Maneno machache ya mkuu wa majeshi

Maneno machache ya mkuu wa majeshi

Sio kweli, hawana utaalam wa vetting ya viwango hivyo

Samia utaratibu wake ni wa kubadilisha badilisha hata mara tano ndani ya miezi michache mpaka apate type yake anayoitaka yeye.

Ilikuwa hivyo kwa Mkurugenzi TISS, na taasisi nyingine nyeti kama TRA, TPA, Hazina, ambazo anataka figure head atakamwezesha kupitisha agenda zake yeye Samia, sio mtaalam ataefanya kazi kiueledi kwa manufaa ya umma.
Hujanielewa. Ungenielewa ungejuwa kwamba tunakubaliana katika hayo unayoyasema wewe..
"Vigezo", siyo unavyovijuwa wewe, ni vile anavyovitaka mteuaji, na vinaweza kuwa bayana tokea mwanzo kwa anayeteuliwa na isilazimu kubahatisha kama unakokuelezea wewe na huyo Mombo..

Samia hatafuti mtu mwenye "vigezo" vinavyoendana na mahitaji ya utumishi kwa umma. Anatafuta mtu anayekidhi vigezo anavyovitaka yeye' kama hivyo alivyonavyo huyo CDF na hao wengine wote wanaomfanyia kazi ya kumbakisha madarakani bila ya ridhaa ya wananchi.

Sasa unaweza kuniambia kwa nini huyu CDF hajabadilishwa mara tano kama hakutimiza vigezo alivyovitaka Samia?
 
Huyu mkuu wa majeshi ni uvccm mtiifu,huwez kuwa mkuu wa majeshi bila ya kuwa na kadi ya ccm, kazi yake hapo ni kulinda chama
 
Wahuni huwa hwataki ukweli usemwe hadharani, wanaweza kumuadhibu kama walivyofanya kwa DC wa Longido, Nape, Polepole, Nchimbi, nk
Ndiyo maana kaishia hapo alipoishia tena kwa upole sana.

Akivuka mstari kidogo tu kama alivyofanya Nchimbi , habari yake itakuwa kwisha.

Sasa hivi anayo hofu kubwa sana hata kwa hayo machache aliyoyasema isije wakubwa wakayatafsiri asivyokuwa amelenga.
"Mh Paul Chacha amevikosea sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama" -Jeneral Mkunda.View attachment 3679393
Sasa watanganyika wanahoji kwa kizungu.. What next!? Au ndio basi imetosha?
Huyu itabidi aanze kujitafakari kwa kuthubutu kuhoji hayo aliyosema Chacha.
 
Huyu kwa kulinda heshima yake ndogo itakayorudi ni kunyamaza tu waTanzania wajikomboe wenyewe kwa njia zozote watakazoweza kuzitumia.
Yeye hapaswi kusema chochote. Anyamaze tu, hakuna atakayemlilia kwa kuwaumiza waTanzania kama alivyoruhusu huko nyuma.

Ninachomsihi na kumwomba, asikubali tena kushiriki katika kuwakandamiza waTanzania. Simwombi zaidi ya hilo.
Ninachomsihi na kumwomba, asikubali tena kushiriki katika kuwakandamiza waTanzania. Simwombi zaidi ya hilo.📎📌🔨
 
"Mamlaka" haiteuwi bila ya kumjuwa mtu sahihi kwa kazi wanayotaka wateuzi ifanyike. Kwa hiyo yeye alifikia vigezo walivyokuwa wakivitaka toka mwanzo. Na kweli hakuwaangusha!
Like faza like sani
 
Kasema ukweli na ndio ukweli majeshi ya police ni vibaraka wa CCM na kila mtu anajua na anaeolewa Hilo, nlishawahi kusema , majeshi ya police huwa yapo Kwa maslahi ya watawala na sio wananchii na Hilo ni siku zote, we angalia ikitokea brutality yeyote ile alafu wakaja askari wa aina yeyote ile mnufaika huwa ni mtawala, ukiona ya October 29 ? Nani alinufaika na majeshi kama sio watawala ? Majeshi yote yapo kwaajili ya kuprotect interest za watawala na the rulling class ni wachache(minority group), nyie the majority mtajua wenyewe na matatizo yenu, mkitaka labda muwe machawa na vinega wa watawala hapo at least mtapata favor kidogo...
 
..raia acheni kulipa kodi tuone km hao kina chacha wataweza kuwalipa hiyo mishahara yao..hii ndio dawa ya hawa waliovimbiwa na kuja kutapika hadharani.
Huna jinsi au njia yoyote kukataa Kodi, kila bidhaa unayonunua imewekewa kodi indirect tax.

Na ukifungua biashara ukagoma kulipia kodi wanapiga kufuli.

Njia za kuondokana na kusalimika na huu ubabe, na manyanyaso, tambo na kejeli ni MUNGU anajua.
 
Huo utakuwa siyo ukweli. Ukweli haujifichi kwa sababu yoyote ile.
Unachozungumzia wewe hapa ni UNAFIKI ndio neno sahihi unalolenga wewe.
Ukweli ni slichokisema Ch'cha, hicho ndio nnachokiita ukweli. Ila kuna watu hawataki huo ukweli usemwe, na haya maneno machache ndio uthibitisho wa wale wasiopenda ukweli uliosemwa.
 
Huna jinsi au njia yoyote kukataa Kodi, kila bidhaa unayonunua imewekewa kodi indirect tax.

Na ukifungua biashara ukagoma kulipia kodi wanapiga kufuli.

Njia za kuondokana na kusalimika na huu ubabe, na manyanyaso, tambo na kejeli ni MUNGU anajua.
Mungu anajua..lkn fanya sehemu yako, unatishwa na kufungiwa biashara..? Watafungia wangapi..km kila mmoja atakataa kulipa..?
 
Back
Top Bottom