Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,899
- 22,115
Wacha ninoe CV yangu najua punde UNHCR watatangaza ajira.
Hakika kufa kufaana![emoji848]Wacha ninoe CV yangu najua punde UNHCR watatangaza ajira.
Haya ni matokeo ya udikteta ndiyo yanamtokea puani huyu rafiki yenu Kagame The DictatorVita sasa havina maana,ni uharibifu wa resource na infrastructure tu.
Kazi ambao unaweza kufanywa na MTU mmoja ama wawili,kwa resource chache,unaifanya ifanywe na maelfu ya watu,kwa resource nyingi na bila guirentee ya kufaulu
Kuna Mzee mmoja jirani yangu umri kama 70yrs old. Anasemaga siku vyrugu zikitokea yeye mtakuta upande wa waasi akiwa na gobore na kidumu cha maji. Madai yake ni kuwa mara nyingi waasi hawatak vita ila kila njia ya majadiliano huwa inafeli na hawasikilizwagi most of timeHakuna MTU anaependa kuwa muasi au gaidi,ile huwa ni kiwango cha mwisho cha mwanadamu pale anapokuwa amechoka uovu.
Ni kweli!Hakuna MTU anaependa kuwa muasi au gaidi,ile huwa ni kiwango cha mwisho cha mwanadamu pale anapokuwa amechoka uovu.
Unaonaje wewe ukionesha mfano wa kutoka nje ya keyboard.ivi nyinyi mnaopiga kelele nyuma ya keyboard mbona wakati Muroto anatangaza kipigo cha mbwa koko hamkutoka nje?
wanaume mnalalama tu, mnaona wanaume wenzenu hao ,wametoka Kwenye camera, lakini wabongo kutwa majungu mara ooh jiwe mara lumumba.
jitoeni kimasomaso
Shost anapewa kichapo hatari hakuna wa kuthubutu kumsaidiaJWTZ haijaamrishwa kupeleka msaada kwa shost?
Amekutana na mbabe mwenzieShost anapewa kichapo hatari hakuna wa kuthubutu kumsaidia