Je unazan kampen hii ya mange inaweza kuleta madhara yoyote. Kumbuka alichangia sana mwaka Jana kupiga kampen za mtandaon kumpigia mh maguful . au mnazan mbinu sahihi ni ipi
Ameandika hiv mange
@Regrann from @mangekimambi_ - It's official, sina chama......
.
.
[HASHTAG]#Opereshenichomakadiyaccm[/HASHTAG]
.
.
Kama na wewe unapinga udikteta wa Magufuli, kama unataka [HASHTAG]#Bungelive[/HASHTAG], kama unapinga kuminywa kwa uhuru wa vyombo vya habari, kama unapinga watanzania kunyimwa uhuru wa kujieleza, kama unapinga wabunge wa CCM kupitisha sheria zinazokiuka haki za binadamu, kama umechoka kuona wabunge wa CCM wakisaidia chama na sio mwananchi, kama unapinga MaxMelo wa jamiiforums kukamatwa, kama unapinga Lema kuwa ndani mpaka leo sababu ya maono/ndoto, kama unapinga wabunge wa upinzani kufukuzwa bungeni , kama umechoka na ahadi za CCM , kama umechoka umaskini, kama ni mwanafunzi umerudi nyumbani kwa kukosa mkopo, kama wewe ni mwalimu wa sanaa, kama unasubiria ajira ya serikalini toka mwaka jana, kama biashara yako imekufa sababu ya makodi, kama ulisikitika mwenyekiti wa CCM kupiga panga pesa za mchango wa Kagera, kama umechoka umaskini, kama unataka kuona system MPYA Tanzania in 2020. Kwa kifupi kama umechoka na ungese wa CCM basi ntumie video yako ukichoma kadi yako ya CCM.... Maana wanadhani wanaowakosoa ni wapinzani kumbe wanakosolewa na watanzania wasiojali vyama bali nchi yao..
.
.
Tukitaka kuandama wanatishia kututoa uhai. Kuna njia zingine za kuwaonyesha hatuko nao. Njia moja ndo hii [HASHTAG]#OpereshenichomakadiyaCCM[/HASHTAG]
.
.
Ntumie video yako kwa whatsapp +1 310 855 4352
.
.
.
.
PS: ni kadi ya 2015 coz nilipoteza ya zamani.... - [HASHTAG]#regrann[/HASHTAG]