Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,566
- 55,686
Lilikuwa ni suala la muda tu mzee Chacha ataharibu huko taifani! CCM walijifanya eti tutamfute mtu konki master ndio wakampata Chacha. Huyo mzee ana over-confidence na anapenda kuzua taharuki na cheap popularity. Rejea akiwa mkuu wa mkoa wa Tabora alivyokuwa akizua taharuki: Kwanza kutapeliwa na mchungaji Mrundi, kusitisha kongamano la mchungaji w Marekani kwamba kuna ushoga lakini baadae likaendelea, kutongozwa na binti, na leo hii hilo suala!
Bado mshamba wa madaraka, trivial things ndio anadeal nazo.
Itabidi guidlines za uongoz ziwe updated na ziwea restrict kuji engage kwneye mambo ya hovyo