Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

Kama lowsssa aligoma kutupa yake tatizo lolo wapi, acha wajumbe wa chadema waendelee kuwa wanachama wa sisiemu.
Mimi Nitachoma Hadharani Siku Nikiona Lowassa, Kingunge Na Sumaye Na Wao Wanachoma Zao Hadharani.
 
Kuchoma kadi hakitawasaid is chochote nyie nyumbu jengeni chama chenu muache maigizo, miaka 25 sasa pamoja na ruzuku kubwa kila mwezi bado chama kimepanga kichochoroni [HASHTAG]#shem[/HASHTAG]
 
Anaweza kuwa chizi kweli.. Maana awali alikuwa CCM (ukiwa huko unakuwa siyo timamu tena).., Lakini sasa.., niamini mimi.., huyu unaemuita chizi ana wafuasi zaidi ya 700,000 katika ukurasa wake wa Instagram, ana ushawishi katika mitandao ya kijamii kuliko wewe mtu ambaye ni mzima...
Princess Tiffah Anao Milioni Moja. Ana Ushawishi Kuliko Mbutananga Kimambe
 
Anajua anachokifanya....kuipigia ccm haina maana kusupport kila kitu....huko ndio uzalendo wa kweli sio Mahaba yasiyo na Tija....mange ameisaidia sana ccm kwenye kampeni.. angalia clip zake na harakati alizokuwa akizifanya kiasi cha kuteka social media....Hali ilikuwa mbaya lakini aliwateka wadada na akina mama, na Hata kutumia watoto kwenye kuhamasisha ...very strategic ...Ila Mara baada ya uchaguzi haswa issue ya bungee live...ame kuwa akihamasisha watu....na hapa alipofika nadhani anajua anapoelekea na uchizi wake....wenye akili tupo tu...Ila hivi ndivyo itakiwavyo Katika siasa .....kama hoja za Mh. Bashe akiwa mjengoni....
 
Kuna vitu vingine vya kijinga kweli... Sumaye, Lowassa, Kingunge
 
Copy and paste from whats app group:

1. She is medically ill (Bipolar disorder)- Ugonjwa wa akili unaombatana na tabia za sonono na ukichaa japo mtu anaweza kuonekana yuko fresh kwa muonekano..

2. She is a mother of 3 but divorced and Jobless.

3. Hana muda wa kupikia watoto kwa u busy kutokana na kutumia muda mwingi on social networks and blogs kutafuta infos za watu maarufu na siasa bongo..This fact from her show offs za lifestyle yake posted on her IG page.

4. Inasemekana amesoma vizuri from Bongo degree to MBA in Dubai but still unemployed.

5. Alikuwa na kesi zaidi ya 20 za utapeli kupitia BONGOLICIOUS iliyojihusiha na urembo na fasheni na kesi nyingine zikuhisiana na kuwachafua (Defaming) watu maarufu na wanasiasa.

6. Mwaka 2015 aliwekwa korokoroni (Cell) zaidi ya masaa 48 na kutolewa kwa dhamana kwa kesi ya kuchafua watu mitandaoni aliporudi TZ.

7. Alikuwa mgombea wa ubunge kwenye kura za maoni jimbo la Ubungo kupitia CCM..Alibwagwa vibaya na kutokomea kusikojulikana..Kwa sasa ni mwanaharakati mtandaoni i.e. freedom of speech asiyekuwa na chama (Ameshachoma kadi yake ya CCM) huku akiisema vibaya serikali na kuisifia ukawa (Inawezekana baada ya kukosa alichokitaka kutoka ccm)

8. Alishatishiwa kuuawa kwa bastola hadharani na kesi iliripotiwa police..Inawezekana kwa sababu ya kumtukana mtu.

9. Ni mtoto wa nje wa marehemu mzee KIMAMBI, pia ni mtoto wa kambo wa DR. Mwele Malecela aliyetumbuliwa pale NIMR baada ya kuolewa na mzee KIMAMBI alifukuzwa nyumbani.

10. Mtoto wake wa kwanza amechukuliwa na baba yake na anaishi mbali na MANGE Inawezekana kutokana na malezi yasiyomfurahisha baba yake.

MY TAKE:She insults people, bullying and spread hate on social media just because she is a DESPERATE SINGLE MOTHER.
Mange's+Jaguar.jpg
 
Who is mange kimange?? Anaishi tz hapa?? Anatibiwa hospital za tz hapa?? Alipiga kura?? Alikuwa na mchango gani ndani ya chama?? Mara ya mwisho alilipia lini kadi yake??ana mchango gani kwa taiga?? Ameshawahi kuwa hata Kiongozi wa mtaa??
We unayeishi hapa tz hali ya maisha unaiona jeee?
 
Ccm haitetereki na mihemko
Kama kweli mnaichukia ccm waambieni wajumbe wa kamati Kuu ya chadema Lowasa na sumaye waunge mkono kwa kuchoma kadi zao za ccm hadharani
 
Napenda sana mwanamke mwenye uelewa kama Mange, natamani awe mke wangu wa pili...a reasonable person like her! [emoji28][emoji28]
 
Yaani huyu nahisi siku akitia maguu bongo anaweza kupotelea airport maana hana mpinzani katika kutoa yake ya moyoni bila uonga kitu ambacho kinapingana sana na falsafa ya nchi hii kwa sasa.,,, ni hisia zangu tu lakin
Kabisa Mkuu, sijui anajiamini nini huyu Dada.......
 
Umuhimu wa mtu huonekana pale anapoisaidia jamii yake....na si vinginevyo
 
Kelele nyingi mitandaoni tukija kwenye box la mpiga kura chaliii...tunawasubiri 2020
 
Back
Top Bottom