Manji: Nchi yangu hainithamini

Manji: Nchi yangu hainithamini

Mpuuzi mkubwa. Kavunja Salamander, kavunja hadi hoteli ya Etience mahali ambako tangu Uhuru wazee wetu walikaa. Sasa kaweka ndugu zake. Huyu mpuuzi kashitaki magazeti yote yanayomwandika na kuweka zuio asiguswe. Ulizia mwanahalisi, dira, jamhuri na mengine mengi. Mpuuzi, acha magufuli amnyooshe.
 
Siwi mbaguzi, lakini suala hili lazima serikali ya Magufuli iliangalie kwa umakini: Sehemu kubwa ya Utajiri wa Tanzania imeshikwa na Wahindi.

Goodrich,
Nasikia harufu ya Ubaguzi.Mimi siyo Mhindi lakini kitendo cha kuanza kumlaumu Manji na kulalamika ati sehemu kubwa ya utajiri meshikiliwa na Wahindi naona ni upuuzi mtupu! Kwa maana hiyo hata kina Mo Dewji na Wahindi wote wafanyibiashara wakubwa hawatakiwi Tz?
Watz acheni wivu wa kijinga wa kuwaonea ghere jamii ya Waasia ambao ni wachakarikaji na watafutaji wa maisha walio makini kabisa na dunia inajua hilo.
Nenda USA,Canada,Uingereza,n.k utawakuta hawa jamii ya Wahindi wakimiliki biashara za uhakika!

Kama kuna mtu ana ushahidi wa Manji kuhusika na Ufisadi wa aina yoyote kama EPA,TEGETA ESCROW,CONTAINERGATE(TRA&TPA),DEEPGREEN,n.k atuwekee hapa ili tuanze kumchana live!
 
Tusimhukumu mzee Manji bila vielelezo vya uhakika,nilipoliskia lile tangazo lake clouds kuna kitu nilikismkia kuwa kuna watu wanamchafua kwa sababu za ushindani wake katika biashara! Tuweke maneno ya akiba!

Hata zile milioni 700 zilizokamatwa Dodoma ati za kununua zabibu ni ushindani wa kibiashara? Ache uongo
 
Namshangaa sana Mh Diwani Manji..hizi kelele zake za kusema nchi haimthamini.. sababu Tu kukosa Coco Beach.. kwahiyo namuuliza Mh Diwani Manji yeye hatakiwi kukosa ,chochote anachotaka katika nchii yeye apewa Tu..mbona vingi amepata kuliko alivyokosa..amepewa miradi mingi na serikali.. kukosa Coco Beach iwe nongwa.. au unalalamika kijanja kukosa na Umeya..

Mbona kuna WATANZANIA kibao wanaomba ajira Tu ..hawapati..iwe serikalini au sekta binafsi ila hawasemi nchi haimthamini

Manji tunaomba utuambie vizuri una maana gani kusema nchi haikuthamini
 
Hanajipya mwizi huyo pesa yote asilimia 75ya biashara zote tanesco ni zake amelifirisi shirika. Mzee pombe uko sahihi kabisa jamaa ni mwizi alimuweka kiganjani mzee mkapa kajipatia magodauni ya modulo kwa bei poa halafu kawauzia ten kwa bei yakutisha. Hana uchungu na nchi. Hela ya import support zaidi ya nusu alipewa yeye na Jirani yake. Hajarudisha hata Sununu moja. Anasema Si yeye alikuwa marehemu babake mengi tunayafahamu ushauri alas kimya aendellee na wizi wake
 
Hii ni kwa wahindi wote ndio maana wamejazana kwenye nyumba za kupanga

Huu ndio ukweli hata watu wakikataa hapa.tusiwe wanafiki.kama mhindi hana mapenzi ya dhati na nchi hii kwanini tusiseme?
 
Hakika Kwa Mawazo Duni Waliyonayo Wachangiaji Wengi Humu Kama Taifa Tunasafari Ndefu Sana Kufika Huko Tunakotaka Tufike
 
Tuache unafiki manji mwili upo Tanzania moyo upo India.

Mie nawashangaa sana Wabongo kwa akili isiyoweza kuchanganua mambo!Hivi kwa akili yako unafikiri zile 700m zilikuwa ni za nini?

Hiyo fueza ilikuwa kuwachanganya Watz ili wasijue kilichokuwa kinaendelea kwene mchakato wa kumpata mgombea wa CCM kati ya Lowassa,Membe na Magufuli! Ndo maana hiyo Fedha yote ilirudishwa kwa mwenyewe na hakukuwa na kesi coyote!
 
Hivi kati ya manji na Tanzania ni nani asiye mthamini mwenzie.??
 
Huwa Na Washangaa Kuona Baadhi Wabongo Wakijenga Ukabila Kwa kuwalaumu Wachagga, Nyakusya Na Haya Tribe. Lakini Tangu Uhuru Hawa Watized Wenye Asili Ya Kiasia Na Kiarabu Ndio Wana Run Tized. Racist Mna Kazi Kuweza Kuona Big Picture.
 
Nani racist hapa? Hebu tuambie mtz mweusi aliyemuoa muhindi?
 
Goodrich,
Nasikia harufu ya Ubaguzi.Mimi siyo Mhindi lakini kitendo cha kuanza kumlaumu Manji na kulalamika ati sehemu kubwa ya utajiri meshikiliwa na Wahindi naona ni upuuzi mtupu! Kwa maana hiyo hata kina Mo Dewji na Wahindi wote wafanyibiashara wakubwa hawatakiwi Tz?
Watz acheni wivu wa kijinga wa kuwaonea ghere jamii ya Waasia ambao ni wachakarikaji na watafutaji wa maisha walio makini kabisa na dunia inajua hilo.
Nenda USA,Canada,Uingereza,n.k utawakuta hawa jamii ya Wahindi wakimiliki biashara za uhakika!

Kama kuna mtu ana ushahidi wa Manji kuhusika na Ufisadi wa aina yoyote kama EPA,TEGETA ESCROW,CONTAINERGATE(TRA&TPA),DEEPGREEN,n.k atuwekee hapa ili tuanze kumchana live!

Nyie waasia ni mafisadi wakubwa na wabaguzi kasome list ya wakwepa kodi wa makontena woote ni waasia mpaka ICD iliyohusika ni yenu waasia ufisadi wowote mkubwa Tanzania ni Nyie waasia na makapurwa wachache wa kitanzania yaani kwenye makampuni yenu mmejazana kwenye nafasi zote za maana hata kama mkiajiri position moja na mtanzania mtamlipa tofauti na mtanzania.
Mwisho wenu umekaribia kama ni kufanikiwa Tanzania mtafanikiwa kihalali na kodi mtalipa effectively zama za mkwere za kipumbavu zimeisha.
 
@Elli ndiyo Tanzania ni nchi yake kwani ana uraia wa nchi nyingine? Kuna tatizo la watu kuwaza kwamba wahindi siyo watanzania. Ni bahati mbaya sana!!

Wewe ni jipu mkuu. Kwani haujui Kama Wahindi huwa wana passport zaidi ya mbili au tatu !? Au nenda India ukagombee hata kuwa Mwenyekiti wa wauza Tambuu au magazeti uone Kama utapata!
 
Back
Top Bottom