Prof.muhongo nae kafukuzwa!Kwa umakini wa safu ya uongozi wa CCM na watendaji wake ni dhahiri Nassari kama angekuwa huko basi angeshavuliwa uanachama mapema na Spika kupewa taarifa.
Pale bungeni kuna uongozi wa wabunge wa CCM ambao unafuatilia mienendo ya wabunge wake so utoro wa Nassari ungeshabainika mapema.
Tatizo la hivi vyama vidogo kila mtu ni kambale!
Huyo ni zaidi ya Dr Slaa!
Hiyo ni tabia ya wanasiasa wote......... Hata Mbowe atakapohamia CCM hali itakuwa hivyo hivyo atayakana yote aliyoyaamini akiwa Chadema!Mnafiki na majinuni mwingine ambaye hata waliokuwa wanafunzi wake pale UDSM wanamshangaa kwa ukinyonga wake na kuukumbatia ujinga, ufisadi na udhalimu na yale aliyokuwa akiyafundisha darasani kuyakana.
Uje na mrejesho hapa.Sioni hoja bali chuki na wivu! Laiti ungalikuwa umesoma management ungejua ni kwanini huyo mfukuzwa analalamika! Ndugai anakwenda kuabika mahakamani hata kama mahakama itambeba.
Majinuni mwingine huyu ambaye sasa kaamua kulinda tumbo lake.
Tatizo la Nassari liko kwenye kutokutoa taarifa kwa Spika!Prof.muhongo nae kafukuzwa!
Huyo ndio kiboko ya hama hama hapo Ufipa!
Mchungaji Erasto leo amefanya maombi maalumu kwa ajili ya Dr Slaa ili Mungu azidi kuwalinda waendelee kuitumikia serikali kwa uaminifu.
Umeshapanic!Iko siku labda hilo dish lako lililoyumba litakaa sawa ili uone upumbavu wako na kuukana, vinginevyo wapuuzi kama wewe ni hasara kubwa kwa Taifa vijibwa koko vya mwendawazimu wa Ikulu anayelisambaratisha Taifa.
Wasalaam!! Kwa mara ya kwanza naomba nimpongeze Spika Ndugui na uongozi wote wa bunge kwa hatui hii waliyochukua. Baada ya kumsikiliza Nassari na sababu zake za kitoto za kutokuhudhuria vikao vitatu mfululizo nimemdharau sana. Sisi ni watanzania na wengi tumeajiriwa au tumejiajiri.
Ni boss gani atakayekuvumilia zaidi ya miezi mitatu eti mwanaume unasubiri mkeo ajifungue? Huwezi angalau kwenda kwazini hata siku mbili kwa mwezi kisa unasubiri mkeo ajifungue? Nassari ni daktari?
Nassari alishindwa nini hata kumtuma mama mkwe wake kumuangalizia mkewe wakati akiwa kalazwa ili angalau atimize sehemu ya majukumu yake? (Kwatamaduni zetu za kiafrica inakubaliwa). Hata Magufuli mama yake yuko ICU lakini anafanya kazi. Watanzania tuache kulea ujinga kama wa huyu anayejiita dogo janja.
Nassari angekuwa mfanyabiashara angekaa hosipitali miezi zaidi ya mitatu kisa mke anasubiri kujifungua mtoto? Ungekuta hizo biashara? Mbona tunajipa majukumu ambayo sio yakwetu? Spika Ndugai nakupa Kongole uko sahihi. Watanzania tuache kuendekeza upuuzi kisa mazoea ya kujiona sisi tu na kwasababu tuna machozi basi tuishi kwa mazoea. Nasema Noooooo!!!!
Juzi walikutana msibani na Mh. DC na Mzee Sarakikya bila aibu akatamka yuko nje kuwatafutia wananchi wake misaada. Sasa leo hizo sababu kazitoa wapi? Naomba afuatilie suala la Makonda na makontena yake. Na pia sio kazi yake kuomba misaada ya hii nchi kwa wahisani. Yeye anatakiwa kuiambia serikali matatizo ya wananchi wake serikali itekeleze na sio kuzurura na kupiga picha nje kwa matanuo yake.
