Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

Huku kwetu Sangatuting'wa hata hatumjui Mange, in short huku watu hajui lolote kuhusu Ccm na kusababisha matatizo yao mama uhaba wa maji, kilimo duni, umeme hakuna, barabara mbovu n. k

Wanachojua ni kupigia kura Ccm tu wakati wa Uchaguzi
 
" jina la Lowassa likikatwa na akaamua kuondoka CCM, chama kitameguka vipande vipande na kufa...!"
Nasubiri utabiri huo utimie kabla sijaswitch to Mange.

Siasa za Tanzania na has a upinzani ni za kusubiri matukio wakati siasa za majirani zetu wanatengeneza matukio, yaani unasubiri mvua zinyeshe upande mbegu wenzetu wanamwagilia na kupanda mbegu!
 
Lowasa kadorora?
alikuwa na nguvu kubwa ndani ya CCM kwa kuwa alitumia mtandao wenye nguvu wa CCM, nje ya CCM kadorora.Sasa hivi ndio anahangaika kujenga mtandao ndani ya CHADEMA lakini hauna nguvu kwa kuwa kule kuna mitandao ya SLAA NA MBOWE yenye nguvu na heshima kubwa kwa hao wawili yeye anahaha kujenga mtandao wa tatu ambao bado sana.Ukweli kadorora kisiasa
 
Mange Kimambi amechukua hadi ya uanachama tarehe 3 Machi 2015. Pia Mange Kimambi anaishi Marekani kwa zaidi ya miaka 8 sasa. Sasa hapo utasemaje kuwa anajua siri nyingi za CCM? Alichukua kadi ya CCM kwa tamaa ya madaraka. Sasa katoswa anaanza kutukana viongozi wa CCM. Ni mpuuzi tu anaweza kumshabikia Mange Kimambi
 
Bullshit. You are a pathetic cunt like that stinky bi.tch Mange.
Sijawahi kuona vijana wajinga kama nyinyi.. Nilitarajia mpinge hoja za mtoa hoja kwa hoja. Matusi na kupuuza alichosema ni matumizi mabaya ya akili ndogo mlizonazo.... Naamini hata PolePole atashangaa kuona aina ya watu wanaotumika kujibu hoja za huku JF.

Hata hivyo sishangai, nimetumikia jumuiya ya Vijana kwa miaka mitano, Nawafahamu vizuri vijana wenzangu, hizi ndizo hoja zao hata kwenye vikao.

Ukisikia tamko lolote la jumuiya lisilo na matusi linalotolewa kwenda kwa mtu au kikundi cha watu wenye mawazo na msimamo tofauti na Chama, basi ujue limetolewa kwa shingo upande. Lazima litakuwa limetoka chini ya usimamizi kiongozi wa juu kuliko jumuiya yenyewe.
Rejea matamko yote ya jumuiya kwa miaka ya karibuni, anzia unguja mpaka kule bara.
Moja kati ya maeneo ambayo Polepole anatakiwa kuyafanyia kazi ni hawa vijana wa propaganda kwenye mitandao ya kijamii... Ukweli ni watupu sana kichwani.
Hata hizi mbinu za kuifungia JF ni matokeo ya hasira za wakubwa kufuatia kushindwa vibaya kujibu hoja makini za huku JF.

Kwa hiyo Mange ana wafuasi wengi kuliko Lowasa??

Kuna watu walikuwa na siri za CCM kama KINGUNGE na LOWASA? Kawaulize kilichowapata CCM na siri zao walizokuwa wakijua.Mange is a non entity.Na kwa taarifa yenu msiojua wafuasi wengi mnaosema anao kwenye mitandao asilimia kubwa walikuwa CCM wenzie kaondoka angalieni atakavyodorora kama akina kingunge na lowasa

Mange kasajiliwa bavicha? Hahahaha
 
Haya Firewall rules hizi hapa.
access-list 100 deny tcp host mangekimambi_ host instagram.com eq 80, 443
access-list 100 permit ip any any

Haya mkuu tumeshamblock asiingie instagram, akiingia tena niambie 😀😛😵😛😛😛😎🙁
 
Tuache ushabiki wa vyama vya siasa mbali, Huyu mama anaeitukana na kuchochea negative perception serikali ya Tanzania inabidi awe blocked kabisa kea watumiaji wa social networks wasiweze kumuaccess..

