Manji anakwepa hukumu ya EPA?

Niulize swali? Kama ni kweli, je, ni dua za Shura ya Maimamu au ni Juju la Kichagga -ndio itasemwa limefanya kazi?
 
This is the beauty of jf! vyanzo vya habai (magazeti) ynaipoti manji anaumwa malaria na imepanda kichwani. Lakini maripota wetu wa jf wanasema anabwia unga!

Tutafika twendeni hivyo hivyo.......

Masatu who reported this first JF or the so called papers? Who reported first the Tarime election results? JF or papers, who reported first on Balali resignation or Balali's death - JF or papers? Who reported first about the list of shame? JF or the papers, who reported first on Chenge's vijisenti? Who reported first on the scandalous dissapearnce of JK's laptop?

And who do you think will report first the EPA issues just a day after tomorrow? Papers or JF

Well although reporting first does not always mean reliability of the report but with JF the record can speak on itself.
 
Huduma kwa nini juju la kichaga sijakupata fafanua zaidi...

Eti kwa sababu ya ugomvi wake na Mengi!!!!

Wajameni,

Mnataka kusema deadline ya EPA imemkalia pabaya mpaka mapigo ya moyo yameshindwa kazi??????

Anyway, uzushi wa JF tushauzoea sasa hata akina Chenge walikufa na kufufuliwa humuhumhu JF!!!!!!!!!
 
Mkuu fikiria angekuwa anaifadhiri SIMBA ungesema hivyo?
Kunya anye KUKU akinya BATA kahalisha.

Acha kuleta U-Yanga na U-Simba..kwanza kubali kwamba huyo mme wenu ni fisadi na kama unavyo jua siku zao zina hesabika bado masaa...usikute katoloka kijanja kama alivyotoroka Bilali maana nimesikia kapelekwa nairobi...au tamko la m/kiti wa Simba ililimtisha...kwamba simba tulifungwa na ufisadi na kuwataka wanasimba wafichue hujuma za kifisadi zinazofanywa zidi ya mwekundu wa msimbazi(Simba)...........yote kwa yote Manji ni Fisadi tena mkubwa na kwa kuwa yanga mnatumia pesa za fisadi ni nyie mafisadi pia vinginevyo muachane na uzamini wake.....
 
Mangi pole sana!Ugua pole!Du na miela yote hiyo umeshindwa kuhonga ili upone?Ama kweli MUNGU yupo!
 
"Nimepata taarifa kuwa hali yake bado haijatengemaa, nilikwenda hospitali lakini sikuweza kumuona na nilizungumza na msaidizi wake, Sabas Kiwango mambo ya Yanga na baadaye nikaondoka hospitali…kwa kweli siwezi kulisemea zaidi, lakini hali ndiyo hiyo," alisema Madega.

Hapa nimeshindwa kumuelewa huyu jamaa mbona kila mara wasaidizi wa hawa waheshimiwa ni jamaa kutoka kule Moshi kama Deus Mallya nae alikuwa msaidizi pia ???????
 
Eti kwa sababu ya ugomvi wake na Mengi!!!!

Wajameni,

Mnataka kusema deadline ya EPA imemkalia pabaya mpaka mapigo ya moyo yameshindwa kazi??????

Anyway, uzushi wa JF tushauzoea sasa hata akina Chenge walikufa na kufufuliwa humuhumhu JF!!!!!!!!!

Zero asante kwa ufafanuzi nilikuwa sijapata picha...
 
KAGODA=MANJI+ROSTAM AZIZ

EPA KAMATI=MWEMA+HOSEA+MWANYIKA

EPA KAMATI-KAGODA=MANJI MAHAKAMANI

MANJI MAHAKAMANI+USANII WA KIKWETE=MAHABUSU

MAHABUSU*MADAWA YA KULEVYA=MANJI KUTOROKA

Asha

asante sana Asha nimecheka sana baada ya kugundua huu ujanja na mimi pia nikiwa nizungwa kama wenzangu kina Mwema kama ni kweli wamzugwa....kwi kwikwi... hii ndo TZ bwana
 
Kumbe huyo manji ni kijana mdogo tu? dob 1975! Aliyeandika mpaka passport namba yake ni cid au anafanya kazi airport?damn! watu wako informed!Huo utajiri asili yake ni wapi? karithi au?wazazi wake wapo? amesoma wapi?
 
People are about to kill me. Guys is that true Manji is no more? Mwenye taarifa za ukweli athibitishe humu.
 
Habari zilizopo zinasema kwamba Manji anarudi kesho akitokea Nairobi. sasa mimi wasiwasi wangu asije akarudi jioni saana wakati wengine wameshasomewa hukumu! hajafa bado ni mzima !
 
