Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,129
- 8,375
kuhudhuria vikao ndiyo kazi yao hao jamaa..Haji kazini wapi?.........mbunge siyo mfanyakazi usisahau hilo!
kuhudhuria vikao ndiyo kazi yao hao jamaa..Haji kazini wapi?.........mbunge siyo mfanyakazi usisahau hilo!
Kama ni kazi yao mbona wanalipwa posho za kukaa bungeni?!!!kuhudhuria vikao ndiyo kazi yao hao jamaa..
Kumbe unamjua mwenye hizo kura!Unalijua povu wewe! Hongera 0 Brain! 6m kahama nazo mtaongezea2020
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanamshahara wa mwezi plus posho kila wanapokaa kwenye vikao..thats why walivyomkatia mshahara bwana yule akili zimemrudi anataka kurudi nyumbani.Kama ni kazi yao mbona wanalipwa posho za kukaa bungeni?!!!
Namjua mkuu,lakini kahama na uharo,je mmesha mchamba?Kumbe unamjua mwenye hizo kura!
Kwani hapo Ufipa alikuwa anachambwa na Daudi Mchambuzi?!
Kwa umakini wa safu ya uongozi wa CCM na watendaji wake ni dhahiri Nassari kama angekuwa huko basi angeshavuliwa uanachama mapema na Spika kupewa taarifa.
Pale bungeni kuna uongozi wa wabunge wa CCM ambao unafuatilia mienendo ya wabunge wake so utoro wa Nassari ungeshabainika mapema.
Tatizo la hivi vyama vidogo kila mtu ni kambale!
Pole sana!Kuna kijana wangu wa miezi sita nimemsomea hii post kacheka sana afu kasema uoooooongo mtakatifu . Sasa hivi niko hospital nimelazwa kwa kihoro
get well soon tl
msipende kutoa visingizio vya kitoto. Fanya hivyo kwenye ajira yako iwe kwa Mhindi ama popote pale kama utadumu.Mkuu hebu wakati mwingine tuache siasa za kijinga!
Nimemsikiliza Nasari kiukweli inaumiza sana halafu kibaya zaidi alitoa taarifa!
Lakini hebu tujiulize kulikua kuna ubaya gani ndugai angemuita akamsikiliza?
Leo ndio nmegundua kumbe Nasari alikua kwenye changamoto ya ndoa toka 2014 hawajapata mtoto!
Walio kwenye ndoa wanajua stress za hilo jambo ndio maana huyu jombaaa alikua kimya sana ....lisikie tu kwa mtu!
Ndugai hilo analijua hivi kweli ameishiwa ubinadamu kiasi hicho?
Kwa umakini wa safu ya uongozi wa CCM na watendaji wake ni dhahiri Nassari kama angekuwa huko basi angeshavuliwa uanachama mapema na Spika kupewa taarifa.
Pale bungeni kuna uongozi wa wabunge wa CCM ambao unafuatilia mienendo ya wabunge wake so utoro wa Nassari ungeshabainika mapema.
Tatizo la hivi vyama vidogo kila mtu ni kambale!
Hahahaa......... Chadema mnajifanya nyie ni bongo bahati mbaya!Shangaa na yule muhongo ambaye hajatia mguu bungeni kwa kipindi kirefu lakini Kikaragosi cha dikteta ndugai hajatia neno.
Hahahaa......... Chadema mnajifanya nyie ni bongo bahati mbaya!
Sio ukweli acha unafiki mkuu Watanzania sio WajingaKwa umakini wa safu ya uongozi wa CCM na watendaji wake ni dhahiri Nassari kama angekuwa huko basi angeshavuliwa uanachama mapema na Spika kupewa taarifa.
Pale bungeni kuna uongozi wa wabunge wa CCM ambao unafuatilia mienendo ya wabunge wake so utoro wa Nassari ungeshabainika mapema.
Tatizo la hivi vyama vidogo kila mtu ni kambale!
Hapo Ufipa itabidi muwe mnatoa semina elekezi kwa wabunge wenu!Jibu hoja acha kumbwela mbwela! Chadema bahati mbaya wakati huo huo mnaihofia kwenye uchaguzi huru na wa haki! Shurti kwa mgongo wa Tume FAKE ya uchaguzi na policcm AKA green guards! Akili za wapi hizi? Bila shaka za mtaa wa lumumba.
Siyo kweli nini?!