Nachoelewa Viongoz wa chadema wamefanikiwa kuwageuza misukule wanafuasi wao.Wafuasi wa chadema wanaamini viongoz wao ni MALAIKA, kila kosa watakalo fanya lazima watafute pa kuwaficha waonekane hawana ttz.Mikutano mitatu ni mingi sana,inamaana hata ule mkutano wa bunge la bajeti ambao ni miezi mitatu hakuhudhuria. Inamaana muda wote huo ilikua ngumu kwa yeye kuomba ruhusa au kupata mda kidogo na kumuona speaker direct kuwa nina shida hii na hii.Iyo sheria ya kujieleza CDM wamegeuza yaani hawa jamaa ujanja mwingi mbele kiza mkuu.
Je uhisi kuna usaliti kutoka CDM katika hili mkuu? wabunge wote wa CDM pamoja na yule Mrema walikuwa awajui sheria,taratibu na kanuni za Bunge?
Sent using Jamii Forums mobile app
kwanza ruhusa alipewa na nani maana kuuliza swali siyo kupata jibu, jibu ndiyo linakuhalalisha wewe ulichokiuliza hana hata barua ya ruhusa utasema kaonewa na sheria inasemajeMm huwa mrengo wangu wa kisiasa ni uoinzani but huyu jamaa mm wala simsupport wala kumuonea huruma! Yaan vikao vi3 ushindwe kutokea hata kimoja? Sheria unaijua na hata kama una mgonjwa wewe suyo dr, kwan alishindwa kuja kuhudhuria for one week halafu akaondoka? Unakaaje muda huo? Play the system! Hudhuria hata 2 days sepa! What a fool
Ushauri wako siyo sahihi, huyu dogo hahudhurii bungeni sasa agombee kufanya nini? Kwa mwaka bunge lina mikutano minne, yeye hajahudhuria mikutano mitatu mfululizo halafu eti agombee tena? Nitashangaa watakaomchagua.Nadhani cha kufanya ni yeye ajipange kugombea tena ubunge tu. Kwenye kampeni kama wapiga kura wataelewa hoja zake haitakuwa tabu kushinda
wazee wa kimeru wapi babu? mimi niko meru na wale uliowaona ni wazee wa ccm walioandaliwa kukusanyika chini ya mti wa kimila wakajifanya ni kuwa hawamtaki ila ukweli ni kuwa Joshua alikuwa anakubalika sana huku! hayo unayoona ni muvi kama za jiwe mzee. ila all in all simuamini Joshua na huenda kaunga juhudi kwa njia nyingine mpya!Kuna jimbo walipoteza wapinzani wakalichukua tena kwa siku za karibuni? Na umewasikikiza wazee wa kimeru walichokisema?
Hicho kitu hakipo, kwa kifupi tu
Siasa za tz kwa sasa ni unbelievable, Japo namkubali sana Nassari ila kwa hili moyo wangu umekuwa mzito kukubaliana nae. naona analeta hoja za madeko zaidi badala ya kujikita kisheria na sio kifamilia.
NB: ujinga wa kutojua sheria hauzuii sheria kukuadhibu.
Vipi kuhus Bunge kumuita kumhoji Nasari kabla ya kumfuta kazi??Ninachojua tu na nina uhakika nacho ni kwamba Spika Ndugai ' hajakurupuka ' katika hili na kwamba Vigezo vyote na Masharti yote vilizingatiwa katika ' Kumpoka ' Jimbo Mbunge ' Mpokwaji ' Joshua Nassari. Sheria ni Msumeno na si kila akifanyacho Spika Job Ndugai ni Kibaya kwakuwa tu kuna Watu wana Chuki nae ambazo nyingi zimetawaliwa na kuchochewa na Siasa na Itikadi zetu. Binafsi nimeshawahi Kuanzisha ' Threads ' kadhaa hapa za ' Kumchana / Kumnanga / Kumsiliba / Kumsema ' Spika Ndugai kwa baadhi ya mambo katika ' Utendaji ' wake ila kwa hili naungana nae tena kwa 100% na hata huyo Mbunge ' Mpokwaji ' sina uhakika kwamba hata akienda / akikimbilia huko Mahakamani kuna atakachokipata kwani Watu walishachungulia mbali kwa marefu na mapana yake hadi ndiyo wakaamua Kumla Mtu Kichwa tena mapema ( asubuhi ) tu.
Mimi siyo mtaalam wa sheria, nataka kujua kama akienda mahakamani kuweka pingamizi la kufutiwa ubunge hata kama upande wa speaker utashinda lkn kutokana na utamaduni wa mahakama zetu kuchelewesha hukumu za kesi, je, hukumu ikitoka baada ya Julai hata kama kashindwa kesi, sihakutakuwa tena na uchaguzi ?Ninachojua tu na nina uhakika nacho ni kwamba Spika Ndugai ' hajakurupuka ' katika hili na kwamba Vigezo vyote na Masharti yote vilizingatiwa katika ' Kumpoka ' Jimbo Mbunge ' Mpokwaji ' Joshua Nassari. Sheria ni Msumeno na si kila akifanyacho Spika Job Ndugai ni Kibaya kwakuwa tu kuna Watu wana Chuki nae ambazo nyingi zimetawaliwa na kuchochewa na Siasa na Itikadi zetu. Binafsi nimeshawahi Kuanzisha ' Threads ' kadhaa hapa za ' Kumchana / Kumnanga / Kumsiliba / Kumsema ' Spika Ndugai kwa baadhi ya mambo katika ' Utendaji ' wake ila kwa hili naungana nae tena kwa 100% na hata huyo Mbunge ' Mpokwaji ' sina uhakika kwamba hata akienda / akikimbilia huko Mahakamani kuna atakachokipata kwani Watu walishachungulia mbali kwa marefu na mapana yake hadi ndiyo wakaamua Kumla Mtu Kichwa tena mapema ( asubuhi ) tu.
Mbona hujauliza kuhusu Lissu. Mwaka mzima na nusu na bado mbunge?..Spika alipewa ruhusa na nani?
Yule dogo mjinga sana....kwani yeye ni wa kwanza kuoa na mke kujifungua....sisi waajiriwa, wake zetu wanajifungua tunachukua 3 days za paternity leave kisha tunarudi kibaruani mtoto hata 7 bado?Ndio vimemgharim sasa, ila mi naona ni halali tu alivyoliwa kichwa kwsbb kuna wabunge wengi tu wanawake wanajifungua na baada ya muda wanaendelea na majukum yao.
Kuna wabunge wa kiume wengi tu ambao wake zao wamejifungua still haikuathiri kazi zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alipokaa kimya inakuwa taabu, akiongea mnamtazama kwa jicho la tatu. Huyo Ndugai mbona amjatazama kwa jicho la ziada nae? Mnadhani alilofanya ni sahihi? Ebu acha kuondoa train kwenye reli bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli viongozi wa upinzani wanapimwa kwa viwango tofauti kabisa,wakidhulumiwa wataambiwa wazembe,wakionewa wanaambiwa ni watu wa kulalamika,sasa sijui wafanyeje?Alipokaa kimya inakuwa taabu, akiongea mnamtazama kwa jicho la tatu. Huyo Ndugai mbona amjatazama kwa jicho la ziada nae? Mnadhani alilofanya ni sahihi? Ebu acha kuondoa train kwenye reli bhana
Sent using Jamii Forums mobile app