.................familia ya manji ina mpango wa kumshauri manji aachane na yanga..kwani wanaamini kitengo cha manji kutumia feza kuhakikisha ushindi wa yanga kwa njia chafu kimesababisha ...kamati ya ufundi ya simba kumtumia kombora....kama advertisement.....

..kama anataka kuendelea kuifadhili yanga aendelee lakini kistaarabu..sio kwa kununua mechi muhimu...

Mara nyingi mechi za simba na yanga wazee wa mjini wamezoea kushindana kwenye kamati za ufundi......na mpira wa uwanjani ...

Mechi ya juzi kamati za ufundi nguvu zilikuwa sawa...........yanga wakaoneza na nguvu ya pesa....!!!....kama sio pesa simba wangeshinda kwani baada ya kamati za ufundi nguvu kuwa sawa...uwanjani simba walicheza vema zaidi ....so walikuwa na nafasi kubwa ya kushinda.....

Kama manji akiamua kuisikiliza familia yake na kujitoa ..hii itakuwa mara ya pili yanga kuondokewa na mfadhili baada ya kuombwa na familia ..wa kwanza alikuwa abbas gulamali....ambaye alijitoa yanga ...hata hivyo baadaye alikuja kufariki..[rip]

..kwa hali ya saasa benchi la "ufundi" la simba limedhamiria kupambana na manji ambaye wanaamini ndiye sababu kuu ya wao kufungwa...........
 
..kama anataka kuendelea kuifadhili yanga aendelee lakini kistaarabu..sio kwa kununua mechi muhimu...
Mkuu amenunua mechi?
Mhh haingii akilini kwa hiyo Simba waliuza mechi?Mbona goli lilifungwa kiufundi kwa move kali sana tunaomba uthibitishe.
Mechi ya juzi kamati za ufundi nguvu zilikuwa sawa...........yanga wakaoneza na nguvu ya pesa....!!!....kama sio pesa simba wangeshinda kwani baada ya kamati za ufundi nguvu kuwa sawa...uwanjani simba walicheza vema zaidi ....so walikuwa na nafasi kubwa ya kushinda.....
Mkuu unanichanganya sana hapo kwa taarifa rasmi Simba ndio walio loga wazi wazi Dalali na Mgosi na TFF kesho inakaa kuwajadili wanaweza wakafungiwa miezi 6 kujihusisha na soka.
..kwa hali ya saasa benchi la "ufundi" la simba limedhamiria kupambana na manji ambaye wanaamini ndiye sababu kuu ya wao kufungwa...........
__________________
Mkuu kama unafatilia kwa umakini sana mechi za Yanga na Simba utakubaliana na mimi kuwa zinapo kutana timu itakayo cheza kandanda safi ndo hufungwa fatilia mtanange wa mwisho pale Moro Yanga walicheza vizuri sana na nilikuwepo uwanjani ila Simba hawakuonyesha mpira kabisa lakini walishinda 1-0 the same mechi ya juzi Simba walicheza vizuri wakafungwa na Yanga hawakucheza vizuri wakashinda.
 
Kumbe huyo manji ni kijana mdogo tu? dob 1975! Aliyeandika mpaka passport namba yake ni cid au anafanya kazi airport?damn! watu wako informed!Huo utajiri asili yake ni wapi? karithi au?wazazi wake wapo? amesoma wapi?

What I can tell u is Manji bado anakula pesa ya babu yake yaani ya baba yake na zake bado hajazigusa. Kumbuka wakati uleee wa Yusufali bodybuilders ni babu yake manji aliekuwa akiuza magari serikalini magari aina ya isuzu hata shule niliyosoma mimi kulikuwa na ki mini bus cha isuzu na lori kwa ajili ya kubebea kuni aina ya isuzu zilizotoka kwenye kampuni ya babu yake manji.
 
Eti kwa sababu ya ugomvi wake na Mengi!!!!

Wajameni,

Mnataka kusema deadline ya EPA imemkalia pabaya mpaka mapigo ya moyo yameshindwa kazi??????

Anyway, uzushi wa JF tushauzoea sasa hata akina Chenge walikufa na kufufuliwa humuhumhu JF!!!!!!!!!

What I know Manji hawezi kushindwa kulipa pesa za EPA kama ni miongoji wa walizichukua. Ila ninachofahamu ni kuwa tatizo alilonalo Manji linaweza kuwa limesababishwa na "mipoda" maana Manji ni mtumiaji mzuri wa "unga" na wala huwa hajivungi!
 
Back
Top Bottom