Mandamano ya kupinga uchaguzi mkuu tanzania,kufanyika washington dc usa

mawasiliano na sebodo (mhindi anaewapaga hongo chadema) yanafanyika ili aweze kuchangia milioni 1 kulipia gharama za hayo maandamano!!!!
NADHANI NI MWANZO MZURI!!!

we mrembo,majina mengne si ya kutaja ovyo ovyo,sabodo ata alipoipa chadema miela,ata ccm walifyata mikia ila naona wee wataka kuwa wa kwanza kujitoa mhanga! Aya kada mrembo!
 
Mbona nimeanza kuandika siku nyingi Zubeda wangu wa CCM?

Unataka kusema leo ndiyo unaona ujumbe wangu? Ulishaandika hadi maneno kuwa sasa ni Siasa na siyo Mapenzi.

Hata kama kuna mwengine, mie ntakuwa wa kukubebea Mikoba ya Ubunge wako.

Still in Love with you, My Zubeda of CCM. Nasubiri tu unizalie Vitoto viwili... Mmmwaaaa!!
mwongo wee, yaani unaanza kunipenda baada ya kuona tunashinda!!!! Samahani mimi nna wangu nimpendae na kamwe sidanganyiki kama yule first lady hewa wa chadema alieamua kumkimbia mumewe na kujipachika kwa rais kivuli!!!!
 
Heshima kwenu ndugu zetu mliopo marekani,
hii ni move nzuri sana ya kuwaanika hawa majangili walioinajisi nchi yetu nzuri ya Tanzania..
hakikisheni kuna kuwa na coverage nzuri kwenye vyombo vya habari vikubwa kama CNN.
Wazalendo wenzenu tunawatakia kila la kheri.
Nawasilisha.
 
what is the relation even if is his first posts? ur leaning to CCM Zakumi and u make ur self blind of what CCM is doing to us, now i got u, convinced ur CCM and ur beneficiary of it, enjoy but we, i repeat we never allow hawa mafisi watunyonye na kutuletea umaskini hivi, najua unafurahia, maana ur mgs tells me black & white how ur, 50 yrs now since independence, ila still tunatawaliwa na wakoloni CCM wabaya mara 100 heri mkoloni, wameturudisha nyuma, umaskini ndio balaa ww unaongee tu upupu, keep it up man, tutaona, we are highly concern, tuliopata elimu tutaiondoa madarakani CCM, believe me, tutatawanyika nchi nzima na kupiga kampeni, bungeni kila mahala utaona nini maana ya usomi, ww unapinga hata kibaya, haturudi nyuma utaona, ur such a crook too

For your information I live in Washington DC, and the Tanzanian community here is the most disorganized one. Kuhusu mimi kuwa CCM, naomba soma posti zangu kabla ya kunishutumu.

Toka nimejiunga katika board hii msimamo wangu ni mapenzi ya ubepari, katiba na utawala wa kisheria. Hivi vitu vyote ni hadimu katika siasa za CCM, CHADEMA, CUF na vyama vingine vya upinzani.

WanaJF wengi na wapenzi wa CHADEMA hamjaisoma katiba ya nchi. Kama mngekuwa imeisoma msingeshiriki kwenye uchaguzi mpaka marekebisho yafanyike.

Pili CHADEMA, CUF na CCM hamna itikadi. Wote mnapiga kampeni za kujenga shule za bure, maji bure, na huduma za jamii za bure. CHADEMA mmekwenda mbali na kudai kuwa mtauza mfuko wa cementi kwa shilingi 5000. Kama wewe umesoma, piga hesabu ni jinsi gani nchi yenye deni lililokaribia robo ya pato la taifa inavyoweza kutoa huduma bure.

Najua watu mna-frustrations zenu. I can't help it. Nachojua mkishatulia mtamsahu Dr. Slaa na kuanza kujadili nani atamrithi Kikwete. Mtaanza kutafuta mtu mzuri ndani ya CCM kama vile mlivyofanya 2005.
 
Mbona nimeanza kuandika siku nyingi Zubeda wangu wa CCM?

Unataka kusema leo ndiyo unaona ujumbe wangu? Ulishaandika hadi maneno kuwa sasa ni Siasa na siyo Mapenzi.

Hata kama kuna mwengine, mie ntakuwa wa kukubebea Mikoba ya Ubunge wako.

Still in Love with you, My Zubeda of CCM. Nasubiri tu unizalie Vitoto viwili... Mmmwaaaa!!

Sikonge:

Sijuhi na mimi nichomekee kwa Zubeda.
 
Huo ndiyo uzalendo kwa nchi yenu.........mtujulishe tarehe za maandamano hayo............................ili tuwaelezee na wengineo walioko huko...............
 
Ungeandaa maandamano ya kupinga waTZ waishio nje ya nchi kunyimwa kupiga kura, tungekunga mkono.
Lakini pia ni rahisi na salama zaidi kufanya maandamano, ONLINE.
 
Nimewasoma washikaji wetu pazeni sauti kutoka huko. Kweli tunaumia kupiga kura lakini tukatangaziwa tofauti.
 
Hii ndio dawa pekee ya ku-mfunga Mkulu break na safari zake zisizo na tija Washington DC. Mabango yasomeke: Tanzanians cheated in the General Elections 2010! "Washington stop embracing Electoral Riggers" "Millenium goal can not be achieved with Democracy raped!" "No vizas for Corrupt leaders and their families!" :A S angry:! "Tanzania leaders rigged to the office! " With CCM = No we Can't!" "Stop US Aid 4 Corrupt Leaders"! "One Million US $ poor Tanzanians' money stashed in hidden account of a corrupt Tanzanian leader Chenge" MDG's Money in Corrupt leaders' Accounts! "Washington we all share responsibility for global good leadership"
 
Unao ushahidi wa kutosha? Kwa sababu wazungu kuna EU, USA waliokuwepo bongo, unajua walichokisema?

Hatutegemei wazungu watusemee acha fikra za kizamani, umeona mwenyewe unapapatikia wazungu, wewe vipi?
 
For your information I live in Washington DC, te te te te natamani ningejua ajira yako....nikompee na point zako and the Tanzanian community here is the most disorganized one. ....Yes disorganised what have u done to make a difference?? Kuhusu mimi kuwa CCM, naomba soma posti zangu kabla ya kunishutumu.

Toka nimejiunga katika board hii msimamo wangu ni mapenzi ya ubepari, katiba na utawala wa kisheria. Hivi vitu vyote ni hadimu katika siasa za CCM, CHADEMA, CUF na vyama vingine vya upinzani.

WanaJF wengi na wapenzi wa CHADEMA hamjaisoma katiba ya nchi. Kama mngekuwa imeisoma msingeshiriki kwenye uchaguzi mpaka marekebisho yafanyike. Tuususie na tusichague kiongozi ambaye atakayefanya mabadiliko? da mr Washing ton unanichekesha

Pili CHADEMA, CUF na CCM hamna itikadi. Wote mnapiga kampeni za kujenga shule za bure, maji bure, na huduma za jamii za bure. CHADEMA mmekwenda mbali na kudai kuwa mtauza mfuko wa cementi kwa shilingi 5000. Kama wewe umesoma :doh::doh:, piga hesabu ni jinsi gani nchi yenye deni lililokaribia robo ya pato la taifa inavyoweza kutoa huduma bure.

Najua watu mna-frustrations zenu......:nono::nono: I can't help it. Nachojua mkishatulia mtamsahu Dr. Slaa na kuanza kujadili nani atamrithi Kikwete. Mtaanza kutafuta mtu mzuri ndani ya CCM kama vile mlivyofanya 2005.

Haya mr/mama washing ton
 
Mkuu, mie sina shida na hilo. CHAGULAGA ni jadi yetu na tukiwa wengi na mtu ukashinda, ushindi unanoga.

Zubeda, Chagulaga Mwanamayu (Chagua kati yangu za Zakumi).
Sikonge:

Sijuhi na mimi nichomekee kwa Zubeda.
 
:smile-big::a s angry: Yani mkinifikisha hapo natamani hata kutapika, ila basi tu inanibidi nivumilie kwa sababu ni demokrasia:smile-big: Hebu fikiri, hukupiga!, hukufanya kampeni yoyote, :doh: Hupo tanzania, hivi nani aliekwambia fimbo ya mbali inauwa nyoka??? Kama kweli una uchungu wa kweli hebu rudi tanzania, jikusanyeni pale jangwani au kidongo chekundu, na andamaneni:smile-big: Maana huo mwaliko wenu ni kama kelele za chura navoona:tape: Sorry lakini ni mtazamo wangu apo

unamtazamo hasi sana, ebu jirekebishe, siku nyingine usitoe mawazo kama hayo sawa ee?/
 
JAMBO MOJA MUHIMU NA LA MSINGI: Kwanini baadhi yetu tunapochangia hoja tunakua wakali kama tunavuta ugoro?? yaani huwezi kuchangia hadi uwe mkali, nani unataka akuogope sasa? mi naona mtu wa namna hiyo ni mchovu na asiye na hoja za msingi hivyo kujifanya mkali ili tumuogope, wasitutishe hapa, kama huwezi kuchangia bila jazba na frustration zako, ni heri ukae kimya, kwani ni lazima uchangie?? JF is here to stay, na sio SLAA aliyeiweka JF, labda kama wewe upo hapa kwa jili hio, not everybody
 
...Acheni Kutudanganya! Huko maWashington sijui wapi si ndio kila asubuhi mna kazi ya kufungua matawi ya kulamba booty za watawala ya SSM??
Leo hii mtakuwa na ubavu wa kuandamana?? Mngeanza kwanza kuzuia huo ufunguaji matawi wa SSM kwenye balozi zetu ama angalau hata kufungua tu matawi ya upinzani ndio tungewaona wa maana! hamna lolote.
 
Back
Top Bottom