expedition
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 943
- 3,021
Wasalimie hapo Desderia!
Kwa mawazo haya lazima tuendelee kuwa omba omba ulaya, China na kwingineko duniani.Kwa umakini wa safu ya uongozi wa CCM na watendaji wake ni dhahiri Nassari kama angekuwa huko basi angeshavuliwa uanachama mapema na Spika kupewa taarifa.
Pale bungeni kuna uongozi wa wabunge wa CCM ambao unafuatilia mienendo ya wabunge wake so utoro wa Nassari ungeshabainika mapema.
Tatizo la hivi vyama vidogo kila mtu ni kambale!
ni discretion na power ya Raisi kikatiba kumsamehe yeyote.... hata muuaji anaweza kupata msamaha........sasa mbona Babu Seya ameachiwa?
..na alitandikiwa zulia jekundu siku amekaribishwa jumba jeupe.
Wasalaam!! Kwa mara ya kwanza naomba nimpongeze Spika Ndugui na uongozi wote wa bunge kwa hatui hii waliyochukua. Baada ya kumsikiliza Nassari na sababu zake za kitoto za kutokuhudhuria vikao vitatu mfululizo nimemdharau sana. Sisi ni watanzania na wengi tumeajiriwa au tumejiajiri.
Ni boss gani atakayekuvumilia zaidi ya miezi mitatu eti mwanaume unasubiri mkeo ajifungue? Huwezi angalau kwenda kwazini hata siku mbili kwa mwezi kisa unasubiri mkeo ajifungue? Nassari ni daktari?
Nassari alishindwa nini hata kumtuma mama mkwe wake kumuangalizia mkewe wakati akiwa kalazwa ili angalau atimize sehemu ya majukumu yake? (Kwatamaduni zetu za kiafrica inakubaliwa). Hata Magufuli mama yake yuko ICU lakini anafanya kazi. Watanzania tuache kulea ujinga kama wa huyu anayejiita dogo janja.
Nassari angekuwa mfanyabiashara angekaa hosipitali miezi zaidi ya mitatu kisa mke anasubiri kujifungua mtoto? Ungekuta hizo biashara? Mbona tunajipa majukumu ambayo sio yakwetu? Spika Ndugai nakupa Kongole uko sahihi. Watanzania tuache kuendekeza upuuzi kisa mazoea ya kujiona sisi tu na kwasababu tuna machozi basi tuishi kwa mazoea. Nasema Noooooo!!!!
Juzi walikutana msibani na Mh. DC na Mzee Sarakikya bila aibu akatamka yuko nje kuwatafutia wananchi wake misaada. Sasa leo hizo sababu kazitoa wapi? Naomba afuatilie suala la Makonda na makontena yake. Na pia sio kazi yake kuomba misaada ya hii nchi kwa wahisani. Yeye anatakiwa kuiambia serikali matatizo ya wananchi wake serikali itekeleze na sio kuzurura na kupiga picha nje kwa matanuo yake.
Naomba hili liwe fundisho kwa wawakilishi ngazi zote.
Na sisi watanzania tuache kuwaonea huruma wapinzani kwa baadhi ya mambo yao ya kipuuzi ambayo yatatutia aibu. Kama wapinzania wanapigania sheria na wawe tayari kuhakikisha hata wao na wafuasi wao wanafuata sheria na taratibu nyingine za nchi ambazo zimetungwa kwa mujibu wa sheria na katiba yetu.
Asanteni Nawasilisha
Kwani ukiomba ruhusa unaondoka bila kupewa majibu? Haya mambo haya!! Nawaza tu aisee ila huyu dogo katudhalilisha sana. Kajisahau mno. Ila ndo tatizo la ulevi wa madaraka. Nilidhani CCM ndo kuna ulevi wa madaraka kumbe hata wapinzani upo.
Nassary alipata kueleza kwa ushahidi mzito jinsii;- madiwani walivyohongwa mbele ya Jiwe. Tunajua kilichomtokea aftermath.mi nashangaa tu,ina maana hawa cdm,hawanaga mawasiliano kujua nani yuko wapi na anafanya nini?,anyway,Nassari tutampa jukumu la kugombea ubunge palepale kupitia ccm na baada ya kuchaguliwa,tutampa wizara,hakuna kitu kilichoharibika,maendeleo hayana chama
Leo umeandika mambo ya kuelewekaKwanza nimshukuru mbunge huyu mstaafu ambaye sitamtaja jina kwa kulinda faragha yake kwa kuwasiliana nami baada ya kunisoma nikisema Nassari angekuwa CCM angetimuliwa .
Mstaafu huyo amenijuza kuwa Nassari ana haki yake ya kikatiba na kisheria ya kusikilizwa kabla ya kuhukumiwa. Anasema ile kanuni ya kumpa Spika rungu la moja kwa moja kumfukuza mbunge liliwalenga wabunge wanaosusia vikao kwa sababu za kukwamisha baadhi ya mambo. Wabunge wanaweza kususa ili akidi isitimie sasa ili kuwadhibiti Spika alipewa rungu, ameeleza mstaafu huyu.
Lakini bunge lilitambua kuwa Spika amezungukwa na wataalamu wa sheria hivyo itakapotokea mbunge hayupo bungeni kwa sababu nyinginezo zaidi ya kususia basi utaratibu wa kikatiba na kisheria wa natural justice utazingatiwa.
Kumbuka mtu anayesusa anakuwa ameshajieleza na kimsingi anakuwa ameeleweka hivyo kuondoa haja ya kutakiwa kuitwa na kusikilizwa., amemaliza.
Nimeileta hii hapa ili nipate maoni ya mkuu Joka Kuu maana kuna comment yake kule ilinifikirisha kidogo.
Maendeleo hayana vyama!
cc Joka Kuu
Hii ina make sense kidogo.Kwanza nimshukuru mbunge huyu mstaafu ambaye sitamtaja jina kwa kulinda faragha yake kwa kuwasiliana nami baada ya kunisoma nikisema Nassari angekuwa CCM angetimuliwa .
Mstaafu huyo amenijuza kuwa Nassari ana haki yake ya kikatiba na kisheria ya kusikilizwa kabla ya kuhukumiwa. Anasema ile kanuni ya kumpa Spika rungu la moja kwa moja kumfukuza mbunge liliwalenga wabunge wanaosusia vikao kwa sababu za kukwamisha baadhi ya mambo. Wabunge wanaweza kususa ili akidi isitimie sasa ili kuwadhibiti Spika alipewa rungu, ameeleza mstaafu huyu.
Lakini bunge lilitambua kuwa Spika amezungukwa na wataalamu wa sheria hivyo itakapotokea mbunge hayupo bungeni kwa sababu nyinginezo zaidi ya kususia basi utaratibu wa kikatiba na kisheria wa natural justice utazingatiwa.
Kumbuka mtu anayesusa anakuwa ameshajieleza na kimsingi anakuwa ameeleweka hivyo kuondoa haja ya kutakiwa kuitwa na kusikilizwa., amemaliza.
Nimeileta hii hapa ili nipate maoni ya mkuu Joka Kuu maana kuna comment yake kule ilinifikirisha kidogo.
Maendeleo hayana vyama!
cc Joka Kuu
Kumbe mnakuaga na akili timamu, ila mnaamuaga kuziacha msalani.Kwanza nimshukuru mbunge huyu mstaafu ambaye sitamtaja jina kwa kulinda faragha yake kwa kuwasiliana nami baada ya kunisoma nikisema Nassari angekuwa CCM angetimuliwa .
Mstaafu huyo amenijuza kuwa Nassari ana haki yake ya kikatiba na kisheria ya kusikilizwa kabla ya kuhukumiwa. Anasema ile kanuni ya kumpa Spika rungu la moja kwa moja kumfukuza mbunge liliwalenga wabunge wanaosusia vikao kwa sababu za kukwamisha baadhi ya mambo. Wabunge wanaweza kususa ili akidi isitimie sasa ili kuwadhibiti Spika alipewa rungu, ameeleza mstaafu huyu.
Lakini bunge lilitambua kuwa Spika amezungukwa na wataalamu wa sheria hivyo itakapotokea mbunge hayupo bungeni kwa sababu nyinginezo zaidi ya kususia basi utaratibu wa kikatiba na kisheria wa natural justice utazingatiwa.
Kumbuka mtu anayesusa anakuwa ameshajieleza na kimsingi anakuwa ameeleweka hivyo kuondoa haja ya kutakiwa kuitwa na kusikilizwa., amemaliza.
Nimeileta hii hapa ili nipate maoni ya mkuu Joka Kuu maana kuna comment yake kule ilinifikirisha kidogo.
Maendeleo hayana vyama!
cc Joka Kuu
Hahahaa....... bado naitafuta hiyo kanuni nijiridhishe kwanza!Leo umeandika mambo ya kueleweka
In God we trust