Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

Na bila yeye wangekufa watu wengi sana.
Mpe heshima yake kwa kusimamisha genocide mkuu pia huwezi tambua ilivyo vigumu kuishi na watu wenye chuki/sumu rohoni ni ngumu sana na kama huamini niambie kwanini jana, leo na mpaka kesho machafuko hayataka yaishe Afghanistani ni kwanini?

Unaweza ona watu wanachekeana tuu lakini ukijua lililo mioyoni mwao utapigwa na butwaa.

Nimeishi na watu wenye chuki hivyo naelewa kwanini ubabe unahitajika kuwanyamazisha watu vinginevyo akilegeza tuu yatatokea machafuko mengine tena yasiyoisha. Na nikwambie tuu chuki huishi vizazi na vizazi na from my experience mababu zangu waliwahi kuzulumiwa hii kitu hainifurahishi japo ni miaka mingi sana hata kabla sijazaliwa

So kwa taifa kama Rwandese unategemea nini? Hii chuki haiishi mjomba yani ngoma inaendelezwa vizazi na vizazi ndio maana nguvu kubwa inatumika kuwazima watu midomo ili maisha yaende.
Tutsi na Hima kusameheana hiyo sahau labda miujiza ya Mungu ifanyike.
Hivi kwanini Kagame hakupelekwa ICC?
 
Waangushe utawala wa huyo boya maana ndie alituchagulia jiwe kwa kupenyeza mamluki wake ndani ya usalama wa taifa

Na ninawahakikishia hali ikiendelea kuwa mbaya huko lazima jiwe apeleke jeshi huko tena na bajeti ya kutosha!

Atakuwa bwege sana
 
Wewe na mwenzio M7 mnadaigi ni quarter pin ya baiskeli na mtatoka kwa nyundo.. Haya sasa pambana kiume.........JF katika ubora wake!
 
Hao waasi wakitoka rwanda waje kwa jiwe
Yaani kabisa mtoto wa kiume unaandika bila aibu kuwa wakitoka huko waje na huku....yaani unategemea ukombozi wa nchi yako na mateso yako yaondolewe na Mtu mwingine ambaye hata hakujui......

Wao wameamua na kuona kuwa muda wa kulalamika na kulia lia umeshapita Sasa ni wakati wa kupigania kile wanachokitaka....wametambua kuwa jukumu la ukombozi wa taifa lao liko mikononi mwao na sio kwenye keyboard za computer au screen za simu......

Nyie endeleeni kuonyesha ushujaa mitandaoni na umahiri wa kutukana na kughadhabika huku siku zinakwenda....!!!!

Ukiona inatosha utachukua hatua!!!
 
Interahamwe na genocide perpetrators mnahangaika sana kutafuta sympathy na attention waambieni mnaowadanganya ni maeneo gani mliyoyateka? Sio kudai magharibi ya nchi!
 
Kwa hiyo Nkurunzinza ndio amewaachia waasi wamtoe kagame?
Tuache ushabiki ktk mambo ya msingi. Leo nkurunzinza anaungwa mkono kumtoa kagame?
Wakati mwingine adui wa adui yako anaweza kuwa rafiki yako,japo aliwahi kuwa adui yako!
 
ivi nyinyi mnaopiga kelele nyuma ya keyboard mbona wakati Muroto anatangaza kipigo cha mbwa koko hamkutoka nje?
wanaume mnalalama tu, mnaona wanaume wenzenu hao ,wametoka Kwenye camera, lakini wabongo kutwa majungu mara ooh jiwe mara lumumba.
jitoeni kimasomaso
Asante ndugu kwa kuliona hilo.....

Watanzania ukiwakuta mitandaoni ni ma shujaa Kweli unaweza ukasema mageuzi ni kesho tu.....

Hakuna kiumbe mnafiki na muoga kama Mtanzania
 
Na bila yeye wangekufa watu wengi sana.
Mpe heshima yake kwa kusimamisha genocide mkuu pia huwezi tambua ilivyo vigumu kuishi na watu wenye chuki/sumu rohoni ni ngumu sana na kama huamini niambie kwanini jana, leo na mpaka kesho machafuko hayataka yaishe Afghanistani ni kwanini?

Unaweza ona watu wanachekeana tuu lakini ukijua lililo mioyoni mwao utapigwa na butwaa.

Nimeishi na watu wenye chuki hivyo naelewa kwanini ubabe unahitajika kuwanyamazisha watu vinginevyo akilegeza tuu yatatokea machafuko mengine tena yasiyoisha. Na nikwambie tuu chuki huishi vizazi na vizazi na from my experience mababu zangu waliwahi kuzulumiwa hii kitu hainifurahishi japo ni miaka mingi sana hata kabla sijazaliwa

So kwa taifa kama Rwandese unategemea nini? Hii chuki haiishi mjomba yani ngoma inaendelezwa vizazi na vizazi ndio maana nguvu kubwa inatumika kuwazima watu midomo ili maisha yaende.
Tutsi na Hima kusameheana hiyo sahau labda miujiza ya Mungu ifanyike.
Kagame hakusimamisha genocide,Bali alii kickstart baada ya kumdungua habyarimana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom