ubaguzi wa rangi peleka kwenye ufuaji wa nguo. 😡😡😡kama anaisi kuthamini ni kupola maeneo ya wazi imekula kwake aende kwa wachotala wenzie huko uraia sio lazima awe mzaliwa aende wakamsajili mbele ya safar huko

magufuli anamchukia sana Manji, sijui alimfanyia nini...manji amesaidia watu wengi sana mpaka club yetu ya Yanga
Wangelipaje wakati serikali waliiendesha wao remotely?! Huyu ndiye alituma masanduku ya noti dodoma kuhonga wajumbe wa ccm ili fisadi lao lipitishwe na chama kugombea urais, ulisikia mwisho wa ile kesi?! Fikiria nchi ingekuwa na hali gani kama fisadi lao lingeshinda.aafu hawalipi hata kodi kwenye hizo kampuni zao.
unaweza kuta hata mimi nalipa kodi kubwa kuliko yeye kupitia mshahara wangu.
serikali ya kitapeli ya jk ndio ilikuwa inathamini wasiolipa kodi na kuwaacha walipa kodi.
hawa jamaa wanatakiwa kubanwa sana tupate kodi.
Racism at workKama anaisi kuthamini ni kupola maeneo ya wazi imekula kwake aende kwa wachotala wenzie huko uraia sio lazima awe mzaliwa aende wakamsajili mbele ya safar huko
Ni kweli anaweza kuhama nchi ila tujue tu atahama na ajira za watu kibao ambao mpaka sasa serikali bado haijajipanga kuwapa ajira wala kuwawezesha kujiajiri.
Siungi mkono ufisadi ila nawakubusha tujadili haya mambo kwa kuangali pande zote ili watu waweze kujipanga.
ubaguzi wa rangi peleka kwenye ufuaji wa nguo. 😡😡😡
kama ni mtanzania mbna kaweka wahindi kwnye kampuni zake
magufuli anamchukia sana Manji, sijui alimfanyia nini...manji amesaidia watu wengi sana mpaka club yetu ya Yanga
magufuli anamchukia sana Manji, sijui alimfanyia nini...manji amesaidia watu wengi sana mpaka club yetu ya Yanga
Ni kweli anaweza kuhama nchi ila tujue tu atahama na ajira za watu kibao ambao mpaka sasa serikali bado haijajipanga kuwapa ajira wala kuwawezesha kujiajiri.
Siungi mkono ufisadi ila nawakubusha tujadili haya mambo kwa kuangali pande zote ili watu waweze kujipanga.
Ahame inchi,namjua kama mpigaji na mdhulumati ukifuatilia apeech ya mengi JPM hawezi muonea ivi ivi tuu kuna rafu apo.
Maana utajiri wote alionao ukiuliza kodi alipayo sasa ndo unaweza zimia