Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mbona keshapata wafuasi wengi huku! Nashangaa watu wanawacheka wafuasi wa Lusekelo na kuacha hawa wanomfuata huyo mgonjwa as akili.
 
GRAPHIC-MJ-OS-NL3600-BUSH-MLTCLR.jpg
 
Naona hii operation Yake ya choma kadi ya ccm inawachanganya maana kadi zenyewe miliombea watu wachukue huku mnawapa hela sasa kwao kuchoma ni kitu rahisi tu Safi sana mange
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Copy and paste from whats app group:

1. She is medically ill (Bipolar disorder)- Ugonjwa wa akili unaombatana na tabia za sonono na ukichaa japo mtu anaweza kuonekana yuko fresh kwa muonekano..

2. She is a mother of 3 but divorced and Jobless.

3. Hana muda wa kupikia watoto kwa u busy kutokana na kutumia muda mwingi on social networks and blogs kutafuta infos za watu maarufu na siasa bongo..This fact from her show offs za lifestyle yake posted on her IG page.

4. Inasemekana amesoma vizuri from Bongo degree to MBA in Dubai but still unemployed.

5. Alikuwa na kesi zaidi ya 20 za utapeli kupitia BONGOLICIOUS iliyojihusiha na urembo na fasheni na kesi nyingine zikuhisiana na kuwachafua (Defaming) watu maarufu na wanasiasa.

6. Mwaka 2015 aliwekwa korokoroni (Cell) zaidi ya masaa 48 na kutolewa kwa dhamana kwa kesi ya kuchafua watu mitandaoni aliporudi TZ.

7. Alikuwa mgombea wa ubunge kwenye kura za maoni jimbo la Ubungo kupitia CCM..Alibwagwa vibaya na kutokomea kusikojulikana..Kwa sasa ni mwanaharakati mtandaoni i.e. freedom of speech asiyekuwa na chama (Ameshachoma kadi yake ya CCM) huku akiisema vibaya serikali na kuisifia ukawa (Inawezekana baada ya kukosa alichokitaka kutoka ccm)

8. Alishatishiwa kuuawa kwa bastola hadharani na kesi iliripotiwa police..Inawezekana kwa sababu ya kumtukana mtu.

9. Ni mtoto wa nje wa marehemu mzee KIMAMBI, pia ni mtoto wa kambo wa DR. Mwele Malecela aliyetumbuliwa pale NIMR baada ya kuolewa na mzee KIMAMBI alifukuzwa nyumbani.

10. Mtoto wake wa kwanza amechukuliwa na baba yake na anaishi mbali na MANGE Inawezekana kutokana na malezi yasiyomfurahisha baba yake.

MY TAKE:She insults people, bullying and spread hate on social media just because she is a DESPERATE SINGLE MOTHER.
Mange's+Jaguar.jpg

Aisee!! Sasa mnashindwaje kuingia Jamiiforums na kujua yupi ni yupi Bandugu?.

Huyu mtu ni mjanja mjanja! asije yeye mwenyewe akawa ameandika hii post akawa anacheza na akili za watu Nchi hii.
 
Copy and paste from whats app group:

1. She is medically ill (Bipolar disorder)- Ugonjwa wa akili unaombatana na tabia za sonono na ukichaa japo mtu anaweza kuonekana yuko fresh kwa muonekano..

2. She is a mother of 3 but divorced and Jobless.

3. Hana muda wa kupikia watoto kwa u busy kutokana na kutumia muda mwingi on social networks and blogs kutafuta infos za watu maarufu na siasa bongo..This fact from her show offs za lifestyle yake posted on her IG page.

4. Inasemekana amesoma vizuri from Bongo degree to MBA in Dubai but still unemployed.

5. Alikuwa na kesi zaidi ya 20 za utapeli kupitia BONGOLICIOUS iliyojihusiha na urembo na fasheni na kesi nyingine zikuhisiana na kuwachafua (Defaming) watu maarufu na wanasiasa.

6. Mwaka 2015 aliwekwa korokoroni (Cell) zaidi ya masaa 48 na kutolewa kwa dhamana kwa kesi ya kuchafua watu mitandaoni aliporudi TZ.

7. Alikuwa mgombea wa ubunge kwenye kura za maoni jimbo la Ubungo kupitia CCM..Alibwagwa vibaya na kutokomea kusikojulikana..Kwa sasa ni mwanaharakati mtandaoni i.e. freedom of speech asiyekuwa na chama (Ameshachoma kadi yake ya CCM) huku akiisema vibaya serikali na kuisifia ukawa (Inawezekana baada ya kukosa alichokitaka kutoka ccm)

8. Alishatishiwa kuuawa kwa bastola hadharani na kesi iliripotiwa police..Inawezekana kwa sababu ya kumtukana mtu.

9. Ni mtoto wa nje wa marehemu mzee KIMAMBI, pia ni mtoto wa kambo wa DR. Mwele Malecela aliyetumbuliwa pale NIMR baada ya kuolewa na mzee KIMAMBI alifukuzwa nyumbani.

10. Mtoto wake wa kwanza amechukuliwa na baba yake na anaishi mbali na MANGE Inawezekana kutokana na malezi yasiyomfurahisha baba yake.

MY TAKE:She insults people, bullying and spread hate on social media just because she is a DESPERATE SINGLE MOTHER.
Mange's+Jaguar.jpg
Pamojq na Akil zake mbovu moto wake mnaujuaaaaaaaaa...
 
Back
Top Bottom