Ufupi wa kufikili. Hujawahi kuona mfuga nyoka akifa kwa kuumwa na nyoka aliye mtunza tokea utoto?Umeshawahi kuona mbwa akimdhuru anayempa chakula...!!?
Aah wapi wabongo tuache ugali na nyama choma tukapigane. Big noHii vita iendelee tu ili hata huyu dictator wetu ajiandae. Naona kazidi sn!!
Nae kuna siku kitanuka.
Jestkilla uzi unakuhusu huu wewe na kaka yako GENTAMYCINE
Ww unadhani huko vita ilianzeje?Aah wapi wabongo tuache ugali na nyama choma tukapigane. Big no
Jiwe atapita tu kuwa na subira
Umenikumbusha miaka kadhaa kama 9 iliyopita kuna kijiji kinaitwa Kwamagome-Handeni kuna jamaa alikuwa anaitwa manyoka kutokana na kukamata nyoka na kuwauza, nyumbani kwake kulikuwa na nyoka wengi na alikuwa anawakamata bila kutumia dawa ila sisi tuliokuwa na shughuli zetu maporini alikuwa anatupatia dawa. Baada ya miaka 2 jamaa aligongwa na koboko aliyemkata yeye akafariki. True storyUfupi wa kufikili. Hujawahi kuona mfuga nyoka akifa kwa kuumwa na nyoka aliye mtunza tokea utoto?
Osama ni Product wa USA.
Aksante mungu tanzanite yetu itaponaWaangushe utawala wa huyo boya maana ndie alituchagulia jiwe kwa kupenyeza mamluki wake ndani ya usalama wa taifa
Na ninawahakikishia hali ikiendelea kuwa mbaya huko lazima jiwe apeleke jeshi huko tena na bajeti ya kutosha!
Aksante mungu tanzanite yetu itaponaWaangushe utawala wa huyo boya maana ndie alituchagulia jiwe kwa kupenyeza mamluki wake ndani ya usalama wa taifa
Na ninawahakikishia hali ikiendelea kuwa mbaya huko lazima jiwe apeleke jeshi huko tena na bajeti ya kutosha!
Muulize marehemu Kingunge.Umeshawahi kuona mbwa akimdhuru anayempa chakula...!!?
Hahah hapa juzi tu maandamano ya Da Mange JF nzima hakuna hata mtu 1 aliyejitokeza road sembuse kukamata SMG hahah,ndoto hiziWw unadhani huko vita ilianzeje?
Fikira ndio unazo fupi.Hahah hapa juzi tu maandamano ya Da Mange JF nzima hakuna hata mtu 1 aliyejitokeza road sembuse kukamata SMG hahah,ndoto hizi
Hatua bila consistency in bureUtawala wa ukandamizaji matokeo yake ndio hayo lakini pia tujue historia ya Rwanda kwa ujinga wao wataivuruga nchi yao na walishapiga hatua.
Kwny maandamano ya Da Mange ulikuwepo mkuu?Fikira ndio unazo fupi.
Kama hayakuwepo Askari waliangaikia nn? Na vifaru nchi nzima karibia Tshs 5B zilitumika kwa mtu aliyeko nje ya nchi tena mdada wa 30s hata siyo Soldier? Je wakitokea Soldiers na wakawa ndani ya nchi?Kwny maandamano ya Da Mange ulikuwepo mkuu?
Muulize marehemu Kingunge.Umeshawahi kuona mbwa akimdhuru anayempa chakula...!!?
Hahah unawapa hao waasi muda gani watakua wamechukua nchi boss?Ili ikifika huo muda niku tag hapa nikupe hongera kwa mapinduzi kufanikiwaMkuu Osama alikuwa CIA na ilipofika alikufa sembuse MI ya Uganda...Uganda my foot mkuu omba isitokee lakini si kutoa CV yake haisadii
Hahah marehemu Aqueline wamembutua risasi ya kichwani hakuna mtu aliyekoroma,viongozi zaidi ya 20 wa Chadema kila siku ma kesi mahakamani,lissu katandikwa risasi zaidi ya 30 lkn watu tuko kimyaaaa tunafurahia tu bia kushushwa bei mpk kufika buku jero hahahKama hayakuwepo Askari waliangaikia nn? Na vifaru nchi nzima karibia Tshs 5B zilitumika kwa mtu aliyeko nje ya nchi tena mdada wa 30s hata siyo Soldier? Je wakitokea Soldiers na wakawa ndani ya nchi?