Naomba hili liwe fundisho kwa wawakilishi ngazi zote.
Na sisi watanzania tuache kuwaonea huruma wapinzani kwa baadhi ya mambo yao ya kipuuzi ambayo yatatutia aibu. Kama wapinzania wanapigania sheria na wawe tayari kuhakikisha hata wao na wafuasi wao wanafuata sheria na taratibu nyingine za nchi ambazo zimetungwa kwa mujibu wa sheria na katiba yetu.
Asanteni Nawasilisha
Kumtetea dogo lazma uwe mtu wa ajabu ajabu, siasa inalipa ndicho kimemponza dogo.Unajua kupanga hoja sana, japo ni dhahiri kuwa una chuki na wapinzani. Hongera kwa point zako za maana.
Kwanza nakupa pole kwakua hoja zako zimejaa utoto wenye fikra fupi.Kwanini unabeza matatizo ya mwenzio?Nilitegemea hoja ya msingi iwe kwenye uhalali wa taarifa alizotoa kwa speaker kutohudhuria bungeni ndio tuanzie hapo.Naamini ukikua utakuja kutambua utoto huu wa hoja otherwise naheshimu maoni yako.Wasalaam!! Kwa mara ya kwanza naomba nimpongeze Spika Ndugui na uongozi wote wa bunge kwa hatui hii waliyochukua. Baada ya kumsikiliza Nassari na sababu zake za kitoto za kutokuhudhuria vikao vitatu mfululizo nimemdharau sana. Sisi ni watanzania na wengi tumeajiriwa au tumejiajiri.
Ni boss gani atakayekuvumilia zaidi ya miezi mitatu eti mwanaume unasubiri mkeo ajifungue? Huwezi angalau kwenda kwazini hata siku mbili kwa mwezi kisa unasubiri mkeo ajifungue? Nassari ni daktari?
Nassari alishindwa nini hata kumtuma mama mkwe wake kumuangalizia mkewe wakati akiwa kalazwa ili angalau atimize sehemu ya majukumu yake? (Kwatamaduni zetu za kiafrica inakubaliwa). Hata Magufuli mama yake yuko ICU lakini anafanya kazi. Watanzania tuache kulea ujinga kama wa huyu anayejiita dogo janja.
Nassari angekuwa mfanyabiashara angekaa hosipitali miezi zaidi ya mitatu kisa mke anasubiri kujifungua mtoto? Ungekuta hizo biashara? Mbona tunajipa majukumu ambayo sio yakwetu? Spika Ndugai nakupa Kongole uko sahihi. Watanzania tuache kuendekeza upuuzi kisa mazoea ya kujiona sisi tu na kwasababu tuna machozi basi tuishi kwa mazoea. Nasema Noooooo!!!!
Juzi walikutana msibani na Mh. DC na Mzee Sarakikya bila aibu akatamka yuko nje kuwatafutia wananchi wake misaada. Sasa leo hizo sababu kazitoa wapi? Naomba afuatilie suala la Makonda na makontena yake. Na pia sio kazi yake kuomba misaada ya hii nchi kwa wahisani. Yeye anatakiwa kuiambia serikali matatizo ya wananchi wake serikali itekeleze na sio kuzurura na kupiga picha nje kwa matanuo yake.
Naomba hili liwe fundisho kwa wawakilishi ngazi zote.
Na sisi watanzania tuache kuwaonea huruma wapinzani kwa baadhi ya mambo yao ya kipuuzi ambayo yatatutia aibu. Kama wapinzania wanapigania sheria na wawe tayari kuhakikisha hata wao na wafuasi wao wanafuata sheria na taratibu nyingine za nchi ambazo zimetungwa kwa mujibu wa sheria na katiba yetu.
