Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 9,363
- 10,677
Hiyo haitabadilisha chochote zaidi ya uhamisho wa machinga. Tafuteni namna ya kuongeza mzunguko kwa kukuza uzalishaji na kuuza nje.
Hiyo stendi iko wapi? Huu Uzi bila picha ni batili mangi.Kilimanjaro mpaka sasa ilipaswa kuwa jiji🤔
Huu mji umedumazwa na serikali kwa miaka nenda rudi🤔
Sasa hiyo ni stendi gani? Jengo la uchumi hapo stendi wafanya biashara ,wanafanya mpaka baba shop , mtu ananyoa 3000tsh ? Nyie mna akili kweli?
Wauza maduka ya simu hapo kwenye ghorofa yenu uchwara hakuna anaelipa milioni kwa mwezi kama kodi 🤔 ebu jitafakarini asee
Moshi mjini panazidiwaje kwa viwango na migombani asee?
Si wanazalisha Sukari kule Moshi vijijini TPC.Hiyo haitabadilisha chochote zaidi ya uhamisho wa machinga. Tafuteni namna ya kuongeza mzunguko kwa kukuza uzalishaji na kuuza nje.
Niliwahi kusikia tetesi TPC ilichukuliwa na Mkaburu aliye automate hatua zote za uzalishaji.Si wanazalisha Sukari kule Moshi vijijini TPC.
Mmm! Mbona mshahara wa dkt. anayeanza ni 1.5m. Bajaji akitulia kama ulivyo dokeza hapa; anauwezo wa kukusanya 60-70 elfu kwa siku. Kwa mantiki hiyo kwa mwezi wenye siku 30 ataweza kukusanya 1.8 -2.1m. Changamoto ya Bajaji ni "From hand to mouth activity".Dereva bajaji moshi akitulia, mwisho wa mwezi ana mshahara wa daktari.
Serikali ina share kwa asilimia kadhaa.Niliwahi kusikia tetesi TPC ilichukuliwa na Mkaburu aliye automate hatua zote za uzalishaji.
Hivi MoCU sio University? pia kuna KCMC -University au nimechemka bwashee?Vyuo vikuu vipi?
Unaweza kuvitaja kwa majina?
Kampuni ya Kambaita ilikuwa maarufu sana kwa malori yake mengi na ujenziMzee wa kambaita Moshi pagumu sana
MoCU ni sawa. Ila KCMC hata ikiwa Chuo Kikuu hatuwez kusema imetokana na zao la kahawa.Hivi MoCU sio University? pia kuna KCMC -University au nimechemka bwashee?
Hili nalo ni neno.Daktari wa wapi?
Au unafikiri madaktari wote wana scale sawa?
Kweli naafiki.MoCU ni sawa. Ila KCMC hata ikiwa Chuo Kikuu hatuwez kusema imetokana na zao la kahawa.
Ugumu wa kuuza maeneo ndo shida. Hatuna tofauti na Mbulu mjini. We had opportunities around 2010. We lost it and it will never come back.Kilimanjaro mpaka sasa ilipaswa kuwa jiji🤔
Huu mji umedumazwa na serikali kwa miaka nenda rudi🤔
Sasa hiyo ni stendi gani? Jengo la uchumi hapo stendi wafanya biashara ,wanafanya mpaka baba shop , mtu ananyoa 3000tsh ? Nyie mna akili kweli?
Wauza maduka ya simu hapo kwenye ghorofa yenu uchwara hakuna anaelipa milioni kwa mwezi kama kodi 🤔 ebu jitafakarini asee
Moshi mjini panazidiwaje kwa viwango na migombani asee?
Sawa sawa mkuu nimekulia mitaa hiyo nikiwa chaliiKampuni ya Kambaita ilikuwa maarufu sana kwa malori yake mengi na ujenzi
Moshi nipakwenda tuu likizo utalii ukiwa low season hata mzunguko unakuwa mgumu sana % kubwa ya vijana shughuli zao ni utalii lakini pia pasingekuwa na kcmc,mwecau na mocu nadhani hali ingekuwa mbaya zaidiUgumu wa kuuza maeneo ndo shida. Hatuna tofauti na Mbulu mjini. We had opportunities around 2010. We lost it and it will never come back.
We need new bloods from different areas to stimulate bussiness and production. We cant rely on December for this issues.
Mbulu ni ya kijinga mno bwashee 😁😁Kwa kuuza maeneo ndo shida. Hatuna tofauti na Mbulu mjini. We had opportunities around 2010. We lost it and it will never come back.
We need new bloods from different areas to stimulate bussiness and production. We cant rely on December for this issues.