Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

kagame huyu huyu rafiki yake na jiwe?.... au kagame mwingine...?
Nahisi rafiki yake atamsaidia kupambana na waasi kwa kumpelekea kikosi cha watu wasiojulikana wamsaidie swahiba wake kukabiliana na waasi...hawezi kumuacha hivi hivi.
 
Naomba sana kwa God hii habari iwe kweli na Nkuruzinza na hao wafaransa wawasapoti hao waasi kumpiga huyu kagame kipigo cha mbwa koko wamtoe madarakani ili iwe fundisho kwa best ake Jiwe na marais dhalimu wote wa Africa wanaowanyanyasa wananchi wao kisa wana madaraka I hate Dictatorship
Tunaomba Mungu iwe hivyo, ili hawa madikteta waliorundikana kwenye ukanda huu wa East Africa wapungue.
 
"Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda kati ya vikosi vya waasi na vile vya majeshi ya Serikali katili na dhalimu ya Rais Meja Jenerali Paul Kagame, raia wengi wa Rwanda wanaendelea kukimbilia nchini Burundi. Haijajulikana bado hao waasi wanaongozwa na nani.

Lakini inahisiwa ni Jenerali Faustin Kayumba Nyamwasa ambaye iimeripotiwa kuungwa mkono na Ufaransa na Rais Pierre Nkurunziza ambaye amepania kumwondoa Rais Paul Kagame madarakani kabla hajaingia vitani nchini Burundi kwa mgongo wa waasi wanaiopinga serikali yake. Mpaka sasa inaelekea Kagame amekaa kimya, hajautangazia ulimwengu kuwa nchi yake imevamiwa na waasi.

Mkoa wote wa Kusini Magharibi karibu umetekwa na waasi na barabara zinazotoka Mkoani humo kuelekea Kigali zimefungwa na waasi".

*C & P*
Kuna ukweli humu?

Hebu tufahamishane waungwana wa JF.

Bazazi Ubazazini Akibazazi

=======
HAAAAAAAAAAAHAAAA WATAUWANA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom