Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,248
- 4,671
Watu kama Hawa wakiwa karibu natembeza vibao tuWewe hayo magoli waliyokosaa unaona ndo kucheza vizurii??? Hivi una akili timamu???
Watu kama Hawa wakiwa karibu natembeza vibao tuWewe hayo magoli waliyokosaa unaona ndo kucheza vizurii??? Hivi una akili timamu???
Una Maanisha au?Man U tupo vizuri,tunachomoa goli zote hizo na la Tatu tunaongeza,tulieni wanangu wa Man U,dimba tumelishika hili
Wewe huoni Pira linavyotembea,tuna imani na Kocha wetuUna Maanisha au?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Daah yaani inafikia hatua Hadi kitayose tunaiyona Bora daah
Hizo offside unaziona? Maana leo Aston Villa wamewin sana kuweka mtego wa offside.Mechi sare hii tunapiga la pili
Ngoma bado mbichi. Ngoja tuoneJaman mpira unadunda duuh siamin
Nilikwambia Half Time utulie tunachomoa na kuongeza la tatu,tatizo mnawashwawashwa sana vijana!!tuna imani na Kocha wetuJaman mpira unadunda duuh siamin
Hatimae kijana wa watu kafunga
Kwa mbinde sana.Hatimae kijana wa watu kafunga