Maoni na Ushauri kwa Joshua Nassari

Maoni na Ushauri kwa Joshua Nassari

Wasalaam!! Kwa mara ya kwanza naomba nimpongeze Spika Ndugui na uongozi wote wa bunge kwa hatui hii waliyochukua. Baada ya kumsikiliza Nassari na sababu zake za kitoto za kutokuhudhuria vikao vitatu mfululizo nimemdharau sana. Sisi ni watanzania na wengi tumeajiriwa au tumejiajiri.

Ni boss gani atakayekuvumilia zaidi ya miezi mitatu eti mwanaume unasubiri mkeo ajifungue? Huwezi angalau kwenda kwazini hata siku mbili kwa mwezi kisa unasubiri mkeo ajifungue? Nassari ni daktari?

Nassari alishindwa nini hata kumtuma mama mkwe wake kumuangalizia mkewe wakati akiwa kalazwa ili angalau atimize sehemu ya majukumu yake? (Kwatamaduni zetu za kiafrica inakubaliwa). Hata Magufuli mama yake yuko ICU lakini anafanya kazi. Watanzania tuache kulea ujinga kama wa huyu anayejiita dogo janja.

Nassari angekuwa mfanyabiashara angekaa hosipitali miezi zaidi ya mitatu kisa mke anasubiri kujifungua mtoto? Ungekuta hizo biashara? Mbona tunajipa majukumu ambayo sio yakwetu? Spika Ndugai nakupa Kongole uko sahihi. Watanzania tuache kuendekeza upuuzi kisa mazoea ya kujiona sisi tu na kwasababu tuna machozi basi tuishi kwa mazoea. Nasema Noooooo!!!!

Juzi walikutana msibani na Mh. DC na Mzee Sarakikya bila aibu akatamka yuko nje kuwatafutia wananchi wake misaada. Sasa leo hizo sababu kazitoa wapi? Naomba afuatilie suala la Makonda na makontena yake. Na pia sio kazi yake kuomba misaada ya hii nchi kwa wahisani. Yeye anatakiwa kuiambia serikali matatizo ya wananchi wake serikali itekeleze na sio kuzurura na kupiga picha nje kwa matanuo yake.
Naomba hili liwe fundisho kwa wawakilishi ngazi zote.
Na sisi watanzania tuache kuwaonea huruma wapinzani kwa baadhi ya mambo yao ya kipuuzi ambayo yatatutia aibu. Kama wapinzania wanapigania sheria na wawe tayari kuhakikisha hata wao na wafuasi wao wanafuata sheria na taratibu nyingine za nchi ambazo zimetungwa kwa mujibu wa sheria na katiba yetu.
Asanteni Nawasilisha
Wacheza mpira husafiri mpaka wake zao zikifika saa za kujifungua wewe ni mtumishi wa umma ati unaenda miezi mitatu nani alisema ujauzito ni ugonjwa?
 
Muongo wa kutupa huyu alichokisema kwenye bunge la katiba sasa hivi HATHUBUTU ili kulinda tumbo lake.

Majinuni mwingine huyu kabla hajajitoa ufahamu.

Kwa huyo jamaa Lisu lazima atulize mzuka!
 
Kwa umakini wa safu ya uongozi wa CCM na watendaji wake ni dhahiri Nassari kama angekuwa huko basi angeshavuliwa uanachama mapema na Spika kupewa taarifa.

Pale bungeni kuna uongozi wa wabunge wa CCM ambao unafuatilia mienendo ya wabunge wake so utoro wa Nassari ungeshabainika mapema.

Tatizo la hivi vyama vidogo kila mtu ni kambale!
Hebu leta mfano na picha.
 
Mnafiki na majinuni mwingine ambaye hata waliokuwa wanafunzi wake pale UDSM wanamshangaa kwa ukinyonga wake na kuukumbatia ujinga, ufisadi na udhalimu na yale aliyokuwa akiyafundisha darasani kuyakana.

Nazungumzia hii hii CCM ya Dr Bashiru!
 
Wasalaam!! Kwa mara ya kwanza naomba nimpongeze Spika Ndugui na uongozi wote wa bunge kwa hatui hii waliyochukua. Baada ya kumsikiliza Nassari na sababu zake za kitoto za kutokuhudhuria vikao vitatu mfululizo nimemdharau sana. Sisi ni watanzania na wengi tumeajiriwa au tumejiajiri.

Ni boss gani atakayekuvumilia zaidi ya miezi mitatu eti mwanaume unasubiri mkeo ajifungue? Huwezi angalau kwenda kwazini hata siku mbili kwa mwezi kisa unasubiri mkeo ajifungue? Nassari ni daktari?

Nassari alishindwa nini hata kumtuma mama mkwe wake kumuangalizia mkewe wakati akiwa kalazwa ili angalau atimize sehemu ya majukumu yake? (Kwatamaduni zetu za kiafrica inakubaliwa). Hata Magufuli mama yake yuko ICU lakini anafanya kazi. Watanzania tuache kulea ujinga kama wa huyu anayejiita dogo janja.

Nassari angekuwa mfanyabiashara angekaa hosipitali miezi zaidi ya mitatu kisa mke anasubiri kujifungua mtoto? Ungekuta hizo biashara? Mbona tunajipa majukumu ambayo sio yakwetu? Spika Ndugai nakupa Kongole uko sahihi. Watanzania tuache kuendekeza upuuzi kisa mazoea ya kujiona sisi tu na kwasababu tuna machozi basi tuishi kwa mazoea. Nasema Noooooo!!!!

Juzi walikutana msibani na Mh. DC na Mzee Sarakikya bila aibu akatamka yuko nje kuwatafutia wananchi wake misaada. Sasa leo hizo sababu kazitoa wapi? Naomba afuatilie suala la Makonda na makontena yake. Na pia sio kazi yake kuomba misaada ya hii nchi kwa wahisani. Yeye anatakiwa kuiambia serikali matatizo ya wananchi wake serikali itekeleze na sio kuzurura na kupiga picha nje kwa matanuo yake.
Naomba hili liwe fundisho kwa wawakilishi ngazi zote.
Na sisi watanzania tuache kuwaonea huruma wapinzani kwa baadhi ya mambo yao ya kipuuzi ambayo yatatutia aibu. Kama wapinzania wanapigania sheria na wawe tayari kuhakikisha hata wao na wafuasi wao wanafuata sheria na taratibu nyingine za nchi ambazo zimetungwa kwa mujibu wa sheria na katiba yetu.
Asanteni Nawasilisha

..wewe inawezekana huna mke.

..au kama una mke, haujapitia MTIHANI wa kujaribu kupata mtoto na ikashindikana kwa muda mrefu.

..unazungumzia biashara?!! Kuna watu wanafilisika kwa mtihani wa kupata mtoto.

..mbona Spika alikaa nje ya nchi muda mrefu akijiuguza?
 
Back
Top Bottom