Nkiongea kwa machumgu, jana alianzisha kampeni ya kuchomesha kadi za chama cha mapinduzi na hazikupita dakika baada ya kuanza kupost video nyingine za watanzania wanachoma kadi za chama, Kuchoma kadi za chama iwe ni ccm ama chadema ni kitu kinachoweza kuchochea vurugu za kisiasa na mwishowe hata hali ya amani tunayojivunia ikadorora.

Kuishi kwake Maerkani ndio ameona ni kinga sahihi ya kuitukana na kuisengenya(sio kuikosoa) serikali ya Tanzania huku akiwa na wafuasi wengi sana wanaomsikiliza na kumwamini, Kwa sasa ana followers zaidi ya laki 7 kwenye mtandao maarufu wa instagram, Naomba uvute picha tu hivi kama amefikia stage ya kuwafanya wafuasi wake wachome kadi hivi huko mbeleni si anaweza akaleta balaa zaidi.

Kitu ambacho huyu mama mtu mzima mwenye miaka 40 anachotaka ni nchi kuvurugika, Na vurugu zikitokea wataoumia ni watu tunaoishi ndani ya Tanzania na sio yeye aliye marekani.

HII TANZANIA ILIPATA UHURU KWA AMANI, TUMETEKETEZA VITISHO VYOTE VILIVYO TAKA KUHATARISHA AMANI NA HATUPASWI KUDUMISHA NA KUENDELEZA HALI YA AMANI KWA FAIDA YETU NA VIZAZI VIJAVYO. NAIPENDA NCHI YANGU NA NNAJIVUNIA AMANI ILIYOPO

Mkuu
Simjui huyu mtoto, na mwita mtoto kwa vile mimi ni mtu mzima sana kwake.
Reaction unayoiona mi nadhani itusaidie kujitathimini kama Taifa. Kwa nini umati mkubwa umfuate?, hao wanaomfuata hayamkini nao wana mambo yanayo wasibu.
Hivyo basi tusikimbilie kulaumu bali tutafute kulikoni?.
 
Taarifa zinasema kwamba huyu ndio mpokeaji wa viongozi wote wa ccm wanaozulu nchi aliyopo , hata viongozi wakubwa wa ccm anawajua nje ndani .
 
Mange Kimambi amechukua hadi ya uanachama tarehe 3 Machi 2015. Pia Mange Kimambi anaishi Marekani kwa zaidi ya miaka 8 sasa. Sasa hapo utasemaje kuwa anajua siri nyingi za CCM? Alichukua kadi ya CCM kwa tamaa ya madaraka. Sasa katoswa anaanza kutukana viongozi wa CCM. Ni mpuuzi tu anaweza kumshabikia Mange Kimambi
Tunamshabikiiaaaaaa mange hoyeeeeeeee,kadi tunachoma kama kawaa
 
Hata kama siipendi CCM, ni upuuzi kuamini Mange ana athari kwa CCM.!
 
" jina la Lowassa likikatwa na akaamua kuondoka CCM, chama kitameguka vipande vipande na kufa...!"
Nasubiri utabiri huo utimie kabla sijaswitch to Mange.

