Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

Ah kikishanuka kikakolea harufu mkuu lazima atoke lupango bila shida
Ngumu sana..wanapima kina kirefu kwa mti na ndio kwanza kama ni uncle(Diane) yake anataka kufanya mapinduzi dhidi ya utawala wa Kagame ili hamuokoe mpwa wake.

Sankala akifeli tu basi binti atakuwa matatizoni sana mkuu. Maana jamaa ana masihara kama akikujua msaliti.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Vita sasa havina maana,ni uharibifu wa resource na infrastructure tu.
Kazi ambao unaweza kufanywa na MTU mmoja ama wawili,kwa resource chache,unaifanya ifanywe na maelfu ya watu,kwa resource nyingi na bila guirentee ya kufaulu
Ni Bora iwe hivyo kuliko wengine kugeuzwa wapuuzi wa akili...
 
Ngumu sana..wanapima kina kirefu kwa mti na ndio kwanza kama ni uncle(Diane) yake anataka kufanya mapinduzi dhidi ya utawala wa Kagame ili hamuokoe mpwa wake.

Sankala akifeli tu basi binti atakuwa matatizoni sana mkuu. Maana jamaa ana masihara kama akikujua msaliti.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Ngoja tusubiri tuone mkuu wanaishia wapi ila km ni kweli yote yanayosemwa basi shughuli itakuwa pevu sana maana yawezekana kuna mamia hawaridhiki na utawala wake so wakipata mwanya wa kufikisha hisia zao basi itakuwa shida.
 
Ngoja tusubiri tuone mkuu wanaishia wapi ila km ni kweli yote yanayosemwa basi shughuli itakuwa pevu sana maana yawezekana kuna mamia hawaridhiki na utawala wake so wakipata mwanya wa kufikisha hisia zao basi itakuwa shida.
Sawa ngoja tusubiri matanange unaishaje lakini Kagame ngumu kupoteza maana kajikamilisha sana.
 
.."while working as a house manager at the Hotel des Mille Collines in Kigali, hid and protected 1,200 Hutu and Tutsi refugees from the Interahamwe militia during the Rwandan genocide..
He has since won international awards for this alleged heroic act.."


Huyu sio muasi wa kawaida, inawezekana akawa na back-up from both Hutus&Tutsis?!
Tuombe yasitokee you guys, cos if it does happen it ain't gonna be pretty.
Unajua kwa sasa Rwanda ina waasi wenye Kariba yake Kagame.. They are absolutely military talented, visionary, good in military intelligence, with resources and enough experience and influence. Mtu kama kayumba nyamwasa ana influence kubwa jeshini Hadi uraiani. Mtu kama Russesabagina he is tycoon ana mkwanja na anakubalika kwa wahutu na Watusi kama mtu mwenye impartiality for both Hutu and Tutsi. Uncle wake Diane Rwigara huyu alikuwa meja jeshini analijua hili modern army la Kagame weakness and its strength in and out.

Apart from all that..Raia wamechoka na utawala wa kimabavu wa jamaa hivyo walikuwa wanasubiri kuona who is the "whistleblower" walikuwa wanataka kuona nani atabutua kopo ili wasanuke. Jamaa wamelibutua wakitokea Burundi then hapo hapo kuna uadui wa serikali na Serikali...Rwanda inahisi warundi wanawasnitch kwa kuwapa Uhuru na space waasi wafanye yao. Sio ajabu zikapigwa baina ya Burundi na Rwanda.

Rwanda ni timing bomb...litalipuka tu! Its just the matter of time. Tusubiri tuone.
 
Basi sawa mkuu,mimi nawapa hata miaka 30 from now hao waasi watakua hawajaweza kuteka hata kijiji ki 1 acha nchi yote,unadhani baada ya muda gani watakua wamekamata nchi kwa mtizamo wako chief.
mi sipo battle field wala si askari
 
Saw mkuu
Ila kamesababisha vifo vya mamia ya watu
Na bila yeye wangekufa watu wengi sana.
Mpe heshima yake kwa kusimamisha genocide mkuu pia huwezi tambua ilivyo vigumu kuishi na watu wenye chuki/sumu rohoni ni ngumu sana na kama huamini niambie kwanini jana, leo na mpaka kesho machafuko hayataka yaishe Afghanistani ni kwanini?

Unaweza ona watu wanachekeana tuu lakini ukijua lililo mioyoni mwao utapigwa na butwaa.

Nimeishi na watu wenye chuki hivyo naelewa kwanini ubabe unahitajika kuwanyamazisha watu vinginevyo akilegeza tuu yatatokea machafuko mengine tena yasiyoisha. Na nikwambie tuu chuki huishi vizazi na vizazi na from my experience mababu zangu waliwahi kuzulumiwa hii kitu hainifurahishi japo ni miaka mingi sana hata kabla sijazaliwa

So kwa taifa kama Rwandese unategemea nini? Hii chuki haiishi mjomba yani ngoma inaendelezwa vizazi na vizazi ndio maana nguvu kubwa inatumika kuwazima watu midomo ili maisha yaende.
Tutsi na Hima kusameheana hiyo sahau labda miujiza ya Mungu ifanyike.
 
Tujiandae kumpokea KAGAME, kama Obote enzi za mwalimu
Huyo mwalimu hapa kwa Obote alifanya blunder kubwa sana kwa kumsapoti dikteta obote.
Baya zaidi ni roho za ndugu zetu waliokufa vita vya uganda ambavyo kimsingi ni upuuzi wa nyerere kumsaidia swahiba wake obote. Na katika hali ya kawaida kwa mapenzi aliyokua nayo kwa obote ni lazima Iddi Amini hakufurahishwa na hii hali ikambidi atafute sababu ya kumwadhibu nyerere.

Huyo Iddi Amini nae ni mpuuzi pia.

Vitu vingine ni logic mkuu haihitaji kufikiri sana. Ila nasema tena watanzania tuwe tunashirikisha ubongo kabla ya kufanya maamuzi ningekuwepo zama zile kama mwanajeshi basi nisingeenda vitani maana ni upuuzi wa watu watatu una cost maisha ya watu kibao.
 
Waangushe utawala wa huyo boya maana ndie alituchagulia jiwe kwa kupenyeza mamluki wake ndani ya usalama wa taifa

Na ninawahakikishia hali ikiendelea kuwa mbaya huko lazima jiwe apeleke jeshi huko tena na bajeti ya kutosha!
Huyu boya hashindwi kweli kupeleka watu huko
 
Waangushe utawala wa huyo boya maana ndie alituchagulia jiwe kwa kupenyeza mamluki wake ndani ya usalama wa taifa

Na ninawahakikishia hali ikiendelea kuwa mbaya huko lazima jiwe apeleke jeshi huko tena na bajeti ya kutosha!
Unauhakika na unachoongea
 
ivi nyinyi mnaopiga kelele nyuma ya keyboard mbona wakati Muroto anatangaza kipigo cha mbwa koko hamkutoka nje?
wanaume mnalalama tu, mnaona wanaume wenzenu hao ,wametoka Kwenye camera, lakini wabongo kutwa majungu mara ooh jiwe mara lumumba.
jitoeni kimasomaso
Wanaume wa DAR hao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom