevamiwa na waasi.

Mkoa wote wa Kusini Magharibi karibu umetekwa na waasi na barabara zinazotoka Mkoani humo kuelekea Kigali zimefungwa na waasi".

*C & P*
Kuna ukweli humu?

Hebu tufahamishane waungwana wa JF.

Bazazi Ubazazini Akibazazi

=======

Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda kati ya vikosi vya waasi na vile vya majeshi ya Serikali katili na dhalimu ya Rais Meja Jenerali Paul Kagame, raia wengi wa Rwanda wanaendelea kukimbilia nchini Burundi.

Haijajulikana bado hao waasi wanaongozwa na nani. Lakini inahisiwa ni Jenerali Faustin Kayumba Nyamwasa ambaye iimeripotiwa kuungwa mkono na Ufaransa na Rais Pierre Nkurunziza ambaye amepania kumwondoa Rais Paul Kagame madarakani kabla hajaingia vitani nchini Burundi kwa mgongo wa waasi wanaiopinga serikali yake.

Mpaka sasa inaelekea Kagame amekaa kimya, hajautangazia ulimwengu kuwa nchi yake imevamiwa na waasi. Mkoa wote wa Kusini Magharibi karibu umetekwa na waasi na barabara zinazotoka Mkoani humo kuelekea Kigali zimefungwa na waasi.
jiwe atatia mkono kumsaidia... tusubiri kuskia walindaamani kutoka TZ wauuwa na waasi wasiojulikana
 
Uwenda jeshi shupavu la Tz seal team ya Tz wakaenda kwa siri. End
 
ivi nyinyi mnaopiga kelele nyuma ya keyboard mbona wakati Muroto anatangaza kipigo cha mbwa koko hamkutoka nje?
wanaume mnalalama tu, mnaona wanaume wenzenu hao ,wametoka Kwenye camera, lakini wabongo kutwa majungu mara ooh jiwe mara lumumba.
jitoeni kimasomaso
Tuko JKT tunanolewa na kufundishwa kushika binduki soon utaona matokeo.
 
Interahamwe na genocide perpetrators mnahangaika sana kutafuta sympathy na attention waambieni mnaowadanganya ni maeneo gani mliyoyateka? Sio kudai magharibi ya nchi!
nimeongea na ndugu zangu wanaokaa maeneo hayo they are fine na wanashangaa hizi habari... anyway Ngoja Niendelee kuangalia hili picha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom