Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1703630046848.png
 
%Timu ilikaba vizuri mno
%Kiungo kilitulizwa na mtoto wa miaka 19 na mzee wa mapigo ya moyo ericksen. Bruno kazi kulalama tuu (tunahitaji no 10 mzuri aje ampe changamoto)
%beki ilitulia kwa sababu wachezaji wote walikaba njia na ku track back mipira bila kutegea, hence pressure ikawa ndogo kwa beki zetu nzee.
%wote tumeona kama tuna winger zenye power na aggression basi wapinzani hawataleta timu uwanjani, bahati mbaya winger zetu zinapata hizo character kila baada ya mechi 10(sad truth)

Tukiendelea hivi na ericksen akiwa fit kipindi tunatafuta sokoni midfield yenye passing ability na kusoma mchezo effectively, top four coming soon.

Mengine ntaenda kujadili kwenye kijiwe cha kahawa
 
Bila Bruno hakuna goli ungepata acha kuangalia personality ya mtu, angalia anacho deliver uwanjan ni kipi
 
Back
Top Bottom