Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 13,936
- 31,144
Tungojee kwakuwa wengi walisema tatizo la Man U ni kubwa kuliko tunavyolijua..Ina sikitisha Sana timu matokeo ya machale inauma sana.
Tungojee hao Ineos wakamalishe tuone wap panavuja
Tungojee kwakuwa wengi walisema tatizo la Man U ni kubwa kuliko tunavyolijua..Ina sikitisha Sana timu matokeo ya machale inauma sana.
Leo kipenga kingechelewa kupulizwa hao Luton wangekubandua na wewe😂😂 Mmebanduliwa
Kwa hiyo na ninyi mmeingia mtego kama blues , kuchezesha vitoto na kutengeneza long term project au sio ?Nadhani kuna mpango mkubwa sana wa kupandisha vijana kutoka kwenye academy. Ukifuatilia utagundua kwa siku za karibuni wanachezeshwa sana vijana wageni. Nadhani mpango wa kuingia sokoni hautakuwepo.







hamis77 mkorea arsenal2004[SER] wazee tusiwalazie damu hawa nyumbu leo. Maana Arteta kwa sasa atakuwa kavurugwa, anaweza kupoteza game ya kesho yule jamaa. Hawatatuachia.
[/QUOTE]
Mkuu mm binafsi sasahv Hawa sio maadui zangu tena...nqchoka kuwacheka🤠🤠🤠...nguvu zangu nahamishia kule kwa wale livakuku maana ndo wapo nafasi yetu....sio Hawa....Hawa wabishane na watu wa Nyukesto
Kuwacheka ni dhambi...Wana Hali mbayahamis77 mkorea arsenal2004 wazee tusiwalazie damu hawa nyumbu leo. Maana Arteta kwa sasa atakuwa kavurugwa, anaweza kupoteza game ya kesho yule jamaa. Hawatatuachia.
Leo kipenga kingechelewa kupulizwa hao Luton wangekubandua na wewe





Hali mbaya mzee mwenzangu , watoto washenzi hawana adabu hawa Luton 


Hii kazi ngumu baba wa watu machozi yapo tayari kufyatuka
Kuna Muda nyumbu walikua wanacheza liwalo na liwe tuhamis77 mkorea arsenal2004 wazee tusiwalazie damu hawa nyumbu leo. Maana Arteta kwa sasa atakuwa kavurugwa, anaweza kupoteza game ya kesho yule jamaa. Hawatatuachia.
Wa nyumbani angalau nae apate goli, ndicho tulichofanya Chelsea leo ila cha msingi n point 3Leo kipenga kingechelewa kupulizwa hao Luton wangekubandua na wewe