Tetesi za Vita : Rwanda Vs Burundi

Tetesi za Vita : Rwanda Vs Burundi

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
1,773
Reaction score
3,877
Tetesi za kwamba Burundi na Rwanda zinataka kushambuliana zinazidi kutawala kwenye mitandao ya kijamii nchini Rwanda na Burundi

**Burundi inadai Rwanda inataka kuishambulia
Kwa kushirikiana na kundi la M-23,red tabara.

**Rwanda inasema Burundi inataka kuishambulia kwa kushirikiana na Congo,FDLR
Jean Habyarimana ambaye alikuwa ni mtoto wa rais wa Rwanda Habyarimana, Kayumba nyamwasa aliyewahi Kuwa mkuu idara ya kijasusi Rwanda na mkuu wa majeshi aliyekimbilia Africa kusini ,Pia amewahi kupokea chupu chupu kuuawa

**Rwanda inadai Jean Habyarimana amekuwa akifanya ziara mbalimbali nchi Congo na Burundi kwa lengo la kupanga kushambulia Rwanda.
**Kwenye mjadala huu Kila nchi imekuwa ikijgamba kwanda endapo mwenzanke atamshambulia atakumbana na majibu makali yenye fundisho.

Soma Pia: Burundi yatoa onyo dhidi ya shambulio lolote kutoka Rwanda

#My take #My take

**Kwenye jambo hili hatari naiyona kwa Burundi maana wakishambuliana na Rwanda Moja kwa Moja Uganda itaingia kusaidia Rwanda,Pia M-23 wataingia kusaidia Rwanda, ukizingatia Burundi inashirikiana na Congo ambayo ina jeshi dhaifu sana ina wasiwasi kama Burundi inaweza kupambana na Rwanda,M-23,Uganda bila Kuwa nchi yenye nguvu kijeshi kusaidia

Credit : Respicius M. Mtakaywe Facebook
 
Wasilete ushenzi wao wa vita, nchi za maziwa makuu hazitakubali zishambuliane
 
ukizingatia Burundi inashirikiana na Congo ambayo ina jeshi dhaifu sana ina wasiwasi kama Burundi inaweza kupambana na Rwanda,M-23,Uganda bila Kuwa nchi yenye nguvu kijeshi kusaidia
Usiwahi jidanganya tena Burundi ina Mafias oyaaa
 
Mkuu Burundi wakihitaj wanajeshi wa kukodi nishtue na vijana wangu 3 Kila siku wananisumbua nowatafutie ajira hata za ulinz
 
Back
Top Bottom