Manji: Nchi yangu hainithamini

Manji: Nchi yangu hainithamini

Kuna tangazo linarushwa Clouds, Manji Diwani wa Mbagala kuu ameonekana akilalamika sana juu moja ya kampuni yake kuhusu uendelezaji wa ufukwe Coco Beach. Ameeleza mengi mpaka suala la Magomeni.

Ameeleza mafanikio yake kupitia kampuni yake ya Quality Plaza na dunia inavyomthamini. Ila amesema nchi yake haimthamini.. Sijajua nini maana ya Manji kusema nchi haimthamini, anakusudia nini Maana nchi ni watu na viumbe..

Anasemaje sisi watanzania hatumthamini wakati tumempa udiwani Mbagala na tumempa uenyekiti Yanga.

Naomba Manji atupe ufafanuzi ni nchi haimthamini au viongozi ndio hawamthamini?

Atueleze vizuri..
Nimeliona nami hilo yangazo, Nimeshangaa kasema pia yeye ni mwenyekiti wa Yanga yenye MASHABIKI MILIONI 30, milioni 30? Wa simba ni wangapi na watoto ktk hiyo sensa ya mil 40 ni wangapi? Eti milioni 30! Hovyo.
 
@Elli ndiyo Tanzania ni nchi yake kwani ana uraia wa nchi nyingine? Kuna tatizo la watu kuwaza kwamba wahindi siyo watanzania. Ni bahati mbaya sana!!
Mimi sio mbaguzi ila angekuwa anaitwa Manji Kilewella ningemuelewa...binafsi simthamini we nenda pale quality Plaza uone vioja tozo ya pango ya bei ya chini kabisa ni Dollar 2175 in three months kwa tule tuvibanda twa Sq.M 2.5

Yeye anatuthamini?
 
Wewe ni jipu mkuu. Kwani haujui Kama Wahindi huwa wana passport zaidi ya mbili au tatu !? Au nenda India ukagombee hata kuwa Mwenyekiti wa wauza Tambuu au magazeti uone Kama utapata!
Uhindi wala weusi si Utanzania. Mimi nitaendelea kuamini kuwa Manji ni mtanzania kama nilivyo mimi!! Huo ubaguzi wenu wa rangi wengine hatuwezi hata kwa bahati mbaya kuuvumilia. Huo ni UKABURU na ni lazima tutapigana kuutokomeza!!
 
Kuna tangazo linarushwa Clouds, Manji Diwani wa Mbagala kuu ameonekana akilalamika sana juu moja ya kampuni yake kuhusu uendelezaji wa ufukwe Coco Beach. Ameeleza mengi mpaka suala la Magomeni.

Ameeleza mafanikio yake kupitia kampuni yake ya Quality Plaza na dunia inavyomthamini. Ila amesema nchi yake haimthamini.. Sijajua nini maana ya Manji kusema nchi haimthamini, anakusudia nini Maana nchi ni watu na viumbe..

Anasemaje sisi watanzania hatumthamini wakati tumempa udiwani Mbagala na tumempa uenyekiti Yanga.

Naomba Manji atupe ufafanuzi ni nchi haimthamini au viongozi ndio hawamthamini?

Atueleze vizuri..

Hivi India kuna wa Tanzania / M Tanzania anayeishi Ki Falme kama Manji anavyoishi Tanzania.
This is not Fair Jaman.
Hata mkiniita Mbaguzi huo ndio ukweli.
Hawa Jamaa kwetu wanaishi Ki Falme,hadi wanakuwa Madiwani
Mtu aenda India atuletee M Tanzania japo Mmoja tu anayeishi kama Manji Tanzania
 
Nchi ni Ardh, Taifa ni Watu Kama anamaanisha Ardh haimdhamini sawa tu!
 
Huwa Na Washangaa Kuona Baadhi Wabongo Wakijenga Ukabila Kwa kuwalaumu Wachagga, Nyakusya Na Haya Tribe. Lakini Tangu Uhuru Hawa Watized Wenye Asili Ya Kiasia Na Kiarabu Ndio Wana Run Tized. Racist Mna Kazi Kuweza Kuona Big Picture.

Baba wa Taifa Mal.JK Nyerere(RIP)wakti wa uhai wake aliwahi kusema ukianza dhambi ya Ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu huwezi kuacha.Mwl.akasistiza kama mkiifanya dhambi hiyo itawatafuna na akasistiza kwamba na IWATAFUNE!

Nyerere hakuwa mpuuzi kama Mitanzania mingine na hasa viongozi wa sasa wa CCM!Hivi kwanini Nyerere alimteua Waziri wa FEDHA WA KWANZA MHINDI Ndugu AMIL JAMAL?????Je,Nyerere hakujua ubaya wa Wahindi???Tell me you poor Tanzanians!
 
binafsi simthamini we nenda pale quality Plaza uone vioja tozo ya pango ya bei ya chini kabisa ni Dollar 2175 in three months kwa tule tuvibanda twa Sq.M 2.5

Yeye anatuthamini?
Kuna mtu analazimishwa kwenda kupanga? Halafu matumizi ya Dollar wengine tumeyapigia kelele mpaka tumechoka. Wakati mwingine tunaambiwa uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo. Kama anapangisha kwa Dollar na wanaoendesha serikali wanaona sawa basi tatizo liko wapi?
 
Uhindi wala weusi si Utanzania. Mimi nitaendelea kuamini kuwa Manji ni mtanzania kama nilivyo mimi!! Huo ubaguzi wenu wa rangi wengine hatuwezi hata kwa bahati mbaya kuuvumilia. Huo ni UKABURU na ni lazima tutapigana kuutokomeza!!

