Manji anakwepa hukumu ya EPA?

Rafiki yangu amepokea msg sasa hivi ya kuwa Manji is no more? Kuna mwenye habari za uhakika huu ya hili?
 
Rafiki yangu amepokea msg sasa hivi ya kuwa Manji is no more? Kuna mwenye habari za uhakika huu ya hili?

Hata mimi nimepokea same sms tena kutoka kwa mwandishi mmoja wa habari, lakini hadi sasa hakuna uthibitisho wowote rasmi. Kuna conflicting inforamation wengine wakisema amesafirishwa kwenda Nairobi jana saa 12, wengine wakisema yuko bado katika ICU, na wengine ikisema hata huko kuumwa ni geresha kwani ni mzima na alikwenda kukamatwa akatoroka, akakamatwa Sekretari wake na baadaye akakamatwa nyumbani kwake, akajifanya anaumwa kabla ya kulazwa Agakhan ambako akatoroka tena, ndio akajifanya kichaa ili asikamatwe tena, na alipolazwa wakajifanya ana hali mbaya ICU hawezi hata kuzungumza na mtu. Makachero wakazuiwa wasimuone na sasa anaweza kuwa kweli katoroshwa.

Nasisitiza hii kuhamishwa. Naona Mode kahamisha ile ya M.Kijiji kuhusu EPA kwa haraka kwenda kule katika eneo la intelijensia..... ambako nako wengi hawajapazoea sana, japo watazoea tu!!!!!
 
alaa! kumbe! staili ili ya Gavana Balali inaendelezwa, kweli serekali ya awamu ya nne ni sinema kali sana.
 
Kuna text message inasambazwa kuwa yule mfadhili mkuu wa timy ya yanga amefariki dunia mchana huu, kama kuna mwenye uthibitisho wa hili pls wekeni hapa watu wawe na uhakika
 
inauma kuona fisadi anatembea kwenye gari lenye kiyoyozi kutokana na kodi zetu alafu wavuja jasho tunapandishiwa nauli za daladala walahi tutakomaa na nyie mpaka kieleweke

kwa maneno kama hayo kwanini asife
 
Well, kufa kila nafsi itaonja mauti, swala ni kifo cha aina gani? By the way kilio cha wabongo juu ya kukwapuliwa mali zetu, kwa Mungu aliye hai daima hujibiwa, nalo pia linawezekana!
 
Manji si binadamu kama wengine? Kufa si ni kila mtu yu njiani! Hapa duniani ni njia tu, tukumbuke kusali.
 
inauma kuona fisadi anatembea kwenye gari lenye kiyoyozi kutokana na kodi zetu alafu wavuja jasho tunapandishiwa nauli za daladala walahi tutakomaa na nyie mpaka kieleweke

kwa maneno kama hayo kwanini asife[/QUOTE]

GROW UP Brother !
 
kwani ttz hasa lililo mpeleka jamaa hospt ni nini... ingawa leo asbh nimesikia alihamishiwa ICU jana mchana
 
This is the beauty of jf! vyanzo vya habai (magazeti) ynaipoti manji anaumwa malaria na imepanda kichwani. Lakini maripota wetu wa jf wanasema anabwia unga!

Tutafika twendeni hivyo hivyo.......
 
alaa! kumbe! staili ili ya Gavana Balali inaendelezwa, kweli serekali ya awamu ya nne ni sinema kali sana.

Manji ni Mzima na yupo Nairobi na anazungumza. Jambo la ajabu, ametokea ICU na hawezi kuzungumza lakini leo ameongea na mtu kwa simu akiwa MZIMA WA AFYAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!! Wajinga ndio waliwaaaaoooo!!!!!!!!!!!! Mwanyika, Mwema, Hosea.... Kalabahooooo!!!
 
Kama yupo hapo Nairobi, kwanini wasiwasiliane na makachero wa huko asitokomee??,

Inavo onyshesha katika dili hili na kina Mwanyika wamo, haitoshangaza kwamba hata ni mchongo wa chukua chako mapema!
 
This is the beauty of jf! vyanzo vya habai (magazeti) ynaipoti manji anaumwa malaria na imepanda kichwani. Lakini maripota wetu wa jf wanasema anabwia unga!

Tutafika twendeni hivyo hivyo.......

Masatu, nadhani unafahamu fika kuna mambo ambayo magazeti hayawezi kuandika kwa sababu za kisheria, lakini hapa JF watu wakawa wanajitanua, hiyo ndio raha ya JF na tusitake kukwepa ukweli huo. Hao wanaoandika kwenye magazeti kwamba anaumwa "malaria" ndio hao hao wanaoandika humu JF kusema anabwia unga. Akili kichwani mwako. Lakini yote tisa, kumi ni kwamba je, ni kweli ameumwa kiasi hicho siku mbili kabla ya muda wa kupelekwa mahakamani watu wa EPA?
 
Kuna text message inasambazwa kuwa yule mfadhili mkuu wa timy ya yanga amefariki dunia mchana huu, kama kuna mwenye uthibitisho wa hili pls wekeni hapa watu wawe na uhakika

Du asife ili ajione matunda ya ufisadi wake. kila mtoto nayekufa kwa kukosa chanjo au utapia mlo kuna mkono wake na mafisadi wengine! asife ili ashuhudie hivyo vifo na mateso. Kufa kwake yeye ni faida kubwa
 
Kama yupo hapo Nairobi, kwanini wasiwasiliane na makachero wa huko asitokomee??,

Inavo onyshesha katika dili hili na kina Mwanyika wamo, haitoshangaza kwamba hata ni mchongo wa chukua chako mapema!

Mkuu hii hadithi itafanana sana ile movie ya Dr Daudi Balali, mwanzo wake ulikuwa hivi hivi, hii nitrailer tusubiri picha kamili
 
kwani ttz hasa lililo mpeleka jamaa hospt ni nini... ingawa leo asbh nimesikia alihamishiwa ICU jana mchana

Hakuna official news kuwa anaumwa nini lakini wapo bhaadhi wanaodai kuw jamaa alikuwa anatumia madawa ya kulevya sasa am not sure kama ni kweli au la.
 
Kama yupo hapo Nairobi, kwanini wasiwasiliane na makachero wa huko asitokomee??,

Inavo onyshesha katika dili hili na kina Mwanyika wamo, haitoshangaza kwamba hata ni mchongo wa chukua chako mapema!

Rwabungiri, tunayojadili hapa si masuala ya "celebrity" Manji bali hili linahusu maslahi na usalama wa taifa letu; inahusu siasa na hatima ya nchi yetu; inahusu CCM na watawala wetu; inahusu serikali na vyombo vyetu vya dola; na hapa inamhusu Mkapa, Sumaye, Lowassa, Kikwete, Rostam, Mzindakaya na wengine wengi.... sasa kuendelea kuing'ang'aniza hapa kwa kuwa tu Mkuu Kiranja aliyeanza kuweka aliiweka hapa baada ya kupata habari za awali kuwa amebwia unga na amechanganyikiwa, lakini kadiri muda unavyokwenda inabadilika, na mod wetu nao wabadilike, hii sasa ni siasa na usalama.
 
Back
Top Bottom