Mie nawashangaa sana Wabongo kwa akili isiyoweza kuchanganua mambo!Hivi kwa akili yako unafikiri zile 700m zilikuwa ni za nini?
Hiyo fueza ilikuwa kuwachanganya Watz ili wasijue kilichokuwa kinaendelea kwene mchakato wa kumpata mgombea wa CCM kati ya Lowassa,Membe na Magufuli! Ndo maana hiyo Fedha yote ilirudishwa kwa mwenyewe na hakukuwa na kesi coyote!
Mpendwa Kwambuzi !!
punguza jazba na ukubuhu wa ubaguzi... Uwe mkweli jee wajua HOSPITALI ya MUHIBILI ILIJENGWA NA nani??
Jee wajuwa IKULU ya magononi ilijengwa na nani..??
Jee wajuwa Jiji la DAR lilijengwa na nani?
Jee wajuwa Chuo kiku cha USDM, UDOM lilifadhiliwa na nani..??
Jee wajuwa Masirika ya UMMA zaidi 150 alikuwa milik ya nani..??!!
jee wafahamu Shule za za msingi,sekondari na high school zilijengwa na nani...?
Kumradhi sana hujui kama kuna taasisi za kijamii (lions club,HHA,DYCC,Yatima, foundations nk nk nk) zina hudumia wananchi na kuwalipia masomo/malezi/missada na matibabu ndani na nje ya nchi...!!!
Ndugu yangu umelishwa chakula chenye chuki, na kuvishwa miawani yenye ubagauzi...
Jee wajuwa kuwa wakuu (Viongozi wengi nchini) wake zao ni hao uliyo wataja na kuwa nasibu na "ugeni" ?!!?
Sasa hao wa ESCROW na EPA na RICHMOUND NK NK NI akina nani..!?!!!?!?!?!?
Ukishindwa kuukana UFISADI.... basi usijumuishe au kujumlisha au usiwahusishe jamii fulani...!!!!
Mapungufu na uozo upo kila pembe za nchi.....
Kila la heri...
Dikson mpemba Hapa Duniani hatuishi na malaika!! Hakuna aliye msafi au Mla hewa!! sote tunafanya kazi na kuchuma tulicho wekeza !!!
magufuli anamchukia sana Manji, sijui alimfanyia nini...manji amesaidia watu wengi sana mpaka club yetu ya Yanga
Mkuu unao ushahidi ??!!??Mara nyingi uko gentle and genuine. Lions club ilikuwa nzuri mwanzani ila kuanzia wahindi wajazane humo imeharibika. Hata ukiangalia hao wanaopelekwa India kwa sasa na lions club asilimia kubwa ni waasia. Ubaguzi bado upo, kwamba kuoa hao mabinti wa kiasia ni lazima uwe kiongozi?
Je sehemu kubwa ya uchumi ingeshikwa na wamakonde?Siwi mbaguzi, lakini suala hili lazima serikali ya Magufuli iliangalie kwa umakini: Sehemu kubwa ya Utajiri wa Tanzania imeshikwa na Wahindi.
Nahofia tusijejuta..Maana miaka ya 70 Nvchi hii ilikabidhiwa wazawaa (yakiwemo kila kitu intact,Viwanda 500,Makampuni 1800,mashule maHospitali ,nk,nk) Mmmmh waddugu haikuchukuwa miaka 4 tuu... Muflisi na sabotage juu !!Ninao
Hii sio nchi yake. Nchi sip kama nyumba au gari unamiliki peke yako.Kuna tangazo linarushwa Clouds, Manji Diwani wa Mbagala kuu ameonekana akilalamika sana juu moja ya kampuni yake kuhusu uendelezaji wa ufukwe Coco Beach. Ameeleza mengi mpaka suala la Magomeni.
Ameeleza mafanikio yake kupitia kampuni yake ya Quality Plaza na dunia inavyomthamini. Ila amesema nchi yake haimthamini.. Sijajua nini maana ya Manji kusema nchi haimthamini, anakusudia nini Maana nchi ni watu na viumbe..
Anasemaje sisi watanzania hatumthamini wakati tumempa udiwani Mbagala na tumempa uenyekiti Yanga.
Naomba Manji atupe ufafanuzi ni nchi haimthamini au viongozi ndio hawamthamini?
Atueleze vizuri..
Rejea saga ya enzi magu akiwa ardhi? Ninaongea na mwenye m*** na sio mb**** jeuri ya rupia. Sasa mwenye hayupo. M*** ndio mwenye!!!/ patamu haopo. Ajiinuaye..........magufuli anamchukia sana Manji, sijui alimfanyia nini...manji amesaidia watu wengi sana mpaka club yetu ya Yanga
700m zilizokamatwa Dodoma 2015,zasemekana nilikuwa za maji.magufuli anamchukia sana Manji, sijui alimfanyia nini...manji amesaidia watu wengi sana mpaka club yetu ya Yanga