Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 Nchini Tanzania

Umkonto

JF-Expert Member
Dec 27, 2018
2,105
3,618
Nimekuwa nikipokea hizi sms hapo chini. Ni jambo jema wananchi kupewa nafasi ya kutoa maoni kama kweli watayafanyia kazi. Binafsi maoni yangu yamejiegemeza katika sekta ya umeme, kilimo cha umwagiliaji na viwanda.

Si vizuri kuwa na uchumi wa fremu za kupangisha kwa ajili ya bidhaa kutoka China, hadi nguo wakati tunaweza kulima pamba hapa nchini. Kazi kwenu sasa great thinkers kutoa maoni ili ikifika 2050 Tanzania iwe kama Ulaya. "We Live for the Future, and not for the Current"

"Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ni maono ya Nchi kwa miaka 25 ijayo. Kila Mtanzania ashiriki kutoa maoni. Zoezi la kukusanya maoni limeshaanza."

"Shiriki kutoa maoni ya Dira2050 kwa maendeleo ya Taifa.Piga *152*00#, 8-Elimu,4-Dira ya 2050 au tembelea tovuti"
 
Nimekuwa nikipokea hizi sms hapo chini. Ni jambo jema wananchi kupewa nafasi ya kutoa maoni kama kweli watayafanyia kazi. Binafsi maoni yangu yamejiegemeza katika sekta ya umeme, kilimo cha umwagiliaji na viwanda. Si vizuri kuwa na uchumi wa fremu za kupangisha kwa ajili ya bidhaa kutoka China, hadi nguo wakati tunaweza kulima pamba hapa nchini. Kazi kwenu sasa great thinkers kutoa maoni ili ikifika 2050 Tanzania iwe kama Ulaya. "We Live for the Future, and not for the Current"

"Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ni maono ya Nchi kwa miaka 25 ijayo. Kila Mtanzania ashiriki kutoa maoni. Zoezi la kukusanya maoni limeshaanza."

"Shiriki kutoa maoni ya Dira2050 kwa maendeleo ya Taifa.Piga *152*00#, 8-Elimu,4-Dira ya 2050 au tembelea tovuti"
Umeme tu unawashinda pumbavu
 
Hawana akili hawa.
Mimi maoni yangu wimbo wa taifa ubadilishwe.
Maneno Mungu ibariki Africa/Tanzania yaondolewe.
Hatuwezi kuwa tunamuomba Mungu atubariki wakati sisiemu ni wezi, majaji wanakula rushwa, siasa kila mahali, TAMISE wanaiba kura za serikali za mitaani, polisi wanawalinda wezi wa watesi wetu, jeshi linalinda wanaofinyanga katiba kwa makusudi. Bunge linapitisha sheria za hovyo kama ile ya wake wa wastaaf nao walipwe mihela. Yaani mtu kawa hadi waziri mkubwa akastaaf, huyu ana shida ya kutunza familia? Mnaongeza mizigo kwa walipa kodi wakati watu Mwananyamala wanalala sakafuni na watoto wachanga, hospitali hazina dawa, umeme mpaka leo miaka 62 ya uhuru fake haupo wa uhakika.

Mungu gani anatubariki kwa upuuzi wa aina hii? waliopewa dhamana kufanya maamuzi wanayofanya hivi wanakaaga peke yao wanatafakari wanayoyafanya? Yaani mpaka CFD kama sio CDF anasema wazi wazi mnaweka Watusi serikalini tena sehemu nyeti............hao wanaofanya vetting wanafanya nini?
Tisi mnachukua vijana wa yuvisisiemu...............manioko!!!

Mungu sio mzee Tarimo wa kufanya naye utani......unapotaja jina la Mungu uwe na nidhamu ya hali ya juu na inswaaf moyoni. Sio Mungu ibariki Tanzania kesho mnasaini bandari miaka 99............

Pumbavu.
 
Back
Top Bottom