Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

Lakini Huyu dada si alikuja kupigania uongozi katika nyadhifa ndani ya CCM kipindi kile?? Kwani wana CCM hawakujua ana uraia wa USA?

Ndio maana hakukatiza alikatwa kimya kimya kama Lowasa vile! CCM huwa hatupigi yowe ni kimya kimya fyaa jina tupa kule.
 
Mnanishangaza sana mnaompigia debe huyu dada a.k.a mbuta nanga,simwamini hata dakika moja,ni huyu dada kama mnakumbuka alimtuhumu Mh Lema,leo mnamuona wa maana kwa kuwa anaisema vibaya CCM,kamwe tusiwe wasahaulifu.kuna wakati ni vyema CCM ikawa na wanachama wachache wapiganaji,kuliko kuwa na wanachama wengi vigeu geu kama mbuta nanga,kimambi
 
ivi Kuna great thinker anaongozwa na mange?? Skuzote mpaka yamemkuta! Sijaajiriwa lakini sifanyi uchuro kwanza mi mwanaume siongozwi na ... Chyaa
 
Sijawahi kuona haja ya kuwa na kadi ya chama chochote cha siasa, natamani kungekuwa na kadi ya utanzania, wanasiasa ndo wanatakiwa kuwa na kadi za vyama wengine tubaki kuwa na utaifa wetu kwanza, huwa natamani tukienda kwenye kampeni nikute meza kuu wamevaa mavazi yao ya vyama alafu wasikilizaji wote tumebeba bendera ya taifa.
Safi sana
 
Hakuna pengo hapo
Hatari Sana, Mwanachama Hata Mmoja Anapoondoka Kwenye Chama ni Pengo

Hakuna pengo hapo kadi nyingi za CCM ni za promosini. zile mgombea wa udiwani au ubunga ananunu lundo la kadi na kuwagawia watu mitaani ili wakati wa uchaguzi wampigie kura. te te te te ha ha ha aha !!!
 
Hii operation choma Kati itafanikiwa wapo wengi walipewa bure watazichoma mange anawafuasi wake wako ccm Na walichagua ccm kwa ajili Yake
 
Kaondoka Kingunge Kadi no. Nane ya CCM, Mwandishi Mkuu wa Propaganda za Chama, Mtu alietumikia Chama kwa 60 years akaondoka lakin Chama kipo tu!

kipo tu kwa nguvu ya dola...........now kampeni mfanyie wanajeshi
 
Chizi huyu anatanga na njia anahangaika.
Anaweza kuwa chizi kweli.. Maana awali alikuwa CCM (ukiwa huko unakuwa siyo timamu tena).., Lakini sasa.., niamini mimi.., huyu unaemuita chizi ana wafuasi zaidi ya 700,000 katika ukurasa wake wa Instagram, ana ushawishi katika mitandao ya kijamii kuliko wewe mtu ambaye ni mzima...
 
Ila mange tumnyonge tu lakini haki yake tumpe.kuna kaukweli ndani yake.tumsapoti.
 
Nchi ni TANZANIA.
Rais ni JOHN POMBE MAGUFULI.
Chama tawala ni CCM.
NB:Km hupendi ama hama nchi au kufa!
Mtahama ninyi.siku ukawa ikichukua nchi.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom