Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa sasa jukwaa la Arsenal na Liverpool kila wakifungwa au kutoa droo wanakimbilia kumlaumu kocha na kutamani kuongeza mchezaji kwenye kikosi chao, ila hali ni tofauti kwa United. Tuko kimya sana kwenye masuala ya usajili wa dirisha dogo utadhani tunaongoza ligi sisi.
Ila 10Hag ni TACTICIAN mzuri kuliko arteta.
Nadhani kuna mpango mkubwa sana wa kupandisha vijana kutoka kwenye academy. Ukifuatilia utagundua kwa siku za karibuni wanachezeshwa sana vijana wageni. Nadhani mpango wa kuingia sokoni hautakuwepo.
 
Umeongea kwa akili kubwa sana mkuu kacnia Bruno ni tatizo kubwa kwa sasa. Nikikumbuka zile faulo mbili za hovyo alifanya kwenye uefa na zote zikazaa magoli tukaondolewa na juzi kwa Aston Villa kafamyavtena faulo wakapata goli la kwanza. Huyo mtoto wa miaka 19 anacheza dakika 80 na hasababishi faulo yoyote.
Watu wanafumbwa macho na statistics za computer, ile hali mpira tunajionea wenyewe kuwa yule bwana yupo careless mno
 
Kwa sasa jukwaa la Arsenal na Liverpool kila wakifungwa au kutoa droo wanakimbilia kumlaumu kocha na kutamani kuongeza mchezaji kwenye kikosi chao, ila hali ni tofauti kwa United. Tuko kimya sana kwenye masuala ya usajili wa dirisha dogo utadhani tunaongoza ligi sisi.
Ila 10Hag ni TACTICIAN mzuri kuliko arteta.
10Hag TACTICIAN mzuri kuliko Arteta tena daaah,hizi akili nyingine sijui za wapi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hila sisi Manchester united
20231228_143420.jpg
 
Attachments

  • 20231228_143420.jpg
    20231228_143420.jpg
    72.7 KB · Views: 14
Umeongea kwa akili kubwa sana mkuu kacnia Bruno ni tatizo kubwa kwa sasa. Nikikumbuka zile faulo mbili za hovyo alifanya kwenye uefa na zote zikazaa magoli tukaondolewa na juzi kwa Aston Villa kafamyavtena faulo wakapata goli la kwanza. Huyo mtoto wa miaka 19 anacheza dakika 80 na hasababishi faulo yoyote.
Huyo unaemsemea wa hovyo ana takwimu nzuri za kutengeneza chance za kufunga kuliko magwiji wengi waliopita EPL ,,,,tatzo tuna forward mbovu ,,,,, chance hizo haziwi magoli,,,,

Bruno ana spirit ya timu sana, utadhani ya baba yake ,,,nadhani hii ni moja ya sifa zilizompa uongozi ,,,,

Punguza makasiriko, ile nafasi unataka acheze nani ? Panga pangua kwenye mechi muhimu lazima apangwe, hata makocha waliopita walikuwa wanampanga,,,,,

Wewe ni mtaalamu kuliko hao makocha wanaompanga???
 
Kwa sasa jukwaa la Arsenal na Liverpool kila wakifungwa au kutoa droo wanakimbilia kumlaumu kocha na kutamani kuongeza mchezaji kwenye kikosi chao, ila hali ni tofauti kwa United. Tuko kimya sana kwenye masuala ya usajili wa dirisha dogo utadhani tunaongoza ligi sisi.
Ila 10Hag ni TACTICIAN mzuri kuliko arteta.
Mkuu uliona mbali😃Arteta kama Jf kungekuwa na trending Basi leo angekuwa Top 1
 
Kwa sasa jukwaa la Arsenal na Liverpool kila wakifungwa au kutoa droo wanakimbilia kumlaumu kocha na kutamani kuongeza mchezaji kwenye kikosi chao, ila hali ni tofauti kwa United. Tuko kimya sana kwenye masuala ya usajili wa dirisha dogo utadhani tunaongoza ligi sisi.
Ila 10Hag ni TACTICIAN mzuri kuliko arteta.
Kwa issue ya Usajili Boss kasema January watu wengi wanaludi kwa hiyo sidhani hapa kama tutakuwa sana na tetesi
 
Yule kiranja wa jukwaa lao kawatoroka anasubiri papoe ili aje kuwapiga kamba mpya tena.
yote inatokanwa na tabia ya kuranda ovyo kwenye thread za team pinzani na kuandika maneno ya dhihaka na kejeli.

huku wakisahau kuna wengine wana khulka sawa na zao.

ukishafahamu mipaka yako ya ushabiki hakutokuwa na mchezo utakao kupotezea furaha kwa muda mrefu.
 
Back
Top Bottom