Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 39,493
- 91,655
Moshi kuwa karibu na Arusha imekuwa nongwa.
Mbona Arusha inapanda hadhi kila siku?Hayo ni mapito ya ukuwaji wa Moshi ambao tangu miaka ya 1700 umekuwa ukipanda na kushuka kama roller coaster. Kuna vitu/watu wanaopandisha na kushusha maendeleo ya kaskazini na hiyo cycle hujirudia tangu zamani hata baadae.
Mbeya ni makao makuu ya vumbi Afrika na Tanzania.Hili nakataa...
Ila ukisema kuna watu wanajitahidi mikoa ya bara isiizidi au kuikaribia Dar takuelewa...
Kwanza angalau nyinyi Arusha inajengwa, umewahi kufika Mbeya?
Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi.Vyuo vikuu vipi?
Unaweza kuvitaja kwa majina?
Sasa kwanini matajiri wa kichaga wasiwekeze nguvu kwenye kukuza shughuli za kiuchumi kwenye mkoa wao badala ya kuwekeza fedha nyingi ugenini?
Hoja ya mdau kwamba vilijengwa Vyuo sio hicho Chuo kimoja alichosoma Daud Baahite.Chuo cha Ushirika Moshi.
Arusha ndio usiseme kabisa. Imehujumiwa kwanzia kwenye utalii, madini, kilimo na mifugo, mbuga za wanyama, forced mass migration, vurugu za kisiasa mf za 2011, na utapeli kama kikombe cha Loliondo.Mbona Arusha inapanda hadhi kila siku?
Au Arusha sio Kaskazini?
Unaweza kuleta data kushuka au kudumaa kwa uchumi, kwamba kwa sasa hali ipo vipi na kabla ya hujuma hali ilikuwa vipi?Arusha ndio usiseme kabisa. Imehujumiwa kwanzia kwenye utalii, madini, kilimo na mifugo, mbuga za wanyama, forced mass migration, vurugu za kisiasa mf za 2011, na utapeli kama kikombe cha Loliondo.
Huku ni kukosa shukurani...Arusha ndio usiseme kabisa. Imehujumiwa kwanzia kwenye utalii, madini, kilimo na mifugo, mbuga za wanyama, forced mass migration, vurugu za kisiasa mf za 2011, na utapeli kama kikombe cha Loliondo.
Kwa sasa tuzungumzie kasi ndogo ya maendeleo si ile iliyokusudiwa.Ukitoa Dsm na Dodoma mikoa yote iliyobaki Tz inatubu kuwepo kwa dubwana CCM. Arusha, Mwanza, Mbeya na Tanga kwasasa hakuna miradi ya kueleweka ya serikali. Ni juhudi tu binafsi za wakazi wake zinapush maendeleo wakati inavyanzo vya kuchallenge hata DSM! Kuna haja ya kubadili sera ya maendeleo, hili suala la Kila kitu kufanyika mpaka serikali kuu itoe baraka inatucost sana
DSM hahiitaji mbereko ya CCM, idadi yake kubwa ya watu tayari ni pushing factor ya kiuchumiUkitoa Dsm na Dodoma mikoa yote iliyobaki Tz inatubu kuwepo kwa dubwana CCM. Arusha, Mwanza, Mbeya na Tanga kwasasa hakuna miradi ya kueleweka ya serikali. Ni juhudi tu binafsi za wakazi wake zinapush maendeleo wakati inavyanzo vya kuchallenge hata DSM! Kuna haja ya kubadili sera ya maendeleo, hili suala la Kila kitu kufanyika mpaka serikali kuu itoe baraka inatucost sana
Siyo kweli bwashee Moshi ni mji unaokua kwa kasi hasa kwenye sekta ya utaliiMoshi umedumaa mno bwashee
Sijui kwa sasa hali ipoje lakini kuna nyakati watalii walishukia nchi jirani then wanadalaliwa kuja Bongo. Tanzanite imetoroshwa sana Arusha.Huku ni kukosa shukurani...
Hivi unajua serengeti iko Mara ila watalii wanashukia Arusha!!!
Unajua mt. Kilimanjaro iko Kilimanjaro ila watalii wanashukia Arusha!!
Huku ndio kuhujumiwa?
Magufuli aliondoka amebadilisha yote hayo.Sijui kwa sasa hali ipoje lakini kuna nyakati watalii walishukia nchi jirani then wanadalaliwa kuja Bongo. Tanzanite imetoroshwa sana Arusha.
Kwa kiasi fulani alijitahidi lakini wahuni hawapoi.Magufuli aliondoka amebadilisha yote hayo.
Si kweli Ukitoa Dar mikoa 3 mikubwa inayoongoza kulipa TRA ni Arusha, Kilimanjaro na Tanga, tena hayo mapato hayajumuishi Utalii.Moshi sio mji wa kibiashara tajiri! Ukitoa utalii, hakuna kitu pale. Kahawa na cooperatives kwa sasa hazina impact yeyote hapo Moshi.
Huo ndio ukweli, huwezi kuwapa watu jiji, kwa mkoa mzima kuwa na GDP ya 9.22 trillions. Kuna halmashauri za miji midogo kama Kahama na Tunduma, inaizidi Moshi municipal kimapato na kibiashara.