Nikipita nakumbuka mbali sana, way back 1997...kama historical siteStendi ya moshi ni ya kipumbavu mno , sijui mamlaka ipo wapi
Angalia kiwango cha kipato , ubora wa makazi kwa mkoa mzima wa Kilimanjaro halafu ulinganishe na mkoani kwako afrika nzimaHakuna JIJI la watu Laki na NUSU na Viamba.
Hakuna jiji lenye ukubwa kama shamba la Msukuma.
Huwezi kuwa jiji kwa mapato ya kuunga unga.
Mwiago.wa siku, likiwa Jini unapata nini, kum-massage ego yako, ukiwa umelewa Kiwingu???
OkHili nakataa...
Ila ukisema kuna watu wanajitahidi mikoa ya bara isiizidi au kuikaribia Dar takuelewa...
Kwanza angalau nyinyi Arusha inajengwa, umewahi kufika Mbeya?
Tuliopita Bukoba stand kidole cha mwisho juu...hali ni mbaya sana
We need to change that, panakufa hivi hivi. Arusha na Moshi around miaka ya 2000 hapakua na tofauti sana ila leo tofauti ni kubwa mno. Na tofauti ipoa kwenye ardhiMoshi nipakwenda tuu likizo utalii ukiwa low season hata mzunguko unakuwa mgumu sana % kubwa ya vijana shughuli zao ni utalii lakini pia pasingekuwa na kcmc,mwecau na mocu nadhani hali ingekuwa mbaya zaidi
CC peno hasegawaKilimanjaro mpaka sasa ilipaswa kuwa jijiš¤
Huu mji umedumazwa na serikali kwa miaka nenda rudiš¤
Sasa hiyo ni stendi gani? Jengo la uchumi hapo stendi wafanya biashara ,wanafanya mpaka baba shop , mtu ananyoa 3000tsh ? Nyie mna akili kweli?
Wauza maduka ya simu hapo kwenye ghorofa yenu uchwara hakuna anaelipa milioni kwa mwezi kama kodi š¤ ebu jitafakarini asee
Moshi mjini panazidiwaje kwa viwango na migombani asee?