nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 6,946
- 12,267
Naona umeamua kuwa mukali kidogo!
Baada ya kuishi Moshi kwa miaka kadhaa nimegundua wachagga wanapenda sifa kama wahayaKilimanjaro mpaka sasa ilipaswa kuwa jiji🤔
Huu mji umedumazwa na serikali kwa miaka nenda rudi🤔
Sasa hiyo ni stendi gani? Jengo la uchumi hapo stendi wafanya biashara ,wanafanya mpaka baba shop , mtu ananyoa 3000tsh ? Nyie mna akili kweli?
Wauza maduka ya simu hapo kwenye ghorofa yenu uchwara hakuna anaelipa milioni kwa mwezi kama kodi 🤔 ebu jitafakarini asee
Moshi mjini panazidiwaje kwa viwango na migombani asee?
Dereva bajaji moshi akitulia, mwisho wa mwezi ana mshahara wa daktari.Mji wa Moshi umejaa bajaji utafikiri uko Bombay
Acha kutuchafua Tandika hakuna vibandaWale warangi waliojazana pale stand ya moshi wamewatoa? Stand inavibanda kama tandika
Kahawa ilijenga mahosipitali, shule za kata, vyuo vikuu, barabara za lami, majengo ya kibiashara, ajira kwa karibia kila mtu aliyeweza kufanya kazi, na kuongeza mzunguko kwenye biashara nyingine. Lakini Mkapa kwa kisasi cha upinzani alioupata kaskazini akafanya aliyoyafanya.Kabla ya huyo huyo Mkapa kuua ushirika/cooperatives, wazee wa Moshi walikuwa wameweka mkakati mkubwa sana wa maendeleo Kilimanjaro. Badae baada ya kuua ushirika maendeleo ya mji wa Moshi yakadumaa. Mpaka leo hakuna biashara ya maana Moshi hapo ukiondoa utalii.
kuna wanaosema walaumiwe wachaga wameutekeleza mji wao.Kilimanjaro mpaka sasa ilipaswa kuwa jiji🤔
Huu mji umedumazwa na serikali kwa miaka nenda rudi🤔
Sasa hiyo ni stendi gani? Jengo la uchumi hapo stendi wafanya biashara ,wanafanya mpaka baba shop , mtu ananyoa 3000tsh ? Nyie mna akili kweli?
Wauza maduka ya simu hapo kwenye ghorofa yenu uchwara hakuna anaelipa milioni kwa mwezi kama kodi 🤔 ebu jitafakarini asee
Moshi mjini panazidiwaje kwa viwango na migombani asee?
Kahawa ilijenga mahosipitali, shule za kata, vyuo vikuu, barabara za lami, majengo ya kibiashara, ajira kwa karibia kila mtu aliyeweza kufanya kazi, na kuongeza mzunguko kwenye biashara nyingine. Lakini Mkapa kwa kisasi cha upinzani alioupata kaskazini akafanya aliyoyafanya.
Hakuna JIJI la watu Laki na NUSU na Viamba.Kilimanjaro mpaka sasa ilipaswa kuwa jiji🤔
Huu mji umedumazwa na serikali kwa miaka nenda rudi🤔
Sasa hiyo ni stendi gani? Jengo la uchumi hapo stendi wafanya biashara ,wanafanya mpaka baba shop , mtu ananyoa 3000tsh ? Nyie mna akili kweli?
Wauza maduka ya simu hapo kwenye ghorofa yenu uchwara hakuna anaelipa milioni kwa mwezi kama kodi 🤔 ebu jitafakarini asee
Moshi mjini panazidiwaje kwa viwango na migombani asee?
Kwa mfano Lile jengo la Ofisi Za CCM Mkoa nahisi mle ndani kutakuwa kunanuka.Moshi umedumaa mno bwashee
Sasa kwanini matajiri wa kichaga wasiwekeze nguvu kwenye kukuza shughuli za kiuchumi kwenye mkoa wao badala ya kuwekeza fedha nyingi ugenini?Moshi sio mji wa kibiashara tajiri! Ukitoa utalii, hakuna kitu pale. Kahawa na cooperatives kwa sasa hazina impact yeyote hapo Moshi.
Huo ndio ukweli, huwezi kuwapa watu jiji, kwa mkoa mzima kuwa na GDP ya 9.22 trillions. Kuna halmashauri za miji midogo kama Kahama na Tunduma, inaizidi Moshi municipal kimapato na kibiashara.
Hayo ni mapito ya ukuwaji wa Moshi ambao tangu miaka ya 1700 umekuwa ukipanda na kushuka kama roller coaster. Kuna vitu/watu wanaopandisha na kushusha maendeleo ya kaskazini na hiyo cycle hujirudia tangu zamani hata baadae.Siasa zimedidimiza mkoa wa Kilimanjaro kuanzia mwaka 2000 mkoa uliduma sana mpaka sasa.
Kahawa ilijenga mahosipitali, shule za kata, vyuo vikuu, barabara za lami, majengo ya kibiashara, ajira kwa karibia kila mtu aliyeweza kufanya kazi, na kuongeza mzunguko kwenye biashara nyingine. Lakini Mkapa kwa kisasi cha upinzani alioupata kaskazini akafanya aliyoyafanya.
Hili nakataa...Hayo ni mapito ya ukuwaji wa Moshi ambao tangu miaka ya 1700 umekuwa ukipanda na kushuka kama roller coaster. Kuna vitu/watu wanaopandisha na kushusha maendeleo ya kaskazini na hiyo cycle hujirudia tangu zamani hata baadae.
Daktari wa wapi?Dereva bajaji moshi akitulia, mwisho wa mwezi ana mshahara wa daktari.
Mzee wa kambaita Moshi pagumu sanaWachagga wengi wapo Arusha kuliko Moshi na Arusha wamewekeza sana.manispaa ifanyeje
Hata Soweto kuna nyumba hazina wapangaji wenyewe wanatafuta watu wa kuchunga majengo bila kulipa kodi.
Vyuo vikuu vipi?Kahawa ilijenga mahosipitali, shule za kata, vyuo vikuu, barabara za lami, majengo ya kibiashara, ajira kwa karibia kila mtu aliyeweza kufanya kazi, na kuongeza mzunguko kwenye biashara nyingine. Lakini Mkapa kwa kisasi cha upinzani alioupata kaskazini akafanya aliyoyafanya.
Umekumbusha kuuwawa kwa viwanda vya umma zoezi lililofanywa kikamilifu nchi nzima. Maelfu ya watu wanahangaika kwa kukoseshwa ajira viwandani lakini viongozi hawajali sababu wao na uzao wao wejimilikisha ajira serikalini na wanazilinda hata kwa damu za watu.Hii nchi ni ya kifala sana, unaua ushirika na viwanda, unabinafsisha! Shule karibu zote za Kilimanjaro zimejengwa na Ushirika (Cooperative unions), hakuna asiejua kuhusu mchango wa Kilimanjaro Native Cooperative Unions (KNCU) na Kilimajaro Native Planters Association, katika kujenga mashule, kutoa udhamini wa masomo, vituo vua afya na ustawi wa biashara na jamii.
Akina Reginald Mengi walisomeshwa nje na huu ushirika. Baadae Mkapa aka adopt sera ya kubinafsisha viwanda, kuua ushirika na kuleta soko huria. Leo tunalalamika ajira hakuna wakati waliua viwanda na ushirika kwa sera ya ubinafsishaji mashirika na viwanda.