Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

"Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda kati ya vikosi vya waasi na vile vya majeshi ya Serikali katili na dhalimu ya Rais Meja Jenerali Paul Kagame, raia wengi wa Rwanda wanaendelea kukimbilia nchini Burundi. Haijajulikana bado hao waasi wanaongozwa na nani.

Lakini inahisiwa ni Jenerali Faustin Kayumba Nyamwasa ambaye iimeripotiwa kuungwa mkono na Ufaransa na Rais Pierre Nkurunziza ambaye amepania kumwondoa Rais Paul Kagame madarakani kabla hajaingia vitani nchini Burundi kwa mgongo wa waasi wanaiopinga serikali yake. Mpaka sasa inaelekea Kagame amekaa kimya, hajautangazia ulimwengu kuwa nchi yake imevamiwa na waasi.

Mkoa wote wa Kusini Magharibi karibu umetekwa na waasi na barabara zinazotoka Mkoani humo kuelekea Kigali zimefungwa na waasi".

*C & P*
Kuna ukweli humu?

Hebu tufahamishane waungwana wa JF.

Bazazi Ubazazini Akibazazi
Dah hizo Habari si za ukweli!! Kbsa muogopeni mungu kwa kudanganya watu!!
 
Mkuu hio habari imesema shambulio ka mwisho lilifanyika wilaya ya rusizi juni 2017 boss au labda sijaelewa wapi mkuu?
rwigara kawekwa ndani lini!?..kwa sababu hilo limetajwa pia..hizo habari zingine ni kukumbushia yaliyopita..maafisa wa serikali wanasema kulikua na majambazi yananyang'anya watu mali na wamewamaluza..waasi wao wanadai ni mwezi sasa..kama unaweza kuipata kwa kiingereza itafute
 
"Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda kati ya vikosi vya waasi na vile vya majeshi ya Serikali katili na dhalimu ya Rais Meja Jenerali Paul Kagame, raia wengi wa Rwanda wanaendelea kukimbilia nchini Burundi. Haijajulikana bado hao waasi wanaongozwa na nani.

Lakini inahisiwa ni Jenerali Faustin Kayumba Nyamwasa ambaye iimeripotiwa kuungwa mkono na Ufaransa na Rais Pierre Nkurunziza ambaye amepania kumwondoa Rais Paul Kagame madarakani kabla hajaingia vitani nchini Burundi kwa mgongo wa waasi wanaiopinga serikali yake. Mpaka sasa inaelekea Kagame amekaa kimya, hajautangazia ulimwengu kuwa nchi yake imevamiwa na waasi.

Mkoa wote wa Kusini Magharibi karibu umetekwa na waasi na barabara zinazotoka Mkoani humo kuelekea Kigali zimefungwa na waasi".

*C & P*
Kuna ukweli humu?

Hebu tufahamishane waungwana wa JF.

Bazazi Ubazazini Akibazazi
Huenda hii ni njia ya sahihi ya kumtoa madarakani huyu mshua ikiwa saduku la kura haliwezi kumtoa. Ila ashauriwe aondoke madarakani kabla hali haijawa mbaya zaidi.Maana hataweza tena kupambana, Heri aondoke kwa amani tu mapema kabla ya anguko kuu la aibu
 
rwigara kawekwa ndani lini!?..kwa sababu hilo limetajwa pia..hizo habari zingine ni kukumbushia yaliyopita..maafisa wa serikali wanasema kulikua na majambazi yananyang'anya watu mali na wamewamaluza..waasi wao wanadai ni mwezi sasa..kama unaweza kuipata kwa kiingereza itafute
Basi sawa mkuu,mimi nawapa hata miaka 30 from now hao waasi watakua hawajaweza kuteka hata kijiji ki 1 acha nchi yote,unadhani baada ya muda gani watakua wamekamata nchi kwa mtizamo wako chief.
 
Iv jiwe hii habari anaichukiliaje

Najaribu kuvaa viatu vyake naona vinanibani
 
Basi sawa mkuu,mimi nawapa hata miaka 30 from now hao waasi watakua hawajaweza kuteka hata kijiji ki 1 acha nchi yote,unadhani baada ya muda gani watakua wamekamata nchi kwa mtizamo wako chief.
Mkuu wacha kujipa assurance za kijinga ,kuna factors nyingi tu zinaweza kupunguza hiyo miaka 30 kuwa vita ya siku tano ,mojawapo ushajiuliza nani yupo nyuma ya hao rebels ?

Washukuru Mungu hiyo Rwanda ni landlocked Country vinginevyo kungekuwa na Nyambizi chini ya maji inashusha silaha kwa waasi .

Yote kwa yote Mungu aepushe tu vita yale mauaji ya Kimbari yametosha ,Kagame naye asome alama za nyakati shauri yake atakuja kukalia mkuki utokee utosini kama alivyo wafanya wanaompinga.
 
Sio ya kudharau maana tycoon...tajiri sana mwenye ushawishi mkubwa sana Rwanda na jamii ya kimataifa Russesabagina amesema na yeye anawafund jamaa.

Hii ishu ni kubwa maana ni vita ya Watusi kwa Watusi na sio wahutu na Watusi tena...wote wana mkwanja na wote wana hasira.

I'm enjoying the show as usual...Let the rumble Begin.

.."while working as a house manager at the Hotel des Mille Collines in Kigali, he hid and protected 1,200 Hutu and Tutsi refugees from the Interahamwe militia during the Rwandan genocide..
He has since won international awards for this alleged heroic act.."

Huyu sio muasi wa kawaida, inawezekana akawa na back-up from both Hutus&Tutsis?!
Tuombe yasitokee you guys, cos if it does happen it ain't gonna be pretty.
 
Hawa watawala jamii ya paul wajanja sana wanaweza tengeneza tatizo watatafute suluhu kama marekani maana wamejifunza kwao namna ya kuongoza wajinga
 
Wewe!.😀
Kagame is simply heartless and predator...ameua mamilion ya Wacongo na Wanyarwanda bila hatia yeyote. crazy enough alitaka kutuua na sisi kipindi cha kikwete.

Kamfunga jela Diane Rwigara with no any apparent reason.

Ameishi kwa upanga for so long na it feels kama anataka kufa kwa upanga...!

Don't worry hun its payback time.
 
Mkuu wacha kujipa assurance za kijinga ,kuna factors nyingi tu zinaweza kupunguza hiyo miaka 30 kuwa vita ya siku tano ,mojawapo ushajiuliza nani yupo nyuma ya hao rebels ?
Mkuu mi nilifanya kazi na co. Ya wakenya huko Kigali napajua vilivyo na washkaji wa Bongo wako huko kibao na ninafuatilia habari zake ipasavyo hayo yanayoandikwa na hizo media hakuna la ukweli hata 1.Hao Rwanda wako bize kujiaandaa na ujio wa rais wa Mozambique kesho mkuu.

Sanasana upande wa Burundi ndo wameanza kulalamika kwamba PK anafanya hio michezo ili apate sababu ya kuivamia Burundi,ulijua ni kwanini majuzi PK alikua anafanya mazungumzo na urusi kupata ile S 200?Kazi imeanza mkuu.
 
Nishaanza kupenda sana watu wanaoitwa Waasi. Kabla sijawa na akili timamu nilikuwa nawaona watu wa ovyo yaani makatili kumbe ni watu waliochoka kunyanyasika
Yes. Manyanyaso yakizidi yanazaa uasi.
 
Waache waling'oe Jiwe apunguze kutubana huku maana Hana pakujificha....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom