Exogenous Factor
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 1,413
- 2,358
Kama shabiki naumia sana kuona tunapitia haya ila nkikumbuka mapito ya Liverfools na Arsenyeto natambua kuwa sasa ni zamu yetu na hivyo niwe mwelewa na mvumilivu tu. Kuna ule ukweli kwamba hakuna atakayesalia juu milele na kupanda na kushuka ni kawaida.

