Manispaa ya Moshi ni takataka kabisa 🚮

Manispaa ya Moshi ni takataka kabisa 🚮

Angalia kiwango cha kipato , ubora wa makazi kwa mkoa mzima wa Kilimanjaro halafu ulinganishe na mkoani kwako afrika nzima
Makazi na kiwango cha kipato cha mtu siyo vigezo vya jiji.

Hicho kipato cha mtu mmoja tukione kwenye mapato ya TRA na manispaa.
 
Hii nchi ni ya kifala sana, unaua ushirika na viwanda, unabinafsisha! Shule karibu zote za Kilimanjaro zimejengwa na Ushirika (Cooperative unions), hakuna asiejua kuhusu mchango wa Kilimanjaro Native Cooperative Unions (KNCU) na Kilimajaro Native Planters Association, katika kujenga mashule, kutoa udhamini wa masomo, vituo vua afya na ustawi wa biashara na jamii.

Akina Reginald Mengi walisomeshwa nje na huu ushirika. Baadae Mkapa aka adopt sera ya kubinafsisha viwanda, kuua ushirika na kuleta soko huria. Leo tunalalamika ajira hakuna wakati waliua viwanda na ushirika kwa sera ya ubinafsishaji mashirika na viwanda.
Malalamiko ya karne 200 zilizopita.

Huu ujinga simulianeni huko kwenye vijiwa vya mbege
 
Arusha ndio usiseme kabisa. Imehujumiwa kwanzia kwenye utalii, madini, kilimo na mifugo, mbuga za wanyama, forced mass migration, vurugu za kisiasa mf za 2011, na utapeli kama kikombe cha Loliondo.
Arusha kuna utalii gani?

Kuna madini gani?

Kilimo.chanini?

Mifugo ipi?

Forced migration kivipi?

Mbuga za wanyama kivipi?
 
Kilimanjaro mpaka sasa ilipaswa kuwa jiji🤔
Huu mji umedumazwa na serikali kwa miaka nenda rudi🤔

Sasa hiyo ni stendi gani? Jengo la uchumi hapo stendi wafanya biashara ,wanafanya mpaka baba shop , mtu ananyoa 3000tsh ? Nyie mna akili kweli?


Wauza maduka ya simu hapo kwenye ghorofa yenu uchwara hakuna anaelipa milioni kwa mwezi kama kodi 🤔 ebu jitafakarini asee


Moshi mjini panazidiwaje kwa viwango na migombani asee?
Mbona pale kuna frame kali tu bwashee! Ina maana kumbe wanalipa below 1m? Dah sasa kumbe nihame moshi tu sasa?
 
Back
Top Bottom