Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

Hahah marehemu Aqueline wamembutua risasi ya kichwani hakuna mtu aliyekoroma,viongozi zaidi ya 20 wa Chadema kila siku ma kesi mahakamani,lissu katandikwa risasi zaidi ya 30 lkn watu tuko kimyaaaa tunafurahia tu bia kushushwa bei mpk kufika buku jero hahah

Afu we unaongelea eti uasi upi huo?Kula byeree tu hapo ulipo mkuu ubavu wa kupishana na risasi huna mkuu.
Fikira zako zipo kitoto kitoto snaa!! Na unafikiria tujitu tudogo tudogo sn. Kama ni askari utakuwa mzigo kwa jeshi!!

Impact ya Any movement ya Against Gvt ni kubwa mnooo! Hata JPM analijua hilo vzr. Na umma haujawahi kushindwa popote pale duniani!!

Sijui huwa mnasoma vitu gani??
 
Hahah impact gani umeiona kwa JPM baada ya mikwara ya maandamano maana baada ya kutishia tu kuandamana wiki hiyo hiyo kwny mei mosi akasema mshahara siongezi kwa wafanyakazi hutaki sepa,wafungwa mkapigwe sijui mateke huko hahah.

By the way katika hayo niliyoyataja kipi umeona ni kidogo sana Aquelina kupigwa risasi/viongozi wa Chadema Kukamatwa kamatwa/Lissu kula shaba

Acha kua Keyboard warrior boss,tulia hapo ulipo kunywa bia yako mziki wa risasi huta uweza boss.
 
Asante ndugu kwa kuliona hilo.....

Watanzania ukiwakuta mitandaoni ni ma shujaa Kweli unaweza ukasema mageuzi ni kesho tu.....

Hakuna kiumbe mnafiki na muoga kama Mtanzania
inaboa sana
ushujaa imekua ni kutukana huku wamejificha nyuma ya keyboard.
wakati hata panya road wanawashinda.
mikoani huko watu wanapiga kazi hawana mda wa majungu majungu.
Umechoka ,magogoni unapajua kakinukishe Historia ikukumbuke...
Yani humu kumejaa Bla bla Mpaka kero,hakafu anaeongea ivyo hajawahi hata kunusa uwanja wa vita, siku watakayowekwa Frontline ndio watajua What's bullet
 
Na bila yeye wangekufa watu wengi sana.
Mpe heshima yake kwa kusimamisha genocide mkuu pia huwezi tambua ilivyo vigumu kuishi na watu wenye chuki/sumu rohoni ni ngumu sana na kama huamini niambie kwanini jana, leo na mpaka kesho machafuko hayataka yaishe Afghanistani ni kwanini?

Unaweza ona watu wanachekeana tuu lakini ukijua lililo mioyoni mwao utapigwa na butwaa.

Nimeishi na watu wenye chuki hivyo naelewa kwanini ubabe unahitajika kuwanyamazisha watu vinginevyo akilegeza tuu yatatokea machafuko mengine tena yasiyoisha. Na nikwambie tuu chuki huishi vizazi na vizazi na from my experience mababu zangu waliwahi kuzulumiwa hii kitu hainifurahishi japo ni miaka mingi sana hata kabla sijazaliwa

So kwa taifa kama Rwandese unategemea nini? Hii chuki haiishi mjomba yani ngoma inaendelezwa vizazi na vizazi ndio maana nguvu kubwa inatumika kuwazima watu midomo ili maisha yaende.
Tutsi na Hima kusameheana hiyo sahau labda miujiza ya Mungu ifanyike.
Labda useme bila yeye wangekufa watusi wengi sana maana wewe huoni wahutu waliouliwa na RPA kuwa ni watu
 
Rwanda inafanya vizuri sana katika kujenga uchumi wake kitu ambacho mabepari hawakifurahii. Sasa hii ndo ile vita ya kiuchumi anayoiongelea Rais wetu...ni hatar sana.

