bakundande jr
JF-Expert Member
- Oct 22, 2021
- 507
- 673
Hatimae kijana wa watu kafunga
Hatimae kijana wa watu kafunga
Kwa mbinde sana.Hatimae kijana wa watu kafunga
Upo sahihi ila kwa kocha hatuna Imani nae labda imani unayo wewe kwakeNilikwambia Half Time utulie tunachomoa na kuongeza la tatu,tatizo mnawashwawashwa sana vijana!!tuna imani na Kocha wetu
SawaaMnaona hizo Sub zinazoletwa na ETH, game inaisha 3-3 nimekaa pale.
walitaka kutuchukulia poa
Mwamba ndo unajitokeza sasa
Mpira wa leo umepigwa kweli kweli, imebidi nitoke mafichoni.Mwamba ndo unajitokeza sasa
Wameupata moto wa gesiwalitaka kutuchukulia poa