Siasa za Tanzania na has a upinzani ni za kusubiri matukio wakati siasa za majirani zetu wanatengeneza matukio, yaani unasubiri mvua zinyeshe upande mbegu wenzetu wanamwagilia na kupanda mbegu!
Hahahahahaaaaaa. Unanikumbusha ule mjadala wa ANAKATWA HAKATWI. Mwisho wa siku akakatwa na bado tukashinda Urais wabunge na madiwani
 
Mwenzangu... hii wiki itakuwa yake, sema nini watu wengi wamemchoka faru John ndio mana anazidi kupata wafuasi.
Watu wanazidi kutuma video.....watu na ujasiri wao, when i grow up i wanna be like her[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] natania maana hawachelewi watu[emoji85][emoji85]
 
Mange Kimambi amechukua hadi ya uanachama tarehe 3 Machi 2015. Pia Mange Kimambi anaishi Marekani kwa zaidi ya miaka 8 sasa. Sasa hapo utasemaje kuwa anajua siri nyingi za CCM? Alichukua kadi ya CCM kwa tamaa ya madaraka. Sasa katoswa anaanza kutukana viongozi wa CCM. Ni mpuuzi tu anaweza kumshabikia Mange Kimambi

Mchumia tumboni nakuona unaisoma mamba maneno yanatoka kwa upole.....zile jeuri zako zimpungua.
 
... Mange anawafuasi wengi na asilimia kubwa humuelewa.. Dada yangu alikuwa CCM pure ila Leo tu kabadilika

... PolePole ni mtu wa mitandao ya kijamii hivyo ataumia kuona anachofanya Mange ukizingatia yeye ni mtu wa Itikadi na Uenezi hivyo akiendelea kumjibu atazidi kukichafua Chama..Mange akiibua clip za Polepole kipindi cha katiba ni hatari sana kwake na Chama

... Kuna watu wanaosoma na kumuelewa kimya kimya na kulisha sumu wengine...huwa mitandao inasambaza habari exponentially ndio maana info za social network zinakuwa viral...

... Sasahivi kila mwenye shida na aliyeonewa hutuma lalamiko kwake.. Yaani Amekuwa kama sanduku la maoni hii huleta picha mbaya serikalini hata kama ni uongo...

... Alikuwa ndani ya CCM na anajua madudu yao na ana marafiki wengi wapo humo.. Wakimpa info za ndani na kuziweka public Chama kitaangamia

.. Anawavutia sana millenials ambao huwa kawaida hawapendi siasa na sasa wanapata updates kila siku... Hii ni hatari Kwa Chama cha Mapinduzi..

Mange Spring is Real... CCM tuchukue tahadhari mapema!

Ethos
MANGE IS NOTHING BUT A VERY FRUSTRATED WOMAN
 
[/QUOTE] ="Sumu, post: 18950037, member: 30905"]BAVICHA ni watu wa kuwaonea huruma sana. Mleta thread si ajabu naye anajiita mchambuzi wa siasa.[/QUOTE]

Mkuu kama wewe ni mchambuzi hebu pangua angalau hoja mbili hapo.. Usitokwe povu
 
Taarifa zinasema kwamba huyu ndio mpokeaji wa viongozi wote wa ccm wanaozulu nchi aliyopo , hata viongozi wakubwa wa ccm anawajua nje ndani .
Inamaana haka kadada kanaweza kumbeba wassira!
 
Mange Kimambi amechukua hadi ya uanachama tarehe 3 Machi 2015. Pia Mange Kimambi anaishi Marekani kwa zaidi ya miaka 8 sasa. Sasa hapo utasemaje kuwa anajua siri nyingi za CCM? Alichukua kadi ya CCM kwa tamaa ya madaraka. Sasa katoswa anaanza kutukana viongozi wa CCM. Ni mpuuzi tu anaweza kumshabikia Mange Kimambi
ndio majibu yenu siku zote,unatoa majibu bila kufikiri,hana muda mrefu chamani ila anaweza kutumika kuwa mdomo wa wenye muda mrefu chamani hasa ukizingatia hii system yenu ya chama ya zidumu fikra za mwenyekiti,sio wengi wanaridhia mfumo huu kwa sasa japo ni wanachama
 
Back
Top Bottom