Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

ivi nyinyi mnaopiga kelele nyuma ya keyboard mbona wakati Muroto anatangaza kipigo cha mbwa koko hamkutoka nje?
wanaume mnalalama tu, mnaona wanaume wenzenu hao ,wametoka Kwenye camera, lakini wabongo kutwa majungu mara ooh jiwe mara lumumba.
jitoeni kimasomaso
hahahahahaaa.. mama wengine tuna familia vijana ndio watoke
 
Habari hio inasema shambulio la mwisho la gruneti lilifanyika Juni 2017 huko Rwanda(soma mstari wa mwisho wa hii habari) sa iweje sasa wawe wanapambana sasa hivi na wasiseme shambulio la mwisho lilikua jana/leo,hahah it's weird.

By the way kama huyo wa kwny picha ndio muasi na hayo ma miwani yake kama ya kina Wema Sepetu hahah kazi anayo aisee.
na habari ni ya masaa 7 yaliyo pitaa
 
Mimi nnachodhani kama kutatokea chokochoko yoyote Rwanda na ikatokea hao waasi(ambao bila ni mapandikizi ya Kagame) ikawa upande wa Burundi basi hapo anayetafutwa na kina Kagame ni Nkurunziza ili ionekane yeye ndiye anayeficha hao waasi ili achomolewe kama walivyofanya kwa Mobutu.
 
na habari ni ya masaa 7 yaliyo pitaa
Sawa mkuu lkn si ni hao bbc wanasema shambulio la mwisho la hao waasi lilifanywa Juni 2017 mkuu au?

Sasa iweje wawe wanapigana sasa hivi afu shambulio la mwisho liwe mwaka jana chief?au kuna kitu sijaelewa mkuu.
 
Karibu kambini, niliwahi kukwambia hako kamkoa ni suala la muda.

Wacha ninoe cv yangu muda si mrefu UNHCR wanatemesha mzigo.

Hata kama si kweli Rwanda ni suala la muda tu.
Acha kukazania vitu vya kufikirika bwana mdogo
 
mkuu upo... tetesi zina pelekea kuwa kweli... cheki wanavyo kanyagana viongozi wa nchi na ni vita ya takribani mwezi mmoja... lakini wameficha na kudai majambazi sasa sijui
Hivi mkuu kuna uwezekano kukawa na vita ndani ya nchi na huyo rais wa hio nchi (Rwanda) akawa kila siku anashinda mara leo yuko ethiopia kesho Mauritius keshokutwa kaenda na wakina Kenyatta kuhudhuria mkutano na Wazungu huko Ma mbele wkt nchi yake ina vita na kumbuka huyo rais unayemsema na yeye ni mwanajeshi.

Uwezekano huo upo chief?
 
Sawa mkuu lkn si ni hao bbc wanasema shambulio la mwisho la hao waasi lilifanywa Juni 2017 mkuu au?

Sasa iweje wawe wanapigana sasa hivi afu shambulio la mwisho liwe mwaka jana chief?au kuna kitu sijaelewa mkuu.
Soma na ya hao sri
 
habari ya leo bna..hilo shambulio la mwisho labda kigali..kuna kitu kinafichwa hapa kwa namna habari ilivo kule bbc
 
Hivi mkuu kuna uwezekano kukawa na vita ndani ya nchi na huyo rais wa hio nchi (Rwanda) akawa kila siku anashinda mara leo yuko ethiopia kesho Mauritius keshokutwa kaenda na wakina Kenyatta kuhudhuria mkutano na Wazungu huko Ma mbele wkt nchi yake ina vita na kumbuka huyo rais unayemsema na yeye ni mwanajeshi.

Uwezekano huo upo chief?
ya uturuki na syria si una yakumbuka... jinsi yalivyo tokea...??
 
ya uturuki na syria si una yakumbuka... jinsi yalivyo tokea...??
Mkuu unajua huyo mtu ninayekwambia amekua ni CMI(Chief of Military intelligence) wa Uganda wkt yeye hakua Mganda na amekua muasi huko porini miaka ya kutosha anajua vita vya porini vinapiganajwe sidhani kama anaweza kufanya kosa hilo.

Anyway ngoja tuone itakavyokua lolote linawezekana tu boss.
 
Achana na hilo jamaa linatumia nguvu nyiiiiingi kutuondoa kwenye mainstream
Mainstream eeh hahah?

Aisee hizi porojo hazina tofauti na zile habari tulizopewa na Yericko Nyerere kwny uchaguzi wa 2015 eti tushone suti Lowassa ameshinda tunasubiri akaapishwe tu hahah,watu shangweeeee mara paaap Jiwe kaapishwa hahah
 
Kama ni kweli tz isijiingize kijeshi kumsaidia huyo mshua aachwe apambane na hali yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom