Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,639
- 220,412
Huwezi kukandamiza watu daimaLazima wakatoe.
Congo wakiwa na akili wakavamie saivi
Huwezi kukandamiza watu daimaLazima wakatoe.
Congo wakiwa na akili wakavamie saivi
sawa dear broOngeza Savanna nyingine dia ccta
Hope na kile kisiwa cha bwana "amini" mambo yatarudi kuwa shwariHuwezi kukandamiza watu daima
Tutayasikia CNN na BBC newsHahah kweli yajayo yanafurahisha,huko Rwanda hakuna hata jiwe moja limerushwa achilia mbali mlio wa risasi.
Jamaa Wako bize kujiandaa na ujio wa Rais wa Mozambique hapo kesho mjini Kigali
Hahah Congo hii hii mkuu ya wacheza sebene na wasuka dada zetu saluni?Itatengenezewa vikosi vya waasi kama vile vya m23 mpk itachanganyikiwa,hahahLazima wakatoe.
Congo wakiwa na akili wakavamie saivi
Mimi naona kama warundi na Wanyarwanda wanapenda sana kuwa wakimbizi...yaani kukimbia kimbia wao ndio wanapenda.Jestkilla uzi unakuhusu huu wewe na kaka yako GENTAMYCINE
HahahahahaaaaHahah kweli yajayo yanafurahisha,huko Rwanda hakuna hata jiwe moja limerushwa achilia mbali mlio wa risasi.
Jamaa Wako bize kujiandaa na ujio wa Rais wa Mozambique hapo kesho mjini Kigali
Yeye alianzia kaskazini Mashariki wenzake wanaanza kusini Magharibi, ngoja tuone hii movie
Wacongo hapa ndipo wanaponishangaza yaani kama kuna muda wa kumtandika huyu kimbaumbau basi ni muda huu.Lazima wakatoe.
Congo wakiwa na akili wakavamie saivi
Ukiyasikia ni tag dada angu,au fanya kitu rahisi google hao waasi wa NFL uone kama zaidi ya hio web ya chimpreport.com uliyoripoti na ambayo inajulikana kwa kuandika story za Rwanda kama kuna mainstream media nyingine kama bbc,dw,cnn kama hata wanawajua hao waasi mkuu.Tutayasikia CNN na BBC news
Alitoka Gaddafi sembuse Kagame huyo ka alikuwa anatumiwa na mataifa makubwa mda wake wakimchoka wanamtoa tu ili watu wauane wauze silaha zaongumu sana kumu-eliminate kagame kwa kutumia njia za kijasusi,ufaransa waliziondoa investments zao rwanda wana moango wa kuzileta tz..nilidhani wanaziondoa kimyakimya..his time is up!!..kayumba nyamwasa ni mtusi mwenzie,hapo kuna museveni,nkurunzinza,sijajua kabila yupo upande upi,kwa ujumla moto umewashwa
mkuuLazima wakatoe.
Congo wakiwa na akili wakavamie saivi
Sio ya kudharau maana tycoon...tajiri sana mwenye ushawishi mkubwa sana Rwanda na jamii ya kimataifa Russesabagina amesema na yeye anawafund jamaa.Ukiyasikia ni tag dada angu,au fanya kitu rahisi google hao waasi wa NFL uone kama zaidi ya hio web ya chimpreport.com uliyoripoti na ambayo inajulikana kwa kuandika story za Rwanda kama kuna mainstream media nyingine kama bbc,dw,cnn kama hata wanawajua hao waasi mkuu.
Habari iliyoko BBC ni mnada wa mali za Diana RwigaraUkiyasikia ni tag dada angu,au fanya kitu rahisi google hao waasi wa NFL uone kama zaidi ya hio web ya chimpreport.com uliyoripoti na ambayo inajulikana kwa kuandika story za Rwanda kama kuna mainstream media nyingine kama bbc,dw,cnn kama hata wanawajua hao waasi mkuu.