Huenda ni AI siyo maneno yake. Hachelewi kukanusha.Wewe unataka wingi wa maneno au nini hujaelewa hapo?
Kasema ukweli,"Mh Paul Chacha amevikosea sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama" -Jeneral Mkunda.View attachment 3679393
Sasa watanganyika wanahoji kwa kizungu.. What next!? Au ndio basi imetosha?
Yamewafika,ndivyo walivyo wengi wanaamini Hivyo!Basiii, amekwishaaa. Kuna nini tenaa
kwani uongo?Imeisha hiyo nani amkoromee aliye waweka? Chacha kasema CCM ndio imewaweka hapo walipo.
Chacha usikute mkweli,maana wote wanateuliwa na mwenyekiti wa chama chaoHapo kuna mmoja ni muongo kati ya Chacha na Mkunda.
By the way, huyo Chacha ni nani huko Daslam?
Nyuma ya pazia chacha yupo sahihi otherwise mauaji ya oct 29 yasingetokea"Mh Paul Chacha amevikosea sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama" -Jeneral Mkunda.View attachment 3679393
Sasa watanganyika wanahoji kwa kizungu.. What next!? Au ndio basi imetosha?
na siku zote ukweli unaumaKasema ukweli,
Isipokuwa kawema ukweli mahali pasipostahili.
Lilikuwa ni suala la muda tu mzee Chacha ataharibu huko taifani! CCM walijifanya eti tutamfute mtu konki master ndio wakampata Chacha. Huyo mzee ana over-confidence na anapenda kuzua taharuki na cheap popularity. Rejea akiwa mkuu wa mkoa wa Tabora alivyokuwa akizua taharuki: Kwanza kutapeliwa na mchungaji Mrundi, kusitisha kongamano la mchungaji w Marekani kwamba kuna ushoga lakini baadae likaendelea, kutongozwa na binti, na leo hii hilo suala!"Mh Paul Chacha amevikosea sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama" -Jeneral Mkunda.View attachment 3679393
Sasa watanganyika wanahoji kwa kizungu.. What next!? Au ndio basi imetosha?
Umesahau sakata lake na Alli Komwe!?Lilikuwa ni suala la muda tu mzee Chacha ataharibu huko taifani! CCM walijifanya eti tutamfute mtu konki master ndio wakampata Chacha. Huyo mzee ana over-confidence na anapenda kuzua taharuki na cheap popularity. Rejea akiwa mkuu wa mkoa wa Tabora alivyokuwa akizua taharuki: Kwanza kutapeliwa na mchungaji Mrundi, kusitisha kongamano la mchungaji w Marekani kwamba kuna ushoga lakini baadae likaendelea, kutongozwa na binti, na leo hii hilo suala!
Hajakosea kasema ukweli
ok.🐒"Mh Paul Chacha amevikosea sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama" -Jeneral Mkunda.View attachment 3679393
Sasa watanganyika wanahoji kwa kizungu.. What next!? Au ndio basi imetosha?
Kuusema hadharani, ksababu hata aliyekua mkuu wa wilaya ya Longido alinyofolewa baada ya kusema ukweli hadharani kwamba walifanya Kila jitihada madiwani washindeKusema ukweli ni kosa?....au Kosa ni kuusema hadharani?