This is the beauty of jf! vyanzo vya habai (magazeti) ynaipoti manji anaumwa malaria na imepanda kichwani. Lakini maripota wetu wa jf wanasema anabwia unga!
Tutafika twendeni hivyo hivyo.......
Niulize swali? Kama ni kweli, je, ni dua za Shura ya Maimamu au ni Juju la Kichagga -ndio itasemwa limefanya kazi?
Huduma kwa nini juju la kichaga sijakupata fafanua zaidi...
Mkuu fikiria angekuwa anaifadhiri SIMBA ungesema hivyo?
Kunya anye KUKU akinya BATA kahalisha.
Eti kwa sababu ya ugomvi wake na Mengi!!!!
Wajameni,
Mnataka kusema deadline ya EPA imemkalia pabaya mpaka mapigo ya moyo yameshindwa kazi??????
Anyway, uzushi wa JF tushauzoea sasa hata akina Chenge walikufa na kufufuliwa humuhumhu JF!!!!!!!!!
KAGODA=MANJI+ROSTAM AZIZ
EPA KAMATI=MWEMA+HOSEA+MWANYIKA
EPA KAMATI-KAGODA=MANJI MAHAKAMANI
MANJI MAHAKAMANI+USANII WA KIKWETE=MAHABUSU
MAHABUSU*MADAWA YA KULEVYA=MANJI KUTOROKA
Asha
Mkuu amenunua mechi?..kama anataka kuendelea kuifadhili yanga aendelee lakini kistaarabu..sio kwa kununua mechi muhimu...
Mkuu unanichanganya sana hapo kwa taarifa rasmi Simba ndio walio loga wazi wazi Dalali na Mgosi na TFF kesho inakaa kuwajadili wanaweza wakafungiwa miezi 6 kujihusisha na soka.Mechi ya juzi kamati za ufundi nguvu zilikuwa sawa...........yanga wakaoneza na nguvu ya pesa....!!!....kama sio pesa simba wangeshinda kwani baada ya kamati za ufundi nguvu kuwa sawa...uwanjani simba walicheza vema zaidi ....so walikuwa na nafasi kubwa ya kushinda.....
Mkuu kama unafatilia kwa umakini sana mechi za Yanga na Simba utakubaliana na mimi kuwa zinapo kutana timu itakayo cheza kandanda safi ndo hufungwa fatilia mtanange wa mwisho pale Moro Yanga walicheza vizuri sana na nilikuwepo uwanjani ila Simba hawakuonyesha mpira kabisa lakini walishinda 1-0 the same mechi ya juzi Simba walicheza vizuri wakafungwa na Yanga hawakucheza vizuri wakashinda...kwa hali ya saasa benchi la "ufundi" la simba limedhamiria kupambana na manji ambaye wanaamini ndiye sababu kuu ya wao kufungwa...........
__________________
Kumbe huyo manji ni kijana mdogo tu? dob 1975! Aliyeandika mpaka passport namba yake ni cid au anafanya kazi airport?damn! watu wako informed!Huo utajiri asili yake ni wapi? karithi au?wazazi wake wapo? amesoma wapi?
Eti kwa sababu ya ugomvi wake na Mengi!!!!
Wajameni,
Mnataka kusema deadline ya EPA imemkalia pabaya mpaka mapigo ya moyo yameshindwa kazi??????
Anyway, uzushi wa JF tushauzoea sasa hata akina Chenge walikufa na kufufuliwa humuhumhu JF!!!!!!!!!