mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 94,064
- 132,518
Wanakwenda kushika hatamu kama waitara hawana subira wanahama chomboMie najiuliza tu, makosa madogo kama haya,(kama ni kweli) ni uzembe .... sasa unawezaje kufanywa na vijana wanaoitwa wasomi na pengine chama kikishika hatamu wawe viongozi wa juu serikalini, watatufikisha kweli?
Ukiwa kijani mpaka na akili zinakuwa kijani .Moshi wa mwenge unakupunguza akili unakuwa zuzu .Wewe kila siku thread zako za ajabu ajabu utafikiri mwanafunzi wa darasa la tatu.
Si trahisi kujua hali ya mkewe ilikuwa critical namna gani? Sijui kwa nini ofisi ya spika haikumjibu barua yake ya kuomba ruhusa. Machozi ya Nasari yanaweza kuwa na maana ya kina zaidi zaidi kuliko uwezo wa yeyote kati yetu kuimagin.Mkuu unadhani sababu za Nassary zina Mashiko? Kutoka moyoni sema tu.
Mimi niliisha mshauri kabla, kwa vile Chalii bado ni dogo na bado ana safari ndefu mbele yake, Kama anatakaa kuendelea kuwa na future kwenye the game of politics, then, there is no any other options zaidi ya kuunga mkono juhudi. Ushauri huu niliutoa siku nyingi kabla.Pascal Mayalla ushauri wako juu ya DOGO janja Mh.Nassar ukoje Tafadhali.
AhaaaaaaaaaaaaaaSijaamini utetezi alioutoa Nassari kwasababu kadhihirisha kabisa kua anajua alivunja sheria na ndio maana ni kama anaomba Ndugai atoke kuwa spika afanye kazi za maparoko na wachungaji bila kujua siasa ni kazi ya kaisari na ukizingua unahukumiwa kikaisari. Kwa hili Nassari katudanganya ila hata kama ni kweli alikua busy kushughulkia afya ya mke na mwanae, asishangae siku anagundua mtoto aliemfanya kumwaga chozi mbele ya kamera kumbe ni wa Lema au jirani yake. Life is full of surprises, never take anything for granted
Ka-mtu kenu kajinga tu! Nahisi kalilengesha azaliwe huko kwa matumaini kwamba akikuwa, ataomba awe raia wa US. Hapo ndo utaona kwamba tuna wasio na akili ndani ya Bunge. Analipwa mshahara kwa kazi ya ubunge. Hiyo ndo ajira yake. Ni ajira ya kiapo cha kuwatumikia wananchi. Sasa yeye anakuja na hadithi za kusema eti familia yake ni bora kuliko ajira! Kwa maana nyingine familia yake ni bora kuliko wananchi anaowawakilisha. Soo low!..wewe inawezekana huna mke.
..au kama una mke, haujapitia MTIHANI wa kujaribu kupata mtoto na ikashindikana kwa muda mrefu.
..unazungumzia biashara?!! Kuna watu wanafilisika kwa mtihani wa kupata mtoto.
..mbona Spika alikaa nje ya nchi muda mrefu akijiuguza?
Hata wa Jiwe pia huwezi juaSijaamini utetezi alioutoa Nassari kwasababu kadhihirisha kabisa kua anajua alivunja sheria na ndio maana ni kama anaomba Ndugai atoke kuwa spika afanye kazi za maparoko na wachungaji bila kujua siasa ni kazi ya kaisari na ukizingua unahukumiwa kikaisari. Kwa hili Nassari katudanganya ila hata kama ni kweli alikua busy kushughulkia afya ya mke na mwanae, asishangae siku anagundua mtoto aliemfanya kumwaga chozi mbele ya kamera kumbe ni wa Lema au jirani yake. Life is full of surprises, never take anything for granted