Plz note: Wale waelewa wataelewa namaanisha nini...pia ukiona unataka kutoa povu faham kwamba hii comment si yako.
 
Labda useme bila yeye wangekufa watusi wengi sana maana wewe huoni wahutu waliouliwa na RPA kuwa ni watu
Mkuu tafadhali sana uwe unaongea kitu cha kweli sio kubahatisha! Kwanza aliekuambia wahutu pekee ndio wanaokufa ni nani? diane na baba yake, karegya na nyamwasa ni wahutu?
Plz fanya tathmini kwanza ndio uje hapa
Nasijasema namuunga mkono kumaliza watu bali msiangalie negativity tuu bali muangalie na positivity ila hata mkipima mizani mjue ni upande gani unaelemea zaidi ya mwingine.
 
Kama ni kweli tz isijiingize kijeshi kumsaidia huyo mshua aachwe apambane na hali yake
Kagame na jpm wanadanganyana. Eti kagame amemwaidi jpm ulizi miaaka yote 10 kwa kubadishana mgodi wa tanzanite
 
Hahah marehemu Aqueline wamembutua risasi ya kichwani hakuna mtu aliyekoroma,viongozi zaidi ya 20 wa Chadema kila siku ma kesi mahakamani,lissu katandikwa risasi zaidi ya 30 lkn watu tuko kimyaaaa tunafurahia tu bia kushushwa bei mpk kufika buku jero hahah

Afu we unaongelea eti uasi upi huo?Kula byeree tu hapo ulipo mkuu ubavu wa kupishana na risasi huna mkuu.
Wabongo dawa yao Muroto[emoji23] [emoji23]
Afande muroto akitangaza kipigo cha mbwa koko watu wote wanatulia majumbani.
Hamjachoka kiasi cha kuwa waasi bwana... wasitupigie kelele
 
Kagame is simply heartless and predator...ameua mamilion ya Wacongo na Wanyarwanda bila hatia yeyote. crazy enough alitaka kutuua na sisi kipindi cha kikwete.

Kamfunga jela Diane Rwigara with no any apparent reason.

Ameishi kwa upanga for so long na it feels kama anataka kufa kwa upanga...!

Don't worry hun its payback time.
Anawaua wananchi wa karagwe kwe pori LA kimisi na wale wavuvi kwenye ziwa mpakani
 
Wabongo dawa yao Muroto[emoji23] [emoji23]
Afande muroto akitangaza kipigo cha mbwa koko watu wote wanatulia majumbani.
Hamjachoka kiasi cha kuwa waasi bwana... wasitupigie kelele
Hahah huyo kamanda alituweza ngoja tuendelee kupata tabu saaaaana,Maandamano ya kwa Da Mange hapa JF hakuna hata mtu m1 alitoka kwenda road mpk dada wa watu siku hizi hataki shobo na Wabongo huko instagram hahah.
 
Mkuu tafadhali sana uwe unaongea kitu cha kweli sio kubahatisha! Kwanza aliekuambia wahutu pekee ndio wanaokufa ni nani? diane na baba yake, karegya na nyamwasa ni wahutu?
Plz fanya tathmini kwanza ndio uje hapa
Nasijasema namuunga mkono kumaliza watu bali msiangalie negativity tuu bali muangalie na positivity ila hata mkipima mizani mjue ni upande gani unaelemea zaidi ya mwingine.
Kagame na RPF/RPA walifanya zaidi ya Interahamwe kwa Wahutu.Waliua ndani ya Rwanda kulipiza kisasi na wakawafuata wakimbizi DRC kule Kivu na kuwaua kinyama kwa kisingizio kuwa ni Jeshi la Habyarimana.Ni muda tu Kagame ataondolewa naye kwa aibu tena akiwa na matundu kama neti kokoro
 
Hahah huyo kamanda alituweza ngoja tuendelee kupata tabu saaaaana,Maandamano ya kwa Da Mange hapa JF hakuna hata mtu m1 alitoka kwenda road mpk dada wa watu siku hizi hataki shobo na Wabongo huko instagram hahah.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom