Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sijui unaangalia ligi ya msimu huu au upo na marudio ya msimu 2021-2022.

Ninachokiona, timu zote kuanzia timu inayo ongoza zina matokeo ya kusua sua, wakipata injury moja au mbili ndio kabisaa, meanwhile man u imekua na injury karibu first team yote ila bado iko pale, muda wowote tukiwa na at least robo tatu ya squad iliyo fit, sioni timu inayosimama mbele yetu, sio man shit, gayguners, rottenham wala liverfool au hivyo vi boobston.
Top four is the least i can think of, hata ubingwa bado ni mweupe.
Una imani ya kuamisha mlima kabisaaa sio kwa ujasiri huu. Mna team mbovu sana mnaitaji muda kuwa bora ila sio ndani ya msimu huu
 
Una imani ya kuamisha mlima kabisaaa sio kwa ujasiri huu. Mna team mbovu sana mnaitaji muda kuwa bora ila sio ndani ya msimu huu
Twende taratibu sheikh, timu mbovu zipo kuanzia nafasi ya Chelsea kushuka chini, sisi wengine ubingwa bado uko bwelelee/bong'oo
 
Sijui unaangalia ligi ya msimu huu au upo na marudio ya msimu 2021-2022.

Ninachokiona, timu zote kuanzia timu inayo ongoza zina matokeo ya kusua sua, wakipata injury moja au mbili ndio kabisaa, meanwhile man u imekua na injury karibu first team yote ila bado iko pale, muda wowote tukiwa na at least robo tatu ya squad iliyo fit, sioni timu inayosimama mbele yetu, sio man shit, gayguners, rottenham wala liverfool au hivyo vi boobston.
Top four is the least i can think of, hata ubingwa bado ni mweupe.
acha mihadarati
 
Wewe na kikosi chako imara kila ikifika mechi ya kuchukua point 3 za muhimu unapoteza, labda uimara wako ndio udhaifu wako.

Imagine sub za kukupa matokeo timu inapo zidiwa ni nelson, nketiah, smith rowe🤣 kama kuna timu ina avarage players basi ni gaygunersView attachment 2858359
Ww una sub gani Sasa ya kukupa matokeo🤠🤠🤠...jana si ameingia mzee mzima Mc Tominay kubadilisha mambo...nn kimetokea....endelea kukaza kichwa....kuna timu ukikutana nazo tena ndogo tu mtakuja kutukana tena hmu...Luton Town, masela zake Wolves...hzo zte mnakandwa....bdo timu kubwa hazijaja kiwapasua...mna hali mbaya...kuwacheka tumechoka
 
In ETH we trust 💪
20231030_211623.jpg
 
Adui wa Varane ni miguu yake na si kiwango chake.

BREAKING:

#mufc have decided against triggering an option to extend Raphael Varane's contract by 12 months, leaving the defender free to hold talks with foreign clubs over a summer transfer from tomorrow.
 
Wakati wengine tumekimbilia Brighton wengine wanahamia big clubs. Cha muhimu ni kuukimbia UNYUMBU tu!
20240101_234947.jpg
 
Back
Top Bottom