Mtu pekee anae weza kuiokoa hii timu ni Mwinjuma Mumini kocha wa Dunia





😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌Umeua mzeeMtu pekee anae weza kuiokoa hii timu ni Mwinjuma Mumini kocha wa Dunia
😃😃😃Gemu zijazo msituangushe bhaa tupigwa woteHali mbaya mzee mwenzangu , watoto washenzi hawana adabu hawa Luton
![]()
Na epl inazidi kuwa ngumu kila siku ,yaani sasa hivi mule epl Hamna kibonde , ukizubaa unabondwa
Tunajikongoja
Ninyi nyumbu Fc na sisi Kenge fc hamna tofauti , tukubali tu kuwa kwa sasa ni vilema , hamna namna
Tukubali kujitafuta kama asenyetoz walivyojitafuta kwa miaka mingi sasa hivi ndio wameanza kujipata
Hapo unaongela kubadili kikosi kizima maana hayo uliyoyasema kuna watu kama Tominay hawezi kila kituMan Utd is an amazing club. We just need to work on our short and long passes, ball control, crossing, ball domination, dribbling, defending, sprinting, tackling,goalkeeping, crosses, man marking,positioning,set pieces, through passes, attacking, and scoring goals.
Very few things, au mnaonaje wenzangu.
One thing i am certain,man u tuna wachezaji avarage mno, wanaostahili kuanza ni watatu tu walio baki uza wengine wabaki kutengeneza depth.
Amad,maino, licha staters
Garnacho, bruno, bissaka subs
The rest uza
Wachovu wenzetuWa nyumbani angalau nae apate goli, ndicho tulichofanya Chelsea leo ila cha msingi n point 3
Aliletwa mwalimu wa walimu RR (Banza stone) akachemka labda tujaribu kijana wa BagamoyoUmeua mzee
Mkorea na Hamis77 mmeibukia JF jukwaani mwa Mwantesa UTD baada ya kichapo kizito toka kwa West Harm "Wagonga nyundo"?Nyumbu eeenh
Tuushindi kidogo kelele kibao, Kiko wapi?View attachment 2857849
Sisi tulifanyiwa hujuma na Kuna mkakati maalumu wa kutusimamishaMkorea na Hamis77 mmeibukia JF kwenye jukwaa la Mwantesa UTD baada ya kichapo kizito toka kwa West Harm "Wagonga nyundo"?

Unaweza Dhani hii ni meme.Nyie kila mechi kwenu ni big match, hamna mechi nyepesi!
Mkorea hakuenda mafichoni ila mwamposa mpaka leo haamini kama walifungwaMkorea na Hamis77 mmeibukia JF jukwaani mwa Mwantesa UTD baada ya kichapo kizito toka kwa West Harm "Wagonga nyundo"?
Shikilia weweMamaeee hivi hawa makenge wamehindwa kushikilia bombaaa daah..![]()
Yaani kila kitu kuhusu mpira?Man Utd is an amazing club. We just need to work on our short and long passes, ball control, crossing, ball domination, dribbling, defending, sprinting, tackling,goalkeeping, crosses, man marking,positioning,set pieces, through passes, attacking, and scoring goals.
Very few things, au mnaonaje wenzangu.
One thing i am certain,man u tuna wachezaji avarage mno, wanaostahili kuanza ni watatu tu walio baki uza wengine wabaki kutengeneza depth.
Amad,maino, licha staters
Garnacho, bruno, bissaka subs
The rest uza
Yah, kila kituYaani kila kitu kuhusu mpira?
Na ndio ukweli wenyeweHapo unaongela kubadili kikosi kizima maana hayo uliyoyasema kuna watu kama Tominay hawezi kila kitu