Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

Asifiae mvua humnyea, mnaompa sifa kwa chuki zenu juu ya ccm, ipo siku atawatukana hata nyinyi mafaru John msiojulikana mnakopelekwa
Wakati anamtusi mgombea wa UKAWA na kumpigia chapuo Juma ulikuwa upande wake au?

KADA
 
mange is the only countrywoman anaexcise freedom of speech ambayo wengi tunaipigia kelele humu!i think we share lots in common na yeye though not completely!
 
Najua wengi wanaharisha wakimsikia Mange kasema chochote kwenye social network.

Magamba na serikali yenu ya kidikteta chukueni na mikeka kabisa mkalale nayo chooni.,maana kihoro cha tumbo la woga si mchezo..!
 
Naona ananyea kambi.
Anachoma kadi kwa mbwembwe.Siku TRUMP akimtimua Marekani mkuku atatukuta wana CCM AIRPORT tukimsubiri kwa hamu
Trump ana deal na illegal migrants, yaani wasiokuwa na green cards,wezi,wana mihadarati n.k utamrudisha vipi mtu anayeishi kufuata sheria
 
Mange ana stress ya kuachwa na mabwana ukiungana naye hapana shaka na wewe una stress hizo hizo. Poleni kwa kuachika

Mnakimbilia ana stress za kuachwa , kule ccm mbona kuna majike shupa kibao hawajaolewa na hawana dalili za kuolewa? Tena wengine hadi uwaziri wameshapitia
 
Mange ana tatizo la Bipolar disorder,talaka,kukosa pesa,kuishi katika maisha ya hali ya chini vyote hivyo vimemsababishia Bipolar disorder.
Hilo tatizo mumeliona wakati huu baada ya kuwageuka......wakati ule anamtukana LOWASA hilo tatizo hakuwa nalo eti?
 
Copy and paste from whats app group:

1. She is medically ill (Bipolar disorder)- Ugonjwa wa akili unaombatana na tabia za sonono na ukichaa japo mtu anaweza kuonekana yuko fresh kwa muonekano..

2. She is a mother of 3 but divorced and Jobless.

3. Hana muda wa kupikia watoto kwa u busy kutokana na kutumia muda mwingi on social networks and blogs kutafuta infos za watu maarufu na siasa bongo..This fact from her show offs za lifestyle yake posted on her IG page.

4. Inasemekana amesoma vizuri from Bongo degree to MBA in Dubai but still unemployed.

5. Alikuwa na kesi zaidi ya 20 za utapeli kupitia BONGOLICIOUS iliyojihusiha na urembo na fasheni na kesi nyingine zikuhisiana na kuwachafua (Defaming) watu maarufu na wanasiasa.

6. Mwaka 2015 aliwekwa korokoroni (Cell) zaidi ya masaa 48 na kutolewa kwa dhamana kwa kesi ya kuchafua watu mitandaoni aliporudi TZ.

7. Alikuwa mgombea wa ubunge kwenye kura za maoni jimbo la Ubungo kupitia CCM..Alibwagwa vibaya na kutokomea kusikojulikana..Kwa sasa ni mwanaharakati mtandaoni i.e. freedom of speech asiyekuwa na chama (Ameshachoma kadi yake ya CCM) huku akiisema vibaya serikali na kuisifia ukawa (Inawezekana baada ya kukosa alichokitaka kutoka ccm)

8. Alishatishiwa kuuawa kwa bastola hadharani na kesi iliripotiwa police..Inawezekana kwa sababu ya kumtukana mtu.

9. Ni mtoto wa nje wa marehemu mzee KIMAMBI, pia ni mtoto wa kambo wa DR. Mwele Malecela aliyetumbuliwa pale NIMR baada ya kuolewa na mzee KIMAMBI alifukuzwa nyumbani.

10. Mtoto wake wa kwanza amechukuliwa na baba yake na anaishi mbali na MANGE Inawezekana kutokana na malezi yasiyomfurahisha baba yake.

MY TAKE:She insults people, bullying and spread hate on social media just because she is a DESPERATE SINGLE MOTHER.
Mange's+Jaguar.jpg

Fallacy per se
 
umetumwa na wewe usivo naakili...
MANGE NI MWANAMKE JASIRI SANA usithubuthu kumuanza utalia shauri yako
 
Slow Slow kakutuma? Mwambie atoe tamko mwenyewe aone atakavyokuwa bulled na Mange
 
Leo hii mnamtegemea mange kuwafanyia siasa chafu duuh kazi kwelikweli
 
Je unazan kampen hii ya mange inaweza kuleta madhara yoyote. Kumbuka alichangia sana mwaka Jana kupiga kampen za mtandaon kumpigia mh maguful . au mnazan mbinu sahihi ni ipi

Ameandika hiv mange

@Regrann from @mangekimambi_ - It's official, sina chama......
.
.
[HASHTAG]#Opereshenichomakadiyaccm[/HASHTAG]
.
.
Kama na wewe unapinga udikteta wa Magufuli, kama unataka [HASHTAG]#Bungelive[/HASHTAG], kama unapinga kuminywa kwa uhuru wa vyombo vya habari, kama unapinga watanzania kunyimwa uhuru wa kujieleza, kama unapinga wabunge wa CCM kupitisha sheria zinazokiuka haki za binadamu, kama umechoka kuona wabunge wa CCM wakisaidia chama na sio mwananchi, kama unapinga MaxMelo wa jamiiforums kukamatwa, kama unapinga Lema kuwa ndani mpaka leo sababu ya maono/ndoto, kama unapinga wabunge wa upinzani kufukuzwa bungeni , kama umechoka na ahadi za CCM , kama umechoka umaskini, kama ni mwanafunzi umerudi nyumbani kwa kukosa mkopo, kama wewe ni mwalimu wa sanaa, kama unasubiria ajira ya serikalini toka mwaka jana, kama biashara yako imekufa sababu ya makodi, kama ulisikitika mwenyekiti wa CCM kupiga panga pesa za mchango wa Kagera, kama umechoka umaskini, kama unataka kuona system MPYA Tanzania in 2020. Kwa kifupi kama umechoka na ungese wa CCM basi ntumie video yako ukichoma kadi yako ya CCM.... Maana wanadhani wanaowakosoa ni wapinzani kumbe wanakosolewa na watanzania wasiojali vyama bali nchi yao..
.
.
Tukitaka kuandama wanatishia kututoa uhai. Kuna njia zingine za kuwaonyesha hatuko nao. Njia moja ndo hii [HASHTAG]#OpereshenichomakadiyaCCM[/HASHTAG]
.
.
Ntumie video yako kwa whatsapp +1 310 855 4352
.
.
.
.

PS: ni kadi ya 2015 coz nilipoteza ya zamani.... - [HASHTAG]#regrann[/HASHTAG]

Angalia mwaka aliojiunga Chama ndio utamuelewa zaidi!
 
Copy and paste from whats app group:

1. She is medically ill (Bipolar disorder)- Ugonjwa wa akili unaombatana na tabia za sonono na ukichaa japo mtu anaweza kuonekana yuko fresh kwa muonekano..

2. She is a mother of 3 but divorced and Jobless.

3. Hana muda wa kupikia watoto kwa u busy kutokana na kutumia muda mwingi on social networks and blogs kutafuta infos za watu maarufu na siasa bongo..This fact from her show offs za lifestyle yake posted on her IG page.

4. Inasemekana amesoma vizuri from Bongo degree to MBA in Dubai but still unemployed.

5. Alikuwa na kesi zaidi ya 20 za utapeli kupitia BONGOLICIOUS iliyojihusiha na urembo na fasheni na kesi nyingine zikuhisiana na kuwachafua (Defaming) watu maarufu na wanasiasa.

6. Mwaka 2015 aliwekwa korokoroni (Cell) zaidi ya masaa 48 na kutolewa kwa dhamana kwa kesi ya kuchafua watu mitandaoni aliporudi TZ.

7. Alikuwa mgombea wa ubunge kwenye kura za maoni jimbo la Ubungo kupitia CCM..Alibwagwa vibaya na kutokomea kusikojulikana..Kwa sasa ni mwanaharakati mtandaoni i.e. freedom of speech asiyekuwa na chama (Ameshachoma kadi yake ya CCM) huku akiisema vibaya serikali na kuisifia ukawa (Inawezekana baada ya kukosa alichokitaka kutoka ccm)

8. Alishatishiwa kuuawa kwa bastola hadharani na kesi iliripotiwa police..Inawezekana kwa sababu ya kumtukana mtu.

9. Ni mtoto wa nje wa marehemu mzee KIMAMBI, pia ni mtoto wa kambo wa DR. Mwele Malecela aliyetumbuliwa pale NIMR baada ya kuolewa na mzee KIMAMBI alifukuzwa nyumbani.

10. Mtoto wake wa kwanza amechukuliwa na baba yake na anaishi mbali na MANGE Inawezekana kutokana na malezi yasiyomfurahisha baba yake.

MY TAKE:She insults people, bullying and spread hate on social media just because she is a DESPERATE SINGLE MOTHER.
Mange's+Jaguar.jpg
Umesahau
MTanzania anayeishi marekani,
Hajawai kukuomba msaada wowote kutoka kwako
Anayaendesha maisha yake kwa mipango yake huko marekani

Anaongea anachokiamini
 
mange tena haya
Miss Chaga, hivi huyu alitokeaje akaolewa USA, mara uchaguzi tz-ubungo, sasa yupo USA na green card!! If you have any information anyway, maana naona anawavuruga hata wenye nguvu zao
 
Back
Top Bottom