Mkuu lazima utakuwa unafanya Kazi Quality Group.
Huawezi kumtetea Manji kwa Nguvu kiasi hiki
 
Kweli nchi yake india haimthamini aende pakistan kama vipi.
 
Uhindi wala weusi si Utanzania. Mimi nitaendelea kuamini kuwa Manji ni mtanzania kama nilivyo mimi!! Huo ubaguzi wenu wa rangi wengine hatuwezi hata kwa bahati mbaya kuuvumilia. Huo ni UKABURU na ni lazima tutapigana kuutokomeza!!
Nitakuuliza maswali kadhaa naomba majibu mkuu.
A) Tembelea kwenye makampuni mengi ya Wahindi,Je hakuna ubaguzi wa wazawa huko?
B) Kwenye maghorofa Yao ya makazi huko Upanga na kwengineko hakuna ubaguzi katika upangishaji!? Hili limeshamkuta mdogo wangu.
C) Kama wao ni wabantu kwa nini wasikubali tuwaoe madada/mabinti zao!?
D) Katika shule zao (ie: Al muntazir etc) unajua ubaguzi unaoendelea huko!?
E) Umeshawahi kwenda BOA BANK!? Huduma kwa Golo zikoje!?
F) Unajua maana ya neno GOLO!? Wanatumia Wahindi kutuita sisi Watanzania wazawa.
 
Baba wa Taifa Mal.JK Nyerere(RIP)wakti wa uhai wake aliwahi kusema ukianza dhambi ya Ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu huwezi kuacha.Mwl.akasistiza kama mkiifanya dhambi hiyo itawatafuna na akasistiza kwamba na IWATAFUNE!

Nyerere hakuwa mpuuzi kama Mitanzania mingine na hasa viongozi wa sasa wa CCM!Hivi kwanini Nyerere alimteua Waziri wa FEDHA WA KWANZA MHINDI Ndugu AMIL JAMAL?????Je,Nyerere hakujua ubaya wa Wahindi???Tell me you poor Tanzanians!

Hakukuwa na Rasilimali watu by that time ndio Maana huyo Waziri akateuliwa (Kama kweli)
Umeshawahi kwenda JWTZ,POLISI ama MAGEREZA ukakuta Mhindi ?
Jitafakari,kuna Idara za Serikali shurti uwe Mzawa Halisi (Black) ndio utie Maguu
 
Bramo nini India nenda Kenya katuonyeshe Mtanzania ambaye ni Diwani wa kule. Huu ni Ubaguzi wa kiwango kile kile cha wale wanaowabagua wenzao kutokana na dini zao. Kama Kenya Mtanzania hawezi kuwa Kiongozi ni kwa nini mtake Mtanzania akawe kiongozi India? Manji ni Mtanzania na ndiyo maana amechaguliwa kuwa Diwani wa Mbagala Kuu, ila yeye Kabila lake ni Mhindi kama Magufuli alivyo Msukuma!!
 
Ataondoka yeye lakini si na hela ya Tanzania. Mbele ya serikali ya Magufuli hakuna kuhamisha pesa labda za kununua gari tu. Alizoe mno serikali za wapigaji huku yeye akipiga zaidi na ama kawatunzia. Na bado hata akina Manji weusi watakuja hapa sio suala la ubaguzi ni reality check.
 
Nchi inaendesha kwa kufuata utaratibu, kanuni na katiba yake.Na kama unaenda kinyume na lazima uwajibike kwa mujibu wa sheria inavyotaka.
Na hukuna yeyote aliye juu ya sheria, kama na yy amekosea lazima sheria ifuate.Isiwe kama mkuki kwa nguruwe tu na si kwa binadamu!
 
Swadaktaaa mkuu.
 
Lazima sheria ifuate ili kuwepo ma uwiano wala hakuna mtu aliye juu ya sheria!
 
Nitakuuliza maswali kadhaa naomba majibu mkuu.
A) Tembelea kwenye makampuni mengi ya Wahindi,Je hakuna ubaguzi wa wazawa huko?
B) Kwenye maghorofa Yao ya makazi huko Upanga na kwengineko hakuna ubaguzi katika upangishaji!? Hili limeshamkuta mdogo wangu.
C) Kama wao ni wabantu kwa nini wasikubali tuwaoe madada/mabinti zao!?
D) Katika shule zao (ie: Al muntazir etc) unajua ubaguzi unaoendelea huko!?
E) Umeshawahi kwenda BOA BANK!? Huduma kwa Golo zikoje!?
F) Unajua maana ya neno GOLO!? Wanatumia Wahindi kutuita sisi Watanzania wazawa.
Ubaguzi ni kama ugonjwa, humpata mtu yeyote yule. Waulize watu wanaosoma masomo ya Jamii kuhusu saikolojia ya watu wachache (Minority) dhidi ya watu walio wengi kwenye eneo husika.

London watanganyika husema Wazanzibar wanawabagua, Dar es salaam wazanzibar wanadaia wanagandamizwa na watanganyika. Hisia za kubaguliwa na ubaguzi ni vitu viwili tofauti. Mzee Mohamed Said anadai kuwa Waislamu wanabaguliwa katika mfumo wa uongozi na Elimu. Ni kweli?
 
Last edited by a moderator:
@Elli ndiyo Tanzania ni nchi yake kwani ana uraia wa nchi nyingine? Kuna tatizo la watu kuwaza kwamba wahindi siyo watanzania. Ni bahati mbaya sana!!
[/Q

hakuna watu ninaowachukia hapa dunian kama wahindi... kafanye nao kazi ndio utajua hawa wana instincs za kuitwa watanzania.... Unadhani kwa nini mwalimu aliwahi kuwatimua hawa watu

ni bora hata joka la makengeza linatuchinjiaga ng'ombe tunakula nyama
 
Back
Top Bottom