Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,230
- 10,201
Bramo nini India nenda Kenya katuonyeshe Mtanzania ambaye ni Diwani wa kule. Huu ni Ubaguzi wa kiwango kile kile cha wale wanaowabagua wenzao kutokana na dini zao. Kama Kenya Mtanzania hawezi kuwa Kiongozi ni kwa nini mtake Mtanzania akawe kiongozi India? Manji ni Mtanzania na ndiyo maana amechaguliwa kuwa Diwani wa Mbagala Kuu, ila yeye Kabila lake ni Mhindi kama Magufuli alivyo Msukuma!!
Mkuu
Nadhan wewe utakuwa Mhindi, sio bure