D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,055
Huu si uchezaji wa timu inayotafuta point 3 na magoli 3.
Dakika ya 9.
Man utd 0
Dakika ya 9.
Man utd 0
Man U 0-1 Aston VillaHuu si uchezaji wa timu inayotafuta point 3 na magoli 3.
Dakika ya 9.
Man utd 0
Machu cha lipiTayari huko, uwanja wa matofari unaungua leo
labda mshinde NJAAAngarau Leo tushinde basi daah
Usifananishe F.C KITAYOSE na vitu vya ajabu ajabuDaah asee baada ya mechi hii kama tutafungwa
Kipara asipo ondoka jamaa atakuwa anauchawi duuh
Timu inacheza kama kitayose daaah
Pumbavu
Nikuhakikishie Upara anamaliza msimu bila kufukuzwa na mtu yoyote LABDA ajiuzulu AU Sir Jim amkataeDaah asee baada ya mechi hii kama tutafungwa
Kipara asipo ondoka jamaa atakuwa anauchawi duuh
Timu inacheza kama kitayose daaah
Pumbavu
Daah yaani inafikia hatua Hadi kitayose tunaiyona Bora daahUsifananishe F.C KITAYOSE na vitu vya ajabu ajabu