Asanteni Nawasilisha
Usitetee ujinga mkuu...hata kufuata tu taratibu za kawaida za kibunge katika kushughulikia hiyo dharura nayo ilikua ngumu kwake? Huyu dogo kaaibisha walimu wake wote na walezi wake wote,wapiga kura wa Meru na hata viongozi wake wa kiroho. Jinga kabisa huyu kijana..wewe inawezekana huna mke.
..au kama una mke, haujapitia MTIHANI wa kujaribu kupata mtoto na ikashindikana kwa muda mrefu.
..unazungumzia biashara?!! Kuna watu wanafilisika kwa mtihani wa kupata mtoto.
..mbona Spika alikaa nje ya nchi muda mrefu akijiuguza?
Eti Ndugai alikula ndafu 2014, too low.Wacheza mpira husafiri mpaka wake zao zikifika saa za kujifungua wewe ni mtumishi wa umma ati unaenda miezi mitatu nani alisema ujauzito ni ugonjwa?
Yaani kama huyo dogo,ndio katoa sababu za kijinga kama hizo,basi hakufaa wala hafai hata kuwa VEO,mwenyekiti wa kijiji.Wasalaam!! Kwa mara ya kwanza naomba nimpongeze Spika Ndugui na uongozi wote wa bunge kwa hatui hii waliyochukua. Baada ya kumsikiliza Nassari na sababu zake za kitoto za kutokuhudhuria vikao vitatu mfululizo nimemdharau sana. Sisi ni watanzania na wengi tumeajiriwa au tumejiajiri.
Ni boss gani atakayekuvumilia zaidi ya miezi mitatu eti mwanaume unasubiri mkeo ajifungue? Huwezi angalau kwenda kwazini hata siku mbili kwa mwezi kisa unasubiri mkeo ajifungue? Nassari ni daktari?
Nassari alishindwa nini hata kumtuma mama mkwe wake kumuangalizia mkewe wakati akiwa kalazwa ili angalau atimize sehemu ya majukumu yake? (Kwatamaduni zetu za kiafrica inakubaliwa). Hata Magufuli mama yake yuko ICU lakini anafanya kazi. Watanzania tuache kulea ujinga kama wa huyu anayejiita dogo janja.
Nassari angekuwa mfanyabiashara angekaa hosipitali miezi zaidi ya mitatu kisa mke anasubiri kujifungua mtoto? Ungekuta hizo biashara? Mbona tunajipa majukumu ambayo sio yakwetu? Spika Ndugai nakupa Kongole uko sahihi. Watanzania tuache kuendekeza upuuzi kisa mazoea ya kujiona sisi tu na kwasababu tuna machozi basi tuishi kwa mazoea. Nasema Noooooo!!!!
Juzi walikutana msibani na Mh. DC na Mzee Sarakikya bila aibu akatamka yuko nje kuwatafutia wananchi wake misaada. Sasa leo hizo sababu kazitoa wapi? Naomba afuatilie suala la Makonda na makontena yake. Na pia sio kazi yake kuomba misaada ya hii nchi kwa wahisani. Yeye anatakiwa kuiambia serikali matatizo ya wananchi wake serikali itekeleze na sio kuzurura na kupiga picha nje kwa matanuo yake.
Naomba hili liwe fundisho kwa wawakilishi ngazi zote.
Na sisi watanzania tuache kuwaonea huruma wapinzani kwa baadhi ya mambo yao ya kipuuzi ambayo yatatutia aibu. Kama wapinzania wanapigania sheria na wawe tayari kuhakikisha hata wao na wafuasi wao wanafuata sheria na taratibu nyingine za nchi ambazo zimetungwa kwa mujibu wa sheria na katiba yetu.
Asanteni Nawasilisha
Kwani wewe ni Spika Job??harafu kajidai kuniandikia barua baada ya kugundua madudu aliyofanya.
Sent using Jamii